Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Nyumba ya kupanga kero zake kuombana chumvi,majani ya chai(wasio na haya wanaomba chai kabisa eti anawahi sehemu kashindwa kupika),mafuta ya kujipaka,sukari,unga(kisingizio uji wa mtoto)

Kuvaliana,kuazimana kuna watu ni hodari wa kuazima kila akionacho kwa jirani yake sio ndala,yebo,kanga,dela,viatu,wanja,nguo na chochote akionacho, mnyime sasa gubu lake mtaa mzima utatangazwa mchoyo.
 
Kuna kaka mmoja alikuja kusoma UDSM, alipangisha chumba Tandale. Alikuwa na girl friend wake wa long time, mtoto wa kisure basi mtoto akawa anakwenda weekend kwa jamaa, maji mnachota mtaa wa pili ndiyo kuna kisima, basi asubuhi mkaka akawa anakwenda kumchukulia babe wake maji ya kuoga, mwe wewe wa mama wasiache kumchamba, huyu ndiyo utamuoa huyu, mwanamke amelala wewe unakwenda kuchota maji.

 
Nyumba za kupanga noma hapo sinza dada yangu alipanga akawa na house girl basi kuna sehemu unamwaga maji machafu yule house girl akamwaga kwenye ukute weeee baba mwenye nyumba kampa kichambo wewe huko ukuta ozesha wakati hata mshahara wako wa mwaka huwezi nunua hata kitanda tulichekaaaa
Uswazi komedy nyingi sana kuibiana waume na boyfriend kawaida
Na mashindano ya kuvaa nguo mpya + kusuka
 
hahahahaha hebu leta faida ya hizo report nime nianza
Teh teh.. Mkuu kipindi hicho nimeamia uswazi nikiwa bado mgeni mgeni kuna dada alitaka kuniunguza aisee..Nikaja kupata ripoti zake kijiweni siku moja kabla ya tukio ...Kuanzia siku hiyo nikaona umuhimu wa kujichanganya na washkaji wa kitaa.. Hawa jamaa wanaripoti za matukio yote yanayoendelea kitaa..
 
"Raha" ya nyumba za kupanga ni pale nyumba inapokuwa na familia zaidi ya sita lakini choo na bafu ni kimoja!
Nilikutana na mkaka na mdada waliokulia kwenye nyumba moja ya kupanga, waliishi kama binamu kabisa, ni kwa karibia miaka 14 waliishi nyumba moja. Nyumba za kupanga zinaweza kuunda undugu.
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
Ukiingia na demu sasa wanaitana wanajaa kwenye kibalaza mpaka mlangoni kwako, akitoka badala ya kumpisha wanamwangalia usoni, inambidi aruke miguu, kama siyo wa uswahilini harudi tena
 
Mm wife aliwahi ambiwa na jirani kuwa mnakula samaki hivi kujenga mtajenga kisa yeye anakijumba, na jirani huyu huyu ndiye aliyekuwa anakuja kuomba vipande vya samaki nayeye akale! Baadaye tukahamia kwa nyumba yetu yenye akili japo ilikuwa haijaisha, siku amekuja kututembelea anamwambia wife Dah, nyumba yote hii mtaimaliza?
 
Nyumba zingine kuna vitimbi. Unaweza kuhama kwa siku moja Kama hujazoea haya mambo
..........wenye nyumba wengine wazungu japo mnaishi nyumba moja mnaweza msionane hata miezi.mnaishi Kama familia no makelele....
Ndo maana mm sikupenda kupanga nyumba ya watu wengi na hasa kuwa na mwenye nyumba!
 
Nilikutana na mkaka na mdada waliokulia kwenye nyumba moja ya kupanga, waliishi kama binamu kabisa, ni kwa karibia miaka 14 waliishi nyumba moja. Nyumba za kupanga zinaweza kuunda undugu.
Karaha kwenye hizi nyumba ni pale, dari halijafunikwa halafu mpangaji mmoja kaja na "mgeni" wake hasa wa kike, halafu usiku wakati kumetulia, huyo mgeni anaanza "kuimba muziki"!
 
Mimi nyumba ya kupanga sipendi iwe na geti maana mimi zangu ni za usiku sana na kama nikija nakuja na barmed. mwanzoni walikuwa wakinifungia nje yaani nikaamua kupanga isiyokuwa na geti.

kinachonifurahisha wananisemaga mimi na wanawake damu na mshipa japo sijali. sasa wanaonisema saa nyingine wananitaka na mimi silazi damu maana najua nachokitaka. ukipika nyama wanaomba wanisaidie alafu kinachhofuata pumbu.

siku moja mwenye nyumba alinifwata nikala mzigo. kilichotokea basi tuu niishie hapa
Safi kabisa
 
Mi nakumbuka kipindi nimeenda likizo kwa uncle mwaka 2012 hapo ndo nikajua nyumba za kupanga ni shida
Kwanza nilikuwa na tabia ya kukojo bafuni aisee mke wa uncle akapokea michambo kuwa aje aniambie niache kukojolea bafuni,
Kilichokuja kuniacha mdomo wazi ni siku ambayo mama WINNIE aliingia sebuleni kwetu akaiba BLUE BAND NA MAZIWA YA NIDO ile anatoka tu akakutana uso kwa uso na mdogo wake na uncle aiseee kwa kutumia heshima na busara tukamstahi.
 
Uswazi kuzuri. Ukiwa bachelor wadada wa hapo nyumbani watajaza maji yakitoka na kukugongea kukuuliza kama umekula. Kazi hata za kugonga misumari zote zako. Mnh. Dawa yao ni kaondoka asbh sanaaaaa na kurudi usiku. I miss those days.
 
Back
Top Bottom