Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Nyumba za kupanga zina raha na karaha zake...hasa hizi zenye korido kati halafu ukute juu hazina Dari... ikifika jioni huyu Kafunikia wali..huyu anapika chai,ukifika muda wa kula wewe uliyepika wali watoto wanajazana kwako na vibakuli...
Nishawahi kushuhudia jamaa anamtafuna mke wa mwenzake bafuni...ilikuwa ni mchezo wao..bado kuna wale wanaoomba sehemu za kulala za watoto wao wakubwa kwakua na chumba kimoja...
 
Mkuu hii habari ya watoto kulala kwa jirani kwasababu wazazi wana chumba kimoja imeharibu sana watoto. Watoto wa kiume wanafanyiwa michezo michafu kwa jirani wazazi hawaelewi, watoto wa kike wanamtoa yule mtoto wako asusa kwa muuza chips kisa wanapata chips za bure, unapokuja kushtuka mtoto ana mimba na mzigo unazidi kuongezeka.
 
Yaani mtoa huu uzi ni kama Joti tu kwakweli maana umeamua kutuchekesha.mm niliwahi ishi msasani loh kila aina ya vituko vyoo vyenyewe tunavyopanga foleni ukiingia chooninmzigo haupo mbali so unapokua unalenga shabaha na ukwepaji wa yale majibmachafu ya shimoni unakuhusu
 
Mkuu nimekuwa Joti tena.
 
When In Rome,Do As Romans Do.
Uswahilini Kutamu. Mar Mtoto Anatolewa(Radhi Itakayomwagika Ni Ya Kiwango Cha Lami),Mara Kuna Kombe La Rede(Mibaba Mizima Na Ndevu Hukusanyika Kuangalia Vyupi Na Bikini,And Getting Glimpses Of Coochies,Sembuse Sie Vijana?),Mara Kuna Harusi,Kigodoro Siku 3,. Honestly Kuishi Huku You Feel Lively. Full Matukio,Hapa Juzi MSINGI KIUNO Waligombana Na USTAARABU ZIRO,Bas Kukawa Na Civil War Ya Kuchambana Na Kutiana Masingi,Na Mara Chache Kupigana (How Do They Solve It?Well Kuna Mechi Ya Rede Ikaamuliwa Ichezwe,Sasa Jiulize Kutoka Allegations Za Kuibiana Mabwana Mpaka Kuamuliwa Na Rede). Ghafla Mwingine Katalikiwa Hataki Kuondoka ,Mwingine Muuza Ngada Wazee Wa Pira Wanamsaka Anaishi Kama Phantom. Mimi Ni Ripota Wako,Juan Moses From CNN,
Uswahilini,Back To You Sky Esclat Hapo Studio.
 
Uswazi kunakalika, mtu pakikuboa unachukua time zako tu kubuzibuzi kwingine mpaka mida ya wanga.

Tatizo ukipata sehemu ina choo cha pasipoti saizi utazimia mwenyewe kama hujazoea mambo hayo.
 
Juan Moses umedata ripota.

Ova.
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
 
Uswazi kunakalika, mtu pakikuboa unachukua time zako tu kubuzibuzi kwingine mpaka mida ya wanga.

Tatizo ukipata sehemu ina choo cha pasipoti saizi utazimia mwenyewe kama hujazoea mambo hayo.
Pasport size mvua ikinyesha unajifiria kwenda chooni. Mlango wa gunia inabidi kabla hujafika useme hodi, kama kuna mtu anakohoa kukujulisha yupo.
 
Kuna kaka mmoja alikuja kusoma UDSM, alipangisha chumba Tandale. Alikuwa na girl friend wake wa long time, mtoto wa kisure basi mtoto akawa anakwenda weekend kwa jamaa, maji mnachota mtaa wa pili ndiyo kuna kisima, basi asubuhi mkaka akawa anakwenda kumchukulia babe wake maji ya kuoga, mwe wewe wa mama wasiache kumchamba, huyu ndiyo utamuoa huyu, mwanamke amelala wewe unakwenda kuchota maji.
Halafu wanawake hao hao wakionewa na wanaume watalalamika "mfumodume" au watakubali tu kwamba ndiyo maisha?
 
Ukinunua kuku uswaz lazima utaelekezwa wa kukuchinjia, na baada ya kumchinja mtoto anatumwa na bakuli aje achukue shingo, wanaamini ni haki ya mchinjaji, kwakweli huwezi kuweka shingo tu kwenye bakuli lile.
Hivi haya mambo kweli au unaweka na chumvi
 
Mi nikiwa bachelor niliwahi kuombwa na mke wa mpangaji mwenzangu nimsaidie kufunga bulb juu chumbani kwao, bila hiyana nikazama ndani nikapanda juu kitandani nikairekebisha nikatoka, akili ilinijia baadae kuwa kama mshikaji angenikuta natoka chumbani kwake kungetokea nini!!
 
Kwa kweli ni tatizo huku kwetu, unakuta vyumba kama kumi hivi, Familia kumi za chumba kimoja kimoja...waume tu ndio wahangaikaji, wake zao wakiamka asubuhi wanaweka mkeka nje na kuanza umbea huku wamevalia vitenge tu.
 
katika maisha yangu kinachonisumbua ni kupika,nimekulia kwenye familia ambayo hata kupika sijui tulikuwa tunapikiwa mpaka sasa nikienda nyumbani kuna msaidizi anayepika,nikiwa nyumbani nafua na kufanya usafi, kwa sasa nimepanga baada ya wazazi wangu kuhamishwa nikaamua kupanga ila najitahidi kupika ,lakini siwezi kupika inavyowezekana, natamani kwenda kusomea mapishi ...nimekuwa mtu wa kula matunda jion mchana nakula kwenye canteen..
Mimi najitolea kukufundisha kupika. Gesi,vyakula kila kitu nagharamia! Mwezi mmoja tu utajua kupika hadi paela,rissota,lasagna!
 
Ukinunua kuku uswaz lazima utaelekezwa wa kukuchinjia, na baada ya kumchinja mtoto anatumwa na bakuli aje achukue shingo, wanaamini ni haki ya mchinjaji, kwakweli huwezi kuweka shingo tu kwenye bakuli lile.
Umenikumbusha mbali...kuna mzee yeye akinunua kuku akikaribia nyumbani anamfinya kidogo ilimsikie kwiooooooooooooo!
 
Back
Top Bottom