Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Miaka ya nyuma wakati naanza maisha nilipanga kwa mama mmoja hivi. Yeye alikua anaishi huku mbele, nyuma tukawa wapangaji kama watatu, wawili wana familia zao so mimi ndio bwa mdogo. Sasa huyu mama alikua mkali kinoma na alikua na ka last born kake kabinti kazuri kalikua sekondari.
Mi enzi hizo nilikua smart sana sio kama unavyoniona sasa, hii ilitokana na kazi niliyokua nafanya. Vihela kidogo pia nilikua navyo na sikuwahi kupeleka binti pale home, na mara nyingi nilikua naongea vitu vya maana na kujidai mstaarabu sana.
Sasa nikawa nashangaa, huyu mama kila akitaka kuniambia au kuazima kitu, anakatuma kale kabinti! Siku moja kakatuma nikawa nimesimama mlangoni kwangu nakasikiliza, kucheki namuona maza kwa dirishani kwake kasogeza pazia anatuchungulia, nikasema mmh...!
Kwa kifupi nilikuja kuhama pale baada ha kupata nyumba mitaa mizuri zaidi, kama wiki baada ya kuhama nikapata msg namba mpya "hata huagi?" Kudodosa ni kale kabinti..! Basi kakawa kanatoroka siku za jumapili kanaaga kanaenda church kumbe kanakuja kwangu nakatafuna.
 
Habari za leo wandugu,

Dunia hii kuna wengine hawajawahi kabisa kuishi katika nyumba za kupanga, wengine maisha ya uswazi hawayajui kabisa, basi leo nimeona tuangalie maisha katika nyumba za kupanga. Ukweli ni kuwa maisha katika nyumba za kupanga si mabaya, ni wewe mwenyewe utakavyoiweka akili yako.

Unaweza kujifunza mapishi katika nyumba za kupanga, kwani kupika wote mnapika pamoja, kama ulitoka kwenu hujui kipika chapatti, utakutana na wapangaji wenzako ambao tena wanapika chapatti za biashara, na utajifunza kukanda unga hapo. Si chapatti tu, ni mapishi mengi.

Ukitaka kuishi vizuri kwenye nyumba za kupanga usiwe mbea na mfuatiliaji wa mambo ya watu pia usipende kuanika ya kwako. Ukikuta unaongelewa wewe dharau tu, kama hujaanika sana yako watakayo kuwa wanaongea watakuwa wanahisi.

Rafiki zangu wa kiume kama watatu hivi waliniambia bikra zao zilitolewa na wapangaji wengine wakati wakiwa wadogo kwenye nyumba za kupanga, mimama isiyokuwa na haya anamsubiri mama wa kijana ametoka, ndipo kijana anapoitwa chumbani, huko anakuta ameandaliwa chai na vitafunwa na akapewa mchezo. Kama vile wale wa ushuani wanaposema bikra zimetolewa kwa ma housegirl huku kwetu kwa Mtogole kuna mengi pia yanaendelea.

Dhumuni la waraka huu ni kufahamishana dunia inavyoendelea katika nyumba hizi, kuna mengi yanayoendelea ambayo wazazi hawayafahamu. Fikiria kama hili li mama linalomuitia kijana wako chai lina magonjwa, mpaka uje uhfahamu mtoto ameathirika kabla hajafikisha miaka 20.

Siku njema.
Acha usinikumbushe yaliyonikuta few dayz ago,nmefumaniwa na mdogo mtu bad enough anamcare mtt wake,kanijia juu kinouma,nlikuwa najua kaomba ruhusa kwa dada kumbe kamtoroka na kaja na kanga moja room ile hata hatujapanga mipango dada mtu huyu hapa,nlihisi labda wamepanga ila nmejagundua hapana due alimrudisha kwao na huyo mtt,aysee ilikuwa fedhea sanaa mpk sasa hiv hatuongei kila mtu na mambo yake
 
pole sana mkuu, hakupiga kelele kujaza watu wa mtaa?
 
Mama mwenye nyumbani aliamua nini?
 
Pumbavu kabisa, siku moja naumwa njaa Kali, naishi na Bro! Akaniambia yeye ameshagonga msosi kwahio ataniletea kiepe! Nikamwambia poa, ile amefika amepaki gari geti ya uani ambako ndio kulikua na wapangaji wengine. Mama mmoja akampokea, doooo kamwambia umebeba chips? Aiseeee Nina hamu na chips sana nakula! Masiala kazila kweli.

Bro anaingia ndani SAA tano usiku ananiambia Oogh Mama Brian kala chips zako itabidi ukatafute nyingine, nikatoka kuanzia kule Mikongeni hadi Tabata Mwananchi.... Mama Brian alikua kiboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni mzuri sana, nimesoma comment zoteeee

member wengi walio changia wanaishi Daslam...

Wimbo wa kusindikizia uzi: Chege -Uswazi
 
mimi n zao kutoka nyumba za kupanga.mzee wangu wakati wa ujana wake alimfaham mama kama mtoto wa mwenye nymba,wakaanzisha mahusiano wakaoana tukazaliwa.
 
Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
😂😂😂😂 this is too much, i see.
 
N
pole sana mkuu, hakupiga kelele kujaza watu wa mtaa?
Nlimwambia kuhusu kupiga cjui ndo mwanu asijali ntampgia...nlkataka kutoka niwageuke kuwa wanafanya nn room kwangu akazuilia nkaona isiwe case,wote nkarusha nje then nkafunga mlango na mziki mkubwa kama hakuna kilichotokea vile
 
nyumba nlikua nakaa 2014. nlileta demu mchana saa 5 hvi, kukaa kma dkka 10 maza-house kaja kugonga, palepale akaniambia kua hairuhusiwi kuleta mwanamke pale na alihakikisha mgeni wangu kasikia alafu akaondoka. yule manzi alimaind akasepa na akaniambia hyo nyumba nihame kodi ikiisha (ya miezi 3). usiku wake mida ya saa 4 hivi nmerud, yule maza akaingia moja kwa moja na khanga moja kajifunga matiti, nyingine kiunoni. akaniambia "tabia gani za kuleta mabinti hapo wakat yy yupo!? siku nkiwa na genye nimshtue tu kaah!? nlichoka kabisa ikabidi tu nimkule kibingwa. . binti yake pia " mwanahawa" alikua anakuja namkula, mpka siku imebaki wiki kodi iishe wakafumaniana ikabidi niwaambie man to man kua mkileta timbwili nyi ndo mtaaibika. kesho kutwa yake nlihama kabisa kutoka huko kimara mpaka kijitonyama sikutaka utani kabisa.
 
hhhhhhh
 
Pumbavu kabisa, siku moja naumwa njaa Kali, naishi na Bro! Akaniambia yeye ameshagonga msosi kwahio ataniletea kiepe! Nikamwambia poa, ile amefika amepaki gari geti ya uani ambako ndio kulikua na wapangaji wengine. Mama mmoja akampokea, doooo kamwambia umebeba chips? Aiseeee Nina hamu na chips sana nakula! Masiala kazila kweli.

Bro anaingia ndani SAA tano usiku ananiambia Oogh Mama Brian kala chips zako itabidi ukatafute nyingine, nikatoka kuanzia kule Mikongeni hadi Tabata Mwananchi.... Mama Brian alikua kiboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] watu wengine wapumbaf sana. Eeh nimebeba chipsi, kwa hiyo nimesema nimekubebea wewe? Shenz taipu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom