Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,668
Hatufanani ....usikaririNiliambiwa kwamba wanawake wanaweza kuvumilia kukaa muda mrefu bila kukunwa
Hatufanani ....usikaririNiliambiwa kwamba wanawake wanaweza kuvumilia kukaa muda mrefu bila kukunwa
Mkuu sidhani kama mimi ni wa kwanza kuwa na mwanamke nje ya ndoa hasa katika namna yangu ya utafutaji wa kukimbizana na mapori huku na huko,kuna muda unakata miezi mitatu haupo nyumbani na unaona kutoka hata siku tatu wahuni watapita na ridhiki yako,(maisha ya migodini)Ukimwi utawamaliza vipi? Ukimwi mnajitafutia wenyewe. Sasa kama mtoa mada yuko na familia lkn akaamua kukitombesha nje tena kavu kabisa (story yake imethibitisha ilo).
Yan huu Uzi hapa ni mtatusema leo, Kila mtu atakuja na janga lake mnasahau na nyie ndio source ya hayo majanga
Acha wabambikwe tu na huku majumbani tukujua kimya kimya kama kumfukuza muuza ngada, ili walee mimba za nje na ndaniKwa namna wanaume mnavyotupasua vichwa, nikisikiaga story ya baharia wa kike kama huyo alokulelesha mimba feki huwa napata faraja kiasi
Siwezi kufika huko mkuu(naombea),japo kwenye mapenzi lolote linaweza kutokea.Hii imekaaje vizuri sana, unaweza kuja bure! Miaka ya nyuma nakumbuka kuna Jamaa walichinjana na mke wake chumbani pale Mabibo mtaa wa Mikongeni saa 12 jioni. Nilishuhudia lile tukio. Linatisha sana.
Tuko lingine lilitokea Tanga kwenye hotel ya DOLPHIN. Jamaa kampiga risasi na akajipiga na yeye. End of story
Tatizo ni kwamba yeye "hasimamishi" kwa muda mrefu! Na tu mbegu twake ni tuduchuuKwahiyo manjilinganisha na jogoo? Basi muwe mnafanyia popote kama kuku maana akili zenu kama za kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi huwa wanajali michepuko lakini familia ya mke anajibiwa sijaoa ukoo , mke utaambiwa unaharibu pesa lakini kwa hawala mzigo mkubwa wa haja, hicho kijumba ukarabati wa nyumba hiyo angekuwa kaufanya kwao namkewe ingekuwa bora zaidi!Mkeo unamjali lakini?
Wazazi wa Mkeo?
Wanao?
Naendelea kujifunzaHatufanani ....usikariri
Duh niliwahi kusoma thread humu ndani ya mtu anajiita Elisha2004 hahahaha mshkaji kadata, kalizwa na demu wa humu JFHapana mkuu,kisa changu ni true kabisa Biharamlo sehemu moja inaitwa Lunazi na mwanamke ni msubi,na mtoto wangu baby girl.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumaanisha kwamba we ndio wa kwanza au umefanya kitu cha ajabu sana. Ila ukichoharibu ni kumpiga mwenzakoMkuu sidhani kama mimi ni wa kwanza kuwa na mwanamke nje ya ndoa hasa katika namna yangu ya utafutaji wa kukimbizana na mapori huku na huko,kuna muda unakata miezi mitatu haupo nyumbani na unaona kutoka hata siku tatu wahuni watapita na ridhiki yako,(maisha ya migodini)
Hapo utashawishika tu mimi ni binadamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hoja yangu wala siyo kumzuia kumegwa hata kidogo sema ni namna nilivyotatua changamoto zake ndani ya muda mfupi tu na muda huohuo kumbe kuna sponsor kibao,si angekomaa na mahitaji ya mtoto hayo mengine akadeal na wanaokula mgegedo kwa wakati huo.Sasa mkuu mzazi mwenzako unamtreat Kama mke Wako??? Mnaishi mbali unamaliza miezi au mwaka bila kukutana ataachaje kutombwa mkuu??
Wewe focus na mtoto Basi kupasha kiporo Moto achana nayo. Unamchunguza Sana inaonekana unampenda huyoo Mwanamke.
Depal usitukatishe tamaa mbona tupp na tunaweza??Hizo nguvu hamna bado. Wanaume nyie wa karne hiii??!
Nenda kamsome huyo jamaa utaona kuwa wewe bado hujaliwa. Niko Mbeya sioni WadauMkuu hoja yangu wala siyo kumzuia kumegwa hata kidogo sema ni namna nilivyotatua changamoto zake ndani ya muda mfupi tu na muda huohuo kumbe kuna sponsor kibao,si angekomaa na mahitaji ya mtoto hayo mengine akadeal na wanaokula mgegedo kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapiDepal usitukatishe tamaa mbona tupp na tunaweza??
Hapa kinachosumbua ni wivu. Yule alikuwa international prostitute usingemuweza hata umpe nini.Mkuu hoja yangu wala siyo kumzuia kumegwa hata kidogo sema ni namna nilivyotatua changamoto zake ndani ya muda mfupi tu na muda huohuo kumbe kuna sponsor kibao,si angekomaa na mahitaji ya mtoto hayo mengine akadeal na wanaokula mgegedo kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaka eeee haaa haaaKiongozi nina mke na kids( 2 boys,1 girl) one 6yrs, 3yrs,mwenye 2yrs(girl) ni mtoto wa nje nawamudu wote..!! Bora umejua maana sikutaka kuandika direct....Nimeandika as if sipo huko ila nipo huko long time..usinichukulie poa nimeongea kutokana na experience na naweza nikawa mkubwa zaidi yako ishu za "dogo" waambie ndugu zako na familia yako usilete dharau kwa mtu usiyemjua eti unaniita "dogo" ...pumbavuu kabisa
Ni msubi mkuu,ni chombo sana tu,ameenda hewani shepu moja ya kibantu,matata sana sema ndiyo hivyo Mungu hakupi vyote.Jamaa nadhani alikutana Na totozi ya kisukuma nyeupe au kinyarwanda maana kaukanda kale kabiharamulo nakajua nimekaa sana pande zile za kagera
Mtoto anajua ndiye dad halafu yeye kujifanya yupo juu eti mponda kokoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nazan kilochomuuzi co kugengewa bali kuifanya nyumb yake gest unazan italeta picha gan kwa mtt
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigana ni matokeo tu ya kupishana kauli huku temper juu.Umemshauri vyema sana, pia na tabia zake alishaambiwa angemuonya tu wala sio kumpiga maana hayo yote matokeo ya kutoka nje ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikuwa na haha gani ya kunishambulia hivyo?? Hapa ni MMU tunaaswa kupendana kuwa marafiki wakati wote. Neno dogo linatumika kama utani tu na pengine kujenga mahusiano tu kwa kuwa hatudahamiani.Kiongozi nina mke na kids( 2 boys,1 girl) one 6yrs, 3yrs,mwenye 2yrs(girl) ni mtoto wa nje nawamudu wote..!! Bora umejua maana sikutaka kuandika direct....Nimeandika as if sipo huko ila nipo huko long time..usinichukulie poa nimeongea kutokana na experience na naweza nikawa mkubwa zaidi yako ishu za "dogo" waambie ndugu zako na familia yako usilete dharau kwa mtu usiyemjua eti unaniita "dogo" ...pumbavuu kabisa
Kumbuka HAWALA HANA TALAKA