Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,127
- 93,263
HahahahahahahahahMbinguni hawaendi kabisa shwain zao
HahahahahahahahahMbinguni hawaendi kabisa shwain zao
We cheka tuHahahahahahahahah
hahaaha, umeng'ata na kupuliza...safiii sanaPole....kisa chako kizuri na unajua kusimulia pia uandishi hauchoshi kusoma
Hakukuwa na haja ya kumpiga wakati we mwenyewe una familia sasa ulitaka yeye akatulizie wapi mihemko na wewe muda mwingi upo kwa mkeo? We endelea kumtumia matumizi baby mama sababu ya mtoto wenu hata kwa Mara moja baada ya kila week 8.
Walikuwa wanawake wa zamani waliotahiriwa hawa wa kisasa hata akiwa na MP anawashwa.Niliambiwa kwamba wanawake wanaweza kuvumilia kukaa muda mrefu bila kukunwa
nimekuelewa sana mkuu na hii ndo misiamo sasa.Aiseeh mimi nipo makini Broo!! Kwanza Siwezi Kujenga Ukweni Hiyo ni never iwe kwa mke au kwa mtu niliyezaa nae pembeni!! kama walishindwa kujenga kipindi hicho Mimi ni mwema kiasi gani mpaka niwajengee hata iwe choo sijengi.Maana nina mifano Mingi ya watu waliokua wema waliofanya makubwa ukweni au kwa michepuko au wake wadogo mwisho wa siku wamekua Fu**ked[emoji3] pamoja na wema wote walioonesha!! Hivo ni vitu ambavo sitakuja kufanya ni big mistake!! Hiyo hela wekeza kwa Ajili ya watoto wako Tu( wapate elimu, wafurahi kuna baba) sio sijui kumjengea mke au mchepuko huko..
Pili huwa sinaga garantii ya kuwa mwanamke yoyote ninaeishi nae atakua wangu nikampa asilimia zote Never hata iwe mke wangu huwa naishi nae mguu ndani mguu nje!! Kingine sitaki mwanamke aniletee shida katika maisha yangu Nikiwa na msemo kwamba sijazaliwa nae.
Tatu Maisha nitakayoyajenga ni kwa ajili ya watoto wangu na Nitafocus kwa watoto tu maana hao ndio ndugu zangu!!
Brazaa hawa wanawake ambao leo uko nao kesho yupo na mwingine Dont give a chance akusome hata awe mke wako kuwa mtu usie eleweka!! Maana thamani yako wewe ni ukiwa hai na mwenye afya ya kutafuta,si tumeona wengi tu jamaa baada ya kukata moto au yuko kitandani hajitambui Mali zile mwanamke anatapanya na masela wengine.Kila siku tunatakiwa kujifunza katika maisha.
Kwa upande wa matumizi huwa nipo na limitations sana huwa situmagi hela kizembe maana wanawake ni wazuri kwenye ku Fake vitu sana.
Ukishajua hayo mkuu mwanamke akusumbui..na utaish vizur tu maana nilijiapia kwamba sitaki stress katika maisha yangu Sitaki kufa mapema( hili namwachia Mungu Ila sio kwa sababu za wanawake never)!! Nina limit ya mwanamke kunisumbua maana nimetengeneza mazingira wasinizoee sana iwe niliezaa nae au Wife.
Furaha yangu Huwa ipo kwa watoto kwani Napenda sana Watoto na sitaki hata siku moja kuja kutelekeza mtoto!! Mwanamke akizingua huwa nina namna namtreat kisaikolojia which is more painful huwa sipigi.
Mwisho; Sitaki Stress katika maisha yangu zinazoletwa na mtu anaitwa mwanamke.Furaha yangu Ipo kwa watoto tu sio mwanamke!! So Huwa hawanisomagi hata kidogo maana nabadilika badilika...Eti mwamamke anataka kujifanya Anakujua sana kuliko Mama yako aliyekuzaa kisa umezaa nae.
@Depal mbna unatetea sana ......sielewi ujue[emoji5]Alikuwa ameshajifungua lkn hakukuwa na sababu ya kumpiga.
Wanaume ni wabinafsi sana, ye akiwa kwake anabanjuka vizuri tu na mke wake halafu mchepuko ndio anataka ujaze kichupa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wa sasa ?Walikuwa wanawake wa zamani waliotahiriwa hawa wa kisasa hata akiwa na MP anawashwa.
wanawake mna kaujinga ka kuchukulia ujauzito kama excuse yan mkiwa wajawazito mnakuaga na vitabia vyaa ajabu ila mkipewa pesa hamjawahi kukataa yaan hakuna mimba inayokataa pesa hata sku 1.Yah nimesoma upya. Atleast alikuwa si mjamzito. Though bado kupiga mwanamke ni weakness lakini moyo ulinienda mbio sana
Huelewi nini?@Depal mbna unatetea sana ......sielewi ujue[emoji5]
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Umejuaje? Na we utakuwa wa kisasa tuWalikuwa wanawake wa zamani waliotahiriwa hawa wa kisasa hata akiwa na MP anawashwa.
Umejuaje? Na we utakuwa wa kisasa tu
Hapo kabla ya mwisho kwenye saikolojia ni njia gani hiyo mkuu?
[/QUO
😃 hii inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke ukikaa nae ukajua tabia zake inakuwa rahizi ku adjust dozi ya kumtreat!!
Asante mkuu,anyway...pole sana...why ulimpiga bro?? ni mkeo huyo?..tuseme una bahati angepata mwalimu mzuri, mkeo ndio angekuja kukutoa huko.......bado unachangamoto kubwa sana......ibilisi bado yuko kazini....na mkeo atajua, jipange tuu kwa valangati...namuonea huruma sana huyo binti yako...baba kahaba, mama kahaba...sijui safari yake ya maisha itakuwaje!!! uwe jasiri sana...na endelea kutafuta pesa kwa bidii....mpaka zikuzoee........wacha ukahaba....
Asante mkuu,tayari maji yameshamwagika ni kujiandaa kuikabili hali halisi.Pole sana. ombea sana huyo mtoto anaweza kuja kuwa mwiba kwenye maisha yako yote. Kila uikimuona utakuwa ukikumbuka ile dhambi ya usaliti. Na mbaya zaidi mkeo akijua na ndoa haitakuwepo pia. Inaweza ikawepo physically but spiritually haipo tena. Wanawake huwa wana kisasi sana mke anaweza kuku chekea machoni ila moyoni alishakutoa kabisa. Anaweza endelea na wewe kwa sababu ya watoto wake tu na si wewe which is very dangerous. Siku zote tamaa huwa ni mbaya.
Make sure you do it dude!Asante mkuu,
Safari ya maisha ya binti yetu itaamuliwa na binti mwenyewe akiwa shuleni wajibu wangu mimi ni kuhakikisha anapata elimu bora tu na malezi nitaficha ukahaba wangu kwa kipindi nitachoanza kumlea mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pili huwa sinaga garantii ya kuwa mwanamke yoyote ninaeishi nae atakua wangu nikampa asilimia zote Never hata iwe mke wangu huwa naishi nae mguu ndani mguu nje!! Kingine sitaki mwanamke aniletee shida katika maisha yangu Nikiwa na msemo kwamba sijazaliwa nae .