Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

Mi nakushangaa mzee baba yaani haujui kutofautisha kati ya mke wako wa pili na mzazi mwenzako..

Treatment ulizokuwa una mpa wewe ni za mke mdogo wakati huyo ni mzazi mwenzako tu.

Hapo wewe ni kucheza na mtoto tu hata kama ela za matumizi ya mtoto anatumia na boya mwingine hakuna namna subiri mtoto akue uchukue kiumbe chako.
 
Sijawahi pasha kiporo eti au huenda kwa sababu sijawahi kuwa nacho?
Mhh inawezekana vipi? Means you're a nobody ex!!
Ni wewe ndio ulisema "hawala hapewi talaka" maana yake wakati wowote utaita upashe kiporo
 
Duh! Basi hawa watu ndio walivyo kumbe! Yaani ungesema ni Ushirombo halafu ukasema ni Mtoto wa kiume hahahaha ningekutajia jina kabisa. Yote uliyoyaandika yanafanana kabisa na huyo Dada. Labda kama umebadili hizo taarifa mbili.

Wanawake ndio walivyo, yaani jamaa alinisimulia hivyo hivyo, tofauti ni hizi tu na kwamba yeye hakwenda polisi aliamua kukaa kimya tu.

Mshkaji alikua anafunga safari kabisa anaenda ushirombo Kahama huko anakaa hapo kumbe demu ni mke wa MTU. Akabeba mimba akajifungua duh jamaa analea na huyu nae analea.

Wanaume tuna majanga aiseeee. UKIMWI utatumaliza, jamaa alinitumia hadi picha ya demu, ni mkali, ni chombo, akiniruhusu nitaitafuta niiweeke hapa.
Hapo ukute jamaa yako alikuwa na mke ila unamshangaa mwanamke tu
 
Mhh inawezekana vipi? Means you're a nobody ex!!
Ni wewe ndio ulisema "hawala hapewi talaka" maana yake wakati wowote utaita upashe kiporo
Kiingereza sasa ndio shida! Huamini Rafiki? No, yale ni maneno tu sawa na yule aliyesema , NI USAWA WA LEVEL SEAT KUSIMAMISHA KWA MKEO
 
Sasa mkuu mzazi mwenzako unamtreat Kama mke Wako??? Mnaishi mbali unamaliza miezi au mwaka bila kukutana ataachaje kutombwa mkuu??

Wewe focus na mtoto Basi kupasha kiporo Moto achana nayo. Unamchunguza Sana inaonekana unampenda huyoo Mwanamke.
Shangaa na wewe, watu wengine wa ajabu aisee
 
Alikuwa ameshajifungua lkn hakukuwa na sababu ya kumpiga.
Wanaume ni wabinafsi sana, ye akiwa kwake anabanjuka vizuri tu na mke wake halafu mchepuko ndio anataka ujaze kichupa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yah nimesoma upya. Atleast alikuwa si mjamzito. Though bado kupiga mwanamke ni weakness lakini moyo ulinienda mbio sana
 
Kiingereza sasa ndio shida! Huamini Rafiki? No, yale ni maneno tu sawa na yule aliyesema , NI USAWA WA LEVEL SEAT KUSIMAMISHA KWA MKEO
Yan nikikosa kiswahili au nikiona maelezo kwa kiswahili yatakuwa marefu najikuta tu nishamix na hiyo lugha ya watu 🙈
Maneno ya herufi kubwa 🙌🙌.... Ila bado sijaamini
 
Back
Top Bottom