Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Kuna m-Jaluo mmoja wa Kenya alipata kazi kwenye kampuni moja mjini, basi alipangisha huku kwetu uswaz, sasa asubuhi anamuona baba mwenye nyumba anakwenda msalani na birika bovu hivi, yule jamaa alikuwa anataka sana kujua shughuli ya lile birika kule maliwatoni.

Siku moja alipanda juu ya mnazi anamlia timing mzee, mzee aliingia na birika akatawaza, basi m-Jaluo alienda kuhadithia wenzake ofisini, nyinyi watu ya TZ mnapiga deki m***ko.
Hahaa
 
Teh teh.. Mkuu kipindi hicho nimeamia uswazi nikiwa bado mgeni mgeni kuna dada alitaka kuniunguza aisee..Nikaja kupata ripoti zake kijiweni siku moja kabla ya tukio ...Kuanzia siku hiyo nikaona umuhimu wa kujichanganya na washkaji wa kitaa.. Hawa jamaa wanaripoti za matukio yote yanayoendelea kitaa..
Bro hii ilinitokea nimemaliza chuo nikarudi kitaa nakutana na mtoto mzuri anaishi na sister ake wamepanga jirani nikarusha maneno mtoto akajaa sasa kwenye harakati za kumpleka lodge ndio wadau kitaa wananishtua bro mtoto kaungua huyo...Nowadays mazoea mita ef 10...wadau wa kitaa ni very helpful
 
Ukiwa na washakj wa kijiwen raha sana
 
Nilipokuwa mwaka wa pili nilibahatika kupanga chumba maeneo Fulani Ya Sinza.

Ilikuwa kila wikiendi lazima niingize mtoto mpya ndani.
Hali hiyo Mama mwenye Nyumba alikuwa akihadithiwa tuu, ni lini nilijua alikuwa akihadithiwa. Ni hivi;
Ilikuwa ni siku moja majira ya saa nne na nusu usiku nimetoka Mabibo hostel kwenye discussion. Niliingia ndani nakutoka na ndoo ya maji kwenda bafuni kuoga.
Kulikuwa kumetulia Sana huku mbalamwezi likimulika haswa nakupafanya paonekane Kama asubuhi. Nilimaliza kuoga na kurejea chumbani kwangu. Niliingia ndani na kuweka ndoo kisha kuenda kuwasha taa kwani nilivyotoka niliizima.
Nilivyoiwasha nilishtuka kuona mwili wa mwanamke aliyejifunga kanga, aliyelalia tumbo na kuacha Msambwanda wake ukiwa Kama vichuguu ukinitazama. Mapigo ya moyo yalikimbia kwa kasi Kama mtu aliyeahidiwa kupewa Mabilioni ya fedha.

Mpaka muda huo sikujua aliyekuwa amelala, nilikuwa nimesimama Kama nguzo nisijue cha kufanya.

Mara yule mwanamke akaongea
"Mbona umesimama"
Ndipo nilipojua ni Mama mwenye nyumba. Aliyasema hayo akiwa anajigeuza kwa tabu kutokana na ukubwa wa mapaja yake yaliyojaa vyema.

Nilijikuta sina cha kujibu tukabaki tunatazamana mithili ya majogoo wanaotaka kupigana.

"Samahani kwa kuingia bila taarifa"
Alisema huku akiwa ananiangalia na macho yake makubwa yalinakshiwa na kope ndefu kiasi za asili na nyuzi nyembamba.
"Usijali mama"
"Nimekuletea chakula Michael"
Huku akinionyesha hot pot na Mimi nikiangalia kule ninapoelekezwa ambapo niliona hot pot yenye nyama ya kuku na Wali.

Hakika ulikuwa mtego mkubwa kwangu. Kwani sikuwa na pesa na Tokea nipige Wali na maharage(RB), saa tisa sikupatapo kugusa chakula tena.
Nilijua nikifika ntakula kimkate changu nilichokibakiza usubuhi.
Sasa naona Uyoga jangwani Hahaaha!!

Mama mwenye nyumba alikuwa akiniangalia Kama jasusi wa CIA mwenye kitengo kikubwa. Alijua wazi jaribio lake lazima ni Disko.

"Naona umechoka sana"
Kimya
"Embu kula kwanza afu tutaongea"
Kimya kidogo.
Afu nashtuka Kama mtu aliyekumbuka point aliyokuwa akiitafuta Sana kwenye chumba cha mtihani.

Kimya kilipita, hakuna aliyekuwa akiongea zaidi ya kijiko na hotipot na mlio wa meno ndivyo vilikuwa vikizongana muda huo.

Nilipata kumchungulia Mama mwenye nyumba ambaye alikuwa bado kajilaza kivivu Kama chatu aliyetoka kumeza. Macho yangu yalidunda kwenye upaja mweupe laini wa mama juma ambao urangi yake iliweza kuakisi mwanga wa bulb na kuubadilisha mwanga wa mule ndani.

Nilihisi mapigo yamesimama, niligundua macho yangu yamenaswa na usumaku mahaba. Ndipo joka langu likaanza kwa kupiga miayo kisha likajinyoosha na kutunisha misuli.

Nilimshukuru mama mwenye nyumba ambaye nilimjua Kama mlokole na Mama mstaarabu aliyependa dini.

Alikaa nakujifunika mapaja yake vizuri.
"Hivi unajua wewe ni kijana mzuri, Michael?"
"mmmh!!"
"Eehe wewe ni kijana mzuri"
Kimya

"Ahsante kwa chakula"
Nilishukuru huku nikijaribu kufanya suluhu na joka asijitokeze kwenye ile kombolela. Joka lilisimama kidete, halikutaka kusikia lolote kutoka kwangu. Kuna wakati liliparua bukta yangu niliyoivaa jambo ambalo Mama mwenye nyumba alihisi bukta inacheza.

Jambo hilo pengine ndilo alilolitarajia Mama yule.
Aliachia tabasamu jepesi na kufanya vishimo vidogo vijitokeza kwenye mashavu na kupotea.

Alinishika begani kisha akasema;;;.........

Fuatilia simulizi la kweli kutoka kwa Michaelray22 litakaloanza jumapili.
Litakalo kwenda kwa jina "MWANACHUO".

Ahsante kwa kusoma.
Kyumamae kyumamae malizia hii kitu
 
Hahahaha...mwone shigongo. Utamfaa sana
 
Nyumba za kupanga ni majanga, nakumbuka nilipokuwa kwenye nyumba ya kupanga, baba mwenye nyumba alikuwa mbabu fulani hivi ni cha umbea balaa. Yeye akishaamka kazi yake ni kukaa tu barazani toka asubuhi mpaka jioni. Mgeni wangu yeyote tunayefika naye, lazima amwone na kumuuliza maswali mengi sana.

Sasa siku moja kuna mgeni wangu wa kike alikuja kunitembelea, kumsalimia tu na kabla hajaingia katika ndani mwangu, mara ooo umekuja kwa rafiki yako, ila angalieni maji hayatoki toka asubuhi, yamekatika sijui mtatumia nini?
Hahahaha....alijua mnaenda kudombeka
 
Nakumbuka niliwai kupanga nyumba mi na jamaa yangu tupo single ila jamaa yangu ilikuwa kila siku lazima analeta mzigo ndani mi namfungulia siku moja alileta kitu kinapiga kelele balaa siku iyo majirani ilikuwa story, bahati mbaya kitu kilikuwepi hadi mchana. jamaa akaendelea kupiga mambo watu wakajaa dirishani hadi watoto, kibaya zaidi demu alikuwa anaria uku akisema "unanitoboa" basi mama mwenye nyumba alianza matusi kutoa anasema kwani sisi hatutom.bwi acha kelele izo
Hahahaha.....mkuu tutaonekana wehu
 
Mi nakumbuka kipindi nimeenda likizo kwa uncle mwaka 2012 hapo ndo nikajua nyumba za kupanga ni shida
Kwanza nilikuwa na tabia ya kukojo bafuni aisee mke wa uncle akapokea michambo kuwa aje aniambie niache kukojolea bafuni,
Kilichokuja kuniacha mdomo wazi ni siku ambayo mama WINNIE aliingia sebuleni kwetu akaiba BLUE BAND NA MAZIWA YA NIDO ile anatoka tu akakutana uso kwa uso na mdogo wake na uncle aiseee kwa kutumia heshima na busara tukamstahi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],vijana jengeni nyumba kwanza ndipo mtafute familia
 
Mmenikumbusha wakat naanza maisha kule kwa ali maua siku nayofunga dish la GTV mtaa mzima umesimama unashangaa jioni nkirudi home nakuta watu mlangoni wanasubiri waje kuangalia tv
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],mwaka gani ??? Kama ni mademu haukuwabutua kweli??
 
Nimesoma huu Uzi wote nikiwa nimetulia kwenye land cruiser V8 yangu,bado kamvua kanapiga,kakiisha naenda kupiga mitungi ijumaa leoo
 
Back
Top Bottom