Maisha katika nyumba za kupanga

Maisha katika nyumba za kupanga

Nimekaa kwwnye nyumba za kupanga, lkn sijawahi panga uswahilini, kwanza mi muoga, mpole, siyo muongeaji nikapiga mahesabuyk yngu nikasema hata ngoja nitafute angalao sehemu nitakaa kwa uhuru bila vijembe
 
Rafiki zako watatu wakiume bikira zao zimetolewa nawapangaji hapo naomba ututake ladhi wanaume tulioko humu naujie nisisi wanaume ndo tulikutoa hiyo bikira kwahiyo utueshimu make kutoa bikira nikazi pevu hadi jasho kwamwanaume na mwaumke mkalele kwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku moja long time kitambo jamaa ameleta mdada poa ndani, asubuhi anamwambia hana pesa asepe. Mwe mwe dada aliliamsha 'wewe umekula mlango wa dharura kumbe huna pesa na mimi hapa sitoki. Humu ndani una redio cassette na jiko la tanalec kaweke rehani unipe pesa yangu'.

Kero ilikuwa kubwa mpaka mama mwenye nyumba kuingilia, shauri lilifika kwa mjumbe wa mtaa na wazee wakaitwa, Ilibidi wazee wachange pesa wampe jamaa kwa ahadi ya kuwa mwisho wa mwezi akipata mshahara atarudisha.

Uswazi hakuharibiki neno litawekwa sawa tu.
Hahahaah uswazi raha sana.!

Nimecheka sana,yani eti mlango wa dharula,dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RAHA YA NYUMBA ZA KUPANGA 'MISAMBWANDA' INAPATKANA KIRAHISI.. UKIWA KIMEO UNAWEZA KUJIKUTA UMETEMBEA NA WANAWAKE WA NYUMBA NZIMA, KUANZIA WAKUBWA HADI WADOGO.
KIUKWELI USWAZI MAADILI YAMEPOROMOKA.
ndio raha yangu mkuuu...kuna siku nilikua nammendea mmoja sasa usiku joto limezidi natoka kupunga upepo namkuta na kikanga anaenda bafuni..masihara nikamwambia tukaoge wote...nilipiga viwili tukakatisha mechi maana utam haukinai...kuanzia hapo nikawa najilia bila hiyana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kujutia maisha ya uswazi. Dawa ya maisha ya uswazi ni jujishughulisha na chochote na uwe na kauli thabiti. Busara na hekima na mheshimu kila mtu. Pia usiwe mwenye maamuzi ya kukurupuka. Kama una familia ni Mume/Baba, jitahidi kujua na kuitumia nafasi yako kwa weledi. Epuka kuingia kwenye mijadala au masuala rejareja ya nyumbani. Usiwe msemaji (maneno mengi) badala yake uwe msikilizaji zaidi na kutoa mawazo/msimamo wako kwa makini na pale tu panapostahili. Salimia kila mtu lakini si lazima kuzungumza (kupiga soga) na kila mtu. Wengi wetu (hasa wanaume) tunakosea kwa kuingia kwenye mtego mbaya wa masuala ya rejareja kama magomvi ya watoto au maneno ya kinamama.
Japo haya yote yanategenea kipaji na msingi wa malezi/mazingira uliyopitia hadi kujitegemea na kutegemewa.
 
Hapa Mw'nyamala napoishi, demu wangu actually ni mtoto Wa mama mwenye nyumba.
Demu ni Wa kwanza kuzaliwa.
Ana wadogo zake wanne, wote Wa kile.
Mdogo kabisa hapo yuko form two.
Kila nikitaka kuwagonga wadogo zake nafsi inanisuta sana. Mpaka najilaum kwanini niliingia relationship na yeye.
Siko huru kabisa.
Hasa hasa hawa madogo Wa Form Two na form Three nawamezea mate kishenz.
 
Uzuri wa uswazi huwezi kuwa moweke hata kama hujaoabau kuolewa.
Of course maisha ya kuchanganyana huwezi kuwa mpweke, TV chumba cha jirani, mambo ya kushare moto , chumvi , mboga etc , sukari unapata mpaka vijiko 2 dukani pressure itoke wapi!
 
Uswazi kuzuri. Ukiwa bachelor wadada wa hapo nyumbani watajaza maji yakitoka na kukugongea kukuuliza kama umekula. Kazi hata za kugonga misumari zote zako. Mnh. Dawa yao ni kaondoka asbh sanaaaaa na kurudi usiku. I miss those days.
Ahaaaa sure mkuuu dah umenena sana na umeni kumbusha mbali sana...nilipanga chanika hizo zilikua pigo za wadada utaskia jirani kitasa kibovu njoo utupigie msumari,mara jirani chaga mbovu,ukishiwa maji uta ambiwa njoo jirani tunayo kwetu dah yale maisha na ya miss sana
 
Dah enzi nipo chuo nilipanga maeneo fulani hapa jijini, wapangaji tulikuwa wengi vyoo vichache. Sasa siku moja nikazama toilet, kumbe wakati naelekea toilet kuna binti nae alikuwa anakuja toi pia kwa hiyo nilimuwahi. Binti akabaki nje ya toi kunisubiria lkn kadri anavyosubiri kidume sikuwa na dalili ya kutoka. Uvumilivu ukamshinda akanigongea..
Binti: Kaka unatoka saa ngapi mwenzio nina haraka?
Mimi: Kama una haraka ingia tuoge wote [emoji4]
Dah kama utani bana binti akazama kweli mpaka ndani [emoji3] aisee siwaambii kilichotokea
Ha ha ha ha ha kiulaini mkuu umejiopolea papuchi uswazi kuna mambo
 
Uswazi kuzuri. Ukiwa bachelor wadada wa hapo nyumbani watajaza maji yakitoka na kukugongea kukuuliza kama umekula. Kazi hata za kugonga misumari zote zako. Mnh. Dawa yao ni kaondoka asbh sanaaaaa na kurudi usiku. I miss those days.
Dah!!! Umenikumbusha mbali sana mkuu, nilipanga nyumba tupo wapangaji sita wasichana wa tano na wote wako single wote wazuri kishenzi. ilikuwa tamu sana iyo nyumba. Nilichokifanyaga sitokaa nikisahau. Nipo kwangu sasa ila sitosahau those days.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom