Ndoa: Nyumba ndogo za mbali changamoto mitaani

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
596
Sijawahi kujua wanaume wanao oa wanawake wengine na kuwaeka nyumba ndogo wanakua wanajua nini wanafanya au kitu gani?

Maana hua wanawaweka mbali na makazi yao hasiria, na hapo hapo huko ambapo wanawaweka unakuta unakata mwezi hajaenda kuonana nae au hata wiki mbili.

Sasa hua najiuliza anaimani gani kiasi ambacho anamwacha wiki mbili bila kuonana nae wakati anajua kuna hitaji la ndoa kama mke na mume, au yuko tayari kuja kusikia wajuba wanakinda. Mana sijuagi nyumba ndogo hua kwao inaumuhimu gani katika maisha yao.
 
Sijawahi kujua wanaume wanao oa wanawake wengine na kuwaeka nyumba ndogo wanakua wanajua nini wanafanya au kitu gani? Mana hua wanawaweka mbali na makazi yao hasiria, na hapo hapo huko ambapo wanawaweka unakuta unakata mwezi hajaenda kuonana nae au hata wiki mbili. Sasa hua najiuliza anaimani gani kiasi ambacho anamwacha wiki mbili bila kuonana nae wakati anajua kuna hitaji la ndoa kama mke na mume, au yuko tayari kuja kusikia wajuba wanakinda. Mana sijuagi nyumba ndogo hua kwao inaumuhimu gani katika maisha yao.
Wanawaweka kama BACKUP kama BIG MOTHER akiyeyusha au akiwa kwenye redcarpet.
 
Sijawahi kujua wanaume wanao oa wanawake wengine na kuwaeka nyumba ndogo wanakua wanajua nini wanafanya au kitu gani? Mana hua wanawaweka mbali na makazi yao hasiria, na hapo hapo huko ambapo wanawaweka unakuta unakata mwezi hajaenda kuonana nae au hata wiki mbili. Sasa hua najiuliza anaimani gani kiasi ambacho anamwacha wiki mbili bila kuonana nae wakati anajua kuna hitaji la ndoa kama mke na mume, au yuko tayari kuja kusikia wajuba wanakinda. Mana sijuagi nyumba ndogo hua kwao inaumuhimu gani katika maisha yao.
Umeoa? Kama ndio, basi ndoa yako bado changa. Subiri ikomae mkuu
 
Muda mwingine haina mana kua na nyumba ndogo mana nikuwekeza sehemu isiyo na mafanikio
 
Ukikua itakujia yenyewe tu automatically unajikuta una nyumba ndogo. Tena nyie mnaojifanya huwezi kuwa na nyumba ndogo utajikuta unazo hata 4. Bado hujawajua vizuri wanawake.

Kwanza kuna wanaume wa aina mbili kama huwezi kuwa na nyumba ndogo basi wewe ni wa kuacha mke kila wakati na kuoa mwingine. Sasa unakuta sisi ambao tuna back up ya nyumba ndogo ni ksbb ya ile HURUMA,ni huruma kwenye mengi. Kwanza kikubwa HURUMA KUITENGANISHA FAMILIA KSBB YA MWANAMKE. Pili huruma tu ya maamuzi magumu. (Kuacha mke ni maamuzi magumu sana kijana). Unajikuta bora tu uwe na back up.
Kuna wanawake wa aina nyingi. Lakini wengi wao siku hizi ni VISILANI.

Mfano kuna mwanamke ukitibuana nae anaweza kununa hata mwezi. Na ktk kununa atajifanya anaumwa hivyo usimuombe kidudu chake.

Sasa kuna aina ya wanaume kama mimi sonaga hali ya kubembelezea sana kidudu. Na mimi najikuta nunda nakizira. HAPO NDIPO KWA WENGI LINAZALIWA SANA WAZO LA BACK UP. Halafu bahati mbaya hawa wa siku hizi sio wa 2000 mpaka wa 80 hawajui kuomba SAMAHANI,wanaona watapungukiwa. Hivyo anachugua kununa. Wengi wao wanatumia kumnyima unyumba mwanaume kama siraha yao kuu. (HAWAJUA WANAVUNJA NYUMBA ZAO KWA MIKONO YAO WENYEWE)

Usalama. Hapo kwenye usalama wa nyumba ndogo hakikisha usikosee mara mbili kama ulivyokosea kwenye kuoa. Na ksbb tayari unakuwa machuad sasa Hakikisha unachagua mwanamke muelewa,mpole,msikivu,mwenye hofu (japo binadamu anaweza kufanya chochote pamoja na yote). Muhimu usikae wiki zaidi ya mbili bila bila. Hata anaweza kuwaza vingine nae
 
Atakayekupinga kwa hili andiko basi ana mapungufu sana
 
Akikuninyima fanya kiume, yani mbake kisirani kitamwiisha
Mtindo huo nimefanya sana enzi za ujana wangu nimechana sana chupi. Ndio maana nimesema ukikua utajua. Baadae ksbb ile HURUMA na kukua kwa nafsi. Hicho kitendo baadae utakiona si cha kistaarabu au ni cha kijinga sana kwa nini UMBAKE KILA WAKATI MKE WAKO?.

Hicho kitendo cha kumbaka mke wako kila wakati,itazaliwa hali ya kumchoka mke wako. Unamchoka ksbb moja tu. Unapoingia kitandani unaanza kuwaza nimuanzeje ili nile tunda?. Ukimgusa tu anakurushia huko mkono. Kuna muda mwingine ksbb ya kuwaza utamuingiaje mwili kisaikorojia unaingiwa baridi ksbb linakuwa tena sio tendo la kufurahia na kustarehe umekuwa kama vita.

Hapo ndio wengi ndani ya ndoa wanahisi wamerogwa ksbb kuna muda hautamtamani tena mke wako SAIKOLOJIA. Kila unapotaka unawaza kitu mzigo unagoma. Ila ukitoka tu nje unaweza kugonga hata vi4 fresh kabisa.

Ndio hapo sasa panazaliwa wanaume wale wawili nilikuambia mwanzo. Either umuache mke wako au ubaki pia na yule umemgonga vi4.

NAAMINI UTAKUWA UMEELEWA MPAKA HAPO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom