Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

Hela alikuwa nazo mwisho wa siku anazeeka hana kitu cha maana anaishia kusema.... zamani hapa Arumeru mjini kiwanja ilikuwa laki tano tu. Wakati huo ana ndala zimetoboka na anajiunga na TAASAFU kupapatiza maisha.

Wazee wengi wamefeli kutulea na kututunza si kwa sababu hawakiwa na pesa au kipato. Ni ujeuri tu na kupenda starehe.
Mkuu upo sahihi japo siyo wote walimaliza hela walifanya kama mimi enzi za ujana wao,dharura za kuishiwa hela zipo na zingine haziepukiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumpiga ulikosea mzee baba,
Kwani ww huyo si mkeo, ulitaka aishi vp bila kwichi kwichi?
Ushauri:Chukua mtoto umpigie goti mkeo mweleze ukweli, haijalishi utampeleka kwako au kwa mama yako au kwa shangazi, kwani mwisho wa siku mkeo atakuja kufahamu ukweli tu,


Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu pengine hasira hasara tu,lakini tunajifunza kutokana na makosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa, mwanaume mwenzenu huyo kazingua sana hapo.
Hata kama KE wake alikuwa anamuhudumia na ndio akaja kujua ya chini ya kapeti ilipaswa amkanye na sio kumpiga mpaka kupelekana police. Huyu kaka mbinafsi sana
Kwa taarifa yako mkuu nilipelekwa polisi baada ya kupigia mafundi waje kubomoa nyumba na wala siyo kwa sababu ya kumpiga.
Japo kumpiga haikuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utunzi wako mzuri ila umepotea uliposema uliwaamiru polisi wamweke ndani mwanamke! Kwa kosa lipi aliwekwa ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kuandika kila kitu hapa ila acha tu yabaki hayohayo yanatosha,kijiji kizima achilia mbali ndugu zake walikuwa wananielewa sana na walikuwa wanastaajabu sana kwamba anawezaje kuleta mwanaume ndani ya nyumba aliyojengewa na baba mtoto wake tena kwa muda mfupi kiasi kile???n.k n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi huwa wanajali michepuko lakini familia ya mke anajibiwa sijaoa ukoo , mke utaambiwa unaharibu pesa lakini kwa hawala mzigo mkubwa wa haja, hicho kijumba ukarabati wa nyumba hiyo angekuwa kaufanya kwao namkewe ingekuwa bora zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweni kwangu ni huko kaskazini pesa niliyotumia kwa baby mama yote mpaka na ya kumhonga ni mafuta tu ya gari lake.
Sina cha kuwasaidia huko zaidi ya kutoa tu kama zawadi,na huwa nafanya hivyo kila niwezapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ninayokutana nayo kutoka kwa wazazi wenzangu!! Mungu ndiyo anajua.
 
Wakati unafikiria nini cha kufanya Mkatie mwanao Bima ya Afya.

Pia anza kupima kina cha maji hapo nyumbani ili uone jinsi gani utamleta mwanao aje kukaa na wewe.

Binafsi naamini wajibu wa mzazi ni kupandikiza kile anachoamini kitamsaidie mwanae kupitia malezi
 
Back
Top Bottom