Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

Mi nakushangaa mzee baba yaani haujui kutofautisha kati ya mke wako wa pili na mzazi mwenzako..

Treatment ulizokuwa una mpa wewe ni za mke mdogo wakati huyo ni mzazi mwenzako tu.

Hapo wewe ni kucheza na mtoto tu hata kama ela za matumizi ya mtoto anatumia na boya mwingine hakuna namna subiri mtoto akue uchukue kiumbe chako.
Asante mkuu,I noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mkuu unamlaa mkeooo alafu mchepukooo akae na ugwaduuu tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Pesa sio kila kitu mkuuu hata kama ungempa Bil 1 keshoo angetafutaa wa kumtoa genyeee tuuu yaniii its nature mzee...!! Ukimfanyia mazuri fanya kwa manufaa ya mtoto wako zaidi sio yeye maana huyo sio wakooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu mzazi mwenzako unamtreat Kama mke Wako??? Mnaishi mbali unamaliza miezi au mwaka bila kukutana ataachaje kutombwa mkuu??

Wewe focus na mtoto Basi kupasha kiporo Moto achana nayo. Unamchunguza Sana inaonekana unampenda huyoo Mwanamke.

Jamaa kazingua kweli sijui, watu wanaofanya haya wanafikiri vipi, Hovyo kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaka eeee haaa haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 hawa vijana saa nyingine wamezoea kuita watu wasiowajua maneno ya dharau eti dogo...Nikaamua nimwage statistics aone watu tupo kwenye majukumu mazito ukijumlisha na hali ya sasa hivi..tunapambana kuhakikisha madogo wanafurahi..Sasa mtu from nowhere tu eti dogo..Real Gentleman Tunafight sio kutelekeza watoto wanapata shida huko..huku ukienjoy na mademu wengine hio ni dhambi kubwa sana!! Mtu anatapanya pesa huku mtoto wake huko hana hata nguo ya kuvaa, hana sendo, mtoto unakuta anakula mlo mmoja tu hii ni dhambi sana!!
Mkuu My Children are Number 1 priority!!
 
Amefanya upupu gani? Yaani wewe uko unakula raha kwa mkeo huko mimi nibaki napigwa baridi huku na sijui hata utakuja lini??
Yaani nimemaliza kukutengenezea mazingira ya kujihifadhi ndani ya mwezi mmoja hujui nitakuja lini?real???
Na nimetoka kufanya jambo jingine ndani ya miezi mitatu kwa baba yako mzazi??harafu usijue nakuja lini??
Dah tuwe waungwana jamani japo kidogo basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekukubalia ila huna haki ya kuniwekea mipaka as if umenioa au una mpango huo. Hapo na yeye alikuwa anapambana kuanzisha familia yake eboo
Wala siwezi kukuzuia kuwa na maisha yako,lakini fikiria ninakupa kila hitaji lako na la mtoto na ni ndani tu ya muda mfupi tuseme labda nimekutenga kwa muda mrefu noo,unashindwa kuwa muungwana japo kidogo,basi hukuwa na haja ya kunitegemea kwa kila kitu huku una future husband mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom