Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Kuna raha yake kuishi Tanzania in general, kuna siku Dar nilikwenda dukani, nilijikutua ninamahitaji mengi kuliko cash niliyokuwa nayo, nilimwambia kijana wa dukani niwekee hivi pembeni nitarudi kuvichukua, aliniambia hapa aunt chukua vyote wewe si unakaa nyumba ile yenye gate ... unatanipitishia hata kesho pesa yote. Kwanza nilishtuka sana, kumbe mtaani baada ya wiki mbili tatu watu wote wanakufahamu.
Kama unachura mtaa wote lazima wakujue toka siku ya kwanza
 
Kuna shost nilisoma nae long time, tulikutana mjini basi tulibadilishana namba za simu, alinieleza ajira yake ya kwanza ilikuwa mikoani ambako alifanikiwa kujenga na nyumba, sasa ndiyo amehamia Dar, familia bado haijamfuata, kwa kuanza ameanza na chumba kwanza. Amepangisha maeneo ya Magomeni, aliniambia Sky lazima uje nyumbani uone ninapokaa, kwakweli nilikwenda, sasa wapangaji wengine wote wako kwenye corridor, mwenyeji wangu akaniambia kupika kutapoteza muda wa mazungumzo na tuna mengi ya kucatch up with, ngoja nikanunue chips tule tukiwa tunaongea.

Muda aliyoniacha wakati amekwenda kununua chips, wale wapangaji wengine kwenye corridor wakawa wanahadithiana "umeumuona flani anavyojidai siku hizi?" Mwenzake anajibu, "amerudi fresh si alipeleka mzigo yule" Do alikuwa na madeni yule hata ndani alikuwa hatoki. Kwani anambebea nani mzigo, anambebea yule mwarabu wa ... khe wenzie siku hizi wanambebea yule mhindi wa... yule ukirudi fresh anakupa mil6 hapo hapo, yule mwarabu analalia bwana, bado analipa mil5.

Nilichoka.
 
Habari za leo wandugu,

Dunia hii kuna wengine hawajawahi kabisa kuishi katika nyumba za kupanga, wengine maisha ya uswazi hawayajui kabisa, basi leo nimeona tuangalie maisha katika nyumba za kupanga. Ukweli ni kuwa maisha katika nyumba za kupanga si mabaya, ni wewe mwenyewe utakavyoiweka akili yako.

Unaweza kujifunza mapishi katika nyumba za kupanga, kwani kupika wote mnapika pamoja, kama ulitoka kwenu hujui kipika chapatti, utakutana na wapangaji wenzako ambao tena wanapika chapatti za biashara, na utajifunza kukanda unga hapo. Si chapatti tu, ni mapishi mengi.

Ukitaka kuishi vizuri kwenye nyumba za kupanga usiwe mbea na mfuatiliaji wa mambo ya watu pia usipende kuanika ya kwako. Ukikuta unaongelewa wewe dharau tu, kama hujaanika sana yako watakayo kuwa wanaongea watakuwa wanahisi.

Rafiki zangu wa kiume kama watatu hivi waliniambia bikra zao zilitolewa na wapangaji wengine wakati wakiwa wadogo kwenye nyumba za kupanga, mimama isiyokuwa na haya anamsubiri mama wa kijana ametoka, ndipo kijana anapoitwa chumbani, huko anakuta ameandaliwa chai na vitafunwa na akapewa mchezo. Kama vile wale wa ushuani wanaposema bikra zimetolewa kwa ma housegirl huku kwetu kwa Mtogole kuna mengi pia yanaendelea.

Dhumuni la waraka huu ni kufahamishana dunia inavyoendelea katika nyumba hizi, kuna mengi yanayoendelea ambayo wazazi hawayafahamu. Fikiria kama hili li mama linalomuitia kijana wako chai lina magonjwa, mpaka uje uhfahamu mtoto ameathirika kabla hajafikisha miaka 20.

Siku njema.

katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
 
Kupika sio lazima usomee. Cha msingi unaweka unachotaka kwenye sufuria afu unawasha moto, vikichemka pakua ule
 
katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
Ingia you tube mkuu, wanafundisha kupika kila kitu, hata visheti na vitumbua, pilau, machalari you name it. Ninae rafiki yangu mmoja, yeye mama yake alimfanyia kila kitu, mpaka anafanya kazi na kuwa na kwake alikuwa anakwenda kula nyumbani jioni akitoka kazini, siku mama alipogundulika na cancer ambayo ilikuwa kwenye aggressive stage, shost alilia sana. Baada ya msiba wa mama alitumia pesa nyingi kununua chakula.
 
katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
Moja ya mambo yanayo muongezea mke thamani yake ni mapishi mkuu.

Hakikisha unajiweka karibu na makungwi wa maakuli. Mashangazi au mama wadogo wanaojua kupika.

Tafuta likizo ukakae nao hata mwezi mmoja.

Usipojua kupika unakosa pointi muhimu ya kuwa mke bora. Hata mwanaume akikuweka kikaangoni na mwanamke mwenzako ambaye anahisi anawapenda wote basi mwenzako Kama anajua kupika basi utakuwa umepoteza point muhimu Sana.

Kumbuka wanaume tunapenda kula kuliko hata sex yenyewe.
Shika akilini hiyo.
 
Huyo afadhali. Mimi nilikuwa narudi na maganda ya mayai matano hivi asubuhi naweka sufuria jikoni inapata motooo halafu naimwagia maji utasika chaaaaaaaaaaaaaaaa kama mayai vile. Nikitoka naenda kutupa maganda!
Hahahahah hii kubwa kuliko...nimecheka kwa sautiii
 
Uswahilini kuna raha yake kwakweli, nilikuwa na rafiki yangu anaishi Kinondoni Mkwajuni maeneo ya CCM, kipindi hicho tuko chuo nikawa namlazimisha twende karibu kila wiki usiku ili nifurahie mazingira. Hapa panauzwa kachori, huyu machungwa, mwingine karanga basi burudani tu.
 
Inachanganya kidogo kwani kuna nyumba ya kupanga - ku-share vyumba, na ile ya kuto-kushare vyumba. Ila content ndio inatoa tafsiri ya kupanga chumba na sio nyumba.
 
katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
Njoo kwangu mkuu nikufundishe kupika.
 
Nyumba ya kupanga kero zake kuombana chumvi,majani ya chai(wasio na haya wanaomba chai kabisa eti anawahi sehemu kashindwa kupika),mafuta ya kujipaka,sukari,unga(kisingizio uji wa mtoto)

Kuvaliana,kuazimana kuna watu ni hodari wa kuazima kila akionacho kwa jirani yake sio ndala,yebo,kanga,dela,viatu,wanja,nguo na chochote akionacho, mnyime sasa gubu lake mtaa mzima utatangazwa mchoyo.
well said.
 
Nilipokuwa mwaka wa pili nilibahatika kupanga chumba maeneo Fulani Ya Sinza.

Ilikuwa kila wikiendi lazima niingize mtoto mpya ndani.
Hali hiyo Mama mwenye Nyumba alikuwa akihadithiwa tuu, ni lini nilijua alikuwa akihadithiwa. Ni hivi;
Ilikuwa ni siku moja majira ya saa nne na nusu usiku nimetoka Mabibo hostel kwenye discussion. Niliingia ndani nakutoka na ndoo ya maji kwenda bafuni kuoga.
Kulikuwa kumetulia Sana huku mbalamwezi likimulika haswa nakupafanya paonekane Kama asubuhi. Nilimaliza kuoga na kurejea chumbani kwangu. Niliingia ndani na kuweka ndoo kisha kuenda kuwasha taa kwani nilivyotoka niliizima.
Nilivyoiwasha nilishtuka kuona mwili wa mwanamke aliyejifunga kanga, aliyelalia tumbo na kuacha Msambwanda wake ukiwa Kama vichuguu ukinitazama. Mapigo ya moyo yalikimbia kwa kasi Kama mtu aliyeahidiwa kupewa Mabilioni ya fedha.

Mpaka muda huo sikujua aliyekuwa amelala, nilikuwa nimesimama Kama nguzo nisijue cha kufanya.

Mara yule mwanamke akaongea
"Mbona umesimama"
Ndipo nilipojua ni Mama mwenye nyumba. Aliyasema hayo akiwa anajigeuza kwa tabu kutokana na ukubwa wa mapaja yake yaliyojaa vyema.

Nilijikuta sina cha kujibu tukabaki tunatazamana mithili ya majogoo wanaotaka kupigana.

"Samahani kwa kuingia bila taarifa"
Alisema huku akiwa ananiangalia na macho yake makubwa yalinakshiwa na kope ndefu kiasi za asili na nyuzi nyembamba.
"Usijali mama"
"Nimekuletea chakula Michael"
Huku akinionyesha hot pot na Mimi nikiangalia kule ninapoelekezwa ambapo niliona hot pot yenye nyama ya kuku na Wali.

Hakika ulikuwa mtego mkubwa kwangu. Kwani sikuwa na pesa na Tokea nipige Wali na maharage(RB), saa tisa sikupatapo kugusa chakula tena.
Nilijua nikifika ntakula kimkate changu nilichokibakiza usubuhi.
Sasa naona Uyoga jangwani Hahaaha!!

Mama mwenye nyumba alikuwa akiniangalia Kama jasusi wa CIA mwenye kitengo kikubwa. Alijua wazi jaribio lake lazima ni Disko.

"Naona umechoka sana"
Kimya
"Embu kula kwanza afu tutaongea"
Kimya kidogo.
Afu nashtuka Kama mtu aliyekumbuka point aliyokuwa akiitafuta Sana kwenye chumba cha mtihani.

Kimya kilipita, hakuna aliyekuwa akiongea zaidi ya kijiko na hotipot na mlio wa meno ndivyo vilikuwa vikizongana muda huo.

Nilipata kumchungulia Mama mwenye nyumba ambaye alikuwa bado kajilaza kivivu Kama chatu aliyetoka kumeza. Macho yangu yalidunda kwenye upaja mweupe laini wa mama juma ambao urangi yake iliweza kuakisi mwanga wa bulb na kuubadilisha mwanga wa mule ndani.

Nilihisi mapigo yamesimama, niligundua macho yangu yamenaswa na usumaku mahaba. Ndipo joka langu likaanza kwa kupiga miayo kisha likajinyoosha na kutunisha misuli.

Nilimshukuru mama mwenye nyumba ambaye nilimjua Kama mlokole na Mama mstaarabu aliyependa dini.

Alikaa nakujifunika mapaja yake vizuri.
"Hivi unajua wewe ni kijana mzuri, Michael?"
"mmmh!!"
"Eehe wewe ni kijana mzuri"
Kimya

"Ahsante kwa chakula"
Nilishukuru huku nikijaribu kufanya suluhu na joka asijitokeze kwenye ile kombolela. Joka lilisimama kidete, halikutaka kusikia lolote kutoka kwangu. Kuna wakati liliparua bukta yangu niliyoivaa jambo ambalo Mama mwenye nyumba alihisi bukta inacheza.

Jambo hilo pengine ndilo alilolitarajia Mama yule.
Aliachia tabasamu jepesi na kufanya vishimo vidogo vijitokeza kwenye mashavu na kupotea.

Alinishika begani kisha akasema;;;.........

Fuatilia simulizi la kweli kutoka kwa Michaelray22 litakaloanza jumapili.
Litakalo kwenda kwa jina "MWANACHUO".

Ahsante kwa kusoma.
Duh, yallahh
 
Mimi nyumba yangu ya kwanza kupanga mama mwenye nyumba alikuwa ana tabu sana...yani hana jema...Eti nikiwa nachungulia madirishani kwa wapangaji wenzangu kupiga chabo ananimind, nikojoa ukutani nyuma ya nyumba ananimind...Kuna kipindi chooni ilikuwa foleni kila muda, nikaamua mwenyewe najisaidia chumbani kwenye mifuko weekend nikitulia naenda kumwaga, eti pia alipojua akanichamba balaa...yani wamama wengine nuksi sana..,sjui alikuwa ananitaka
 
katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
Basi jitahidi sana chumbani uwe vizuri kama umeshindwa jikoni mkuu
 
Mimi nyumba yangu ya kwanza kupanga mama mwenye nyumba alikuwa ana tabu sana...yani hana jema...Eti nikiwa nachungulia madirishani kwa wapangaji wenzangu kupiga chabo ananimind, nikojoa ukutani nyuma ya nyumba ananimind...Kuna kipindi chooni ilikuwa foleni kila muda, nikaamua mwenyewe najisaidia chumbani kwenye mifuko weekend nikitulia naenda kumwaga, eti pia alipojua akanichamba balaa...yani wamama wengine nuksi sana..,sjui alikuwa ananitaka
hahahah...
 
Back
Top Bottom