Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,952
- 2,579
Habari wakuu,
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.
Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.
Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorudi hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu wewe utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.
Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu, email na location kabisa yeye anapoishi. Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile
Sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi