Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

HIV ina stage tatu,,
1. acute stage
2.latency stage
3.AIDS

stage ya kwanza huanza week 2 au tatu baada ya kupata maambukizi ambapo dalili kubwa katika kipind hiki mtu hupata mafua, sore throat(madonda koo) , homa, kuvimba tezi(lymphadenopathy) nk. japo asilimia kubwa hua hawaonyeshi dalili zozote katika kipindi hiki na pia dalili hizi hupotea baada ya mda mfupi allmost 2weeks na mtu kupona kabisa na kuishi bila dalili zozote

stage ya pili ni latency stage ambapo kirusi cha HIV kinakua latent mwilini yani namaanisha kirusi kinakuepo na kinakua kina haribu kinga ya mwili kidogo kidogo (stage hii huchukua zaidi ya miaka kumi )na zaidi kulingana na kinga yako ya mwili..

stage ya tatu ni AIDS (acquired immuno deficiency syndrome) baada ya HIV kuharibu sana kinga ya mwili yani kua na CD4 counts chini ya 200 ndipo magonjwa nyemelezi huanza kumshambulia mtu (syndrome -meaning muunganiko wa Magonjwa) ambapo magonjwa kama TB, mkanda wa jeshi( herpes zoster) ,karposi sarcoma( cancer) ,oral candidiasis, n.k
ambapo dalili kubwa katika stage hii ni homa kali(39-42 degrees) , kutokwa na jasho kali usiku, kuharisha, kukonda sana ( unintentional weight loss- loosing more than 10-20percent weight) kutapika n.k

so kuchelewa kupima na kuanza kutumia dawa ndo husababisha watu wengi kupata TB na HIV kwa pamoja kwan TB mostly ni opportunistic infection kama kinga ya mwili imeharibiwa vibaya na virusi vya ukimwi
.
but ukipima mapema na kuanza kutumia antiretrovirals unaweza kuishi normal life with normal life expectancy kwasababu utapunguza viral loads na kufanya kirusi kisionekane kabisa na usiweze kuambukiza wengine ( being on ARVs for more than two years makes the viral load to be very low to undetected level and its more protecting than using condom )

current studies shows people who got HIV On there twenties they have lived to 65yrs which is mostly like normal normal life..

na kwa sasa ukianza kutumia anti retrovirals mapema unaweza kuishi to 70years ambayo ni almost like normal health life..

@dr Masesa. KCMC university
Life expectancy for people with HIV now 'near normal' - National Library of Medicine - PubMed Health
 
Upo vizur mkuu na utaishi maika mingi kwanza umeanza dozi ukiwa cd4 hazijashuka tofauti na hawa waoga kupima alafu cd4 zinashuka mpaka 100 yupo hoi kitandani tb ishamtandika,kashadhohofuu sasa hapa akiambiwa ana ngoma kwa mawazo anadhohofika zaidi,na kukata tamaa hapa mpaka cd4 zipande si mchezo anaeza ishia njiani maana magonjwa nyemelezi yanamshambulia ...ila kiukweli kujua afya yako ni muhimu

Maneno meengi....umepima wewe?
 
Am good, everything is ok with me Haszu.... Being Positive haijanizuia chochote, am enjoying life to the fullest, just like everyone out there...! Na wala huwezi kujua unless nikwambie that nipo hivi nikupe na kadi usome, otherwise unakataa
hujajibu maswali mpenzi....
 
HIV ina stage tatu,,
1. acute stage
2.latency stage
3.AIDS

stage ya kwanza huanza week 2 au tatu baada ya kupata maambukizi ambapo dalili kubwa katika kipind hiki mtu hupata mafua, sore throat(madonda koo) , homa, kuvimba tezi(lymphadenopathy) nk. japo asilimia kubwa hua hawaonyeshi dalili zozote katika kipindi hiki na pia dalili hizi hupotea baada ya mda mfupi allmost 2weeks na mtu kupona kabisa na kuishi bila dalili zozote

stage ya pili ni latency stage ambapo kirusi cha HIV kinakua latent mwilini yani namaanisha kirusi kinakuepo na kinakua kina haribu kinga ya mwili kidogo kidogo (stage hii huchukua zaidi ya miaka kumi )na zaidi kulingana na kinga yako ya mwili..

stage ya tatu ni AIDS (acquired immuno deficiency syndrome) baada ya HIV kuharibu sana kinga ya mwili yani kua na CD4 counts chini ya 200 ndipo magonjwa nyemelezi huanza kumshambulia mtu (syndrome -meaning muunganiko wa Magonjwa) ambapo magonjwa kama TB, mkanda wa jeshi( herpes zoster) ,karposi sarcoma( cancer) ,oral candidiasis, n.k
ambapo dalili kubwa katika stage hii ni homa kali(39-42 degrees) , kutokwa na jasho kali usiku, kuharisha, kukonda sana ( unintentional weight loss- loosing more than 10-20percent weight) kutapika n.k

so kuchelewa kupima na kuanza kutumia dawa ndo husababisha watu wengi kupata TB na HIV kwa pamoja kwan TB mostly ni opportunistic infection kama kinga ya mwili imeharibiwa vibaya na virusi vya ukimwi
.
but ukipima mapema na kuanza kutumia antiretrovirals unaweza kuishi normal life with normal life expectancy kwasababu utapunguza viral loads na kufanya kirusi kisionekane kabisa na usiweze kuambukiza wengine ( being on ARVs for more than two years makes the viral load to be very low to undetected level and its more protecting than using condom )

current studies shows people who got HIV On there twenties they have lived to 65yrs which is mostly like normal normal life..

na kwa sasa ukianza kutumia anti retrovirals mapema unaweza kuishi to 70years ambayo ni almost like normal health life..

@dr Masesa. KCMC university
Thank You So Much For Sharing
 
Hili ndo neno mkuu....nikiwazaga iko siku ntakufa natetemekaa!

Naogopa kifo asee
Usiogope kufa dear... Kwasababu kiumbe chochote hai kilichozaliwa kikaanza kuishi ipo siku kitaacha kuishi, kwaiyo haijalishi ur negative, or HIV positive.... Kifo kwetu ni pale pale.... Just ishi happy life to the fullest, Coz we only live once darling
 
data

I don't have IG account that I disclosed my status, because this is TANZANIA.
Watu wengi bado elimu yao juu ya ili ni ndogo, sasa ukitaka unyooshewe vidole everywhere bila sababu do that!

I did here, na kwa very closest people of mine ambao hata wao bado wananibishia, mmoja hadi alilia nikaanza kujilaumu kumwambia sasa sijui alikuwa anaona mapicha ya majeneza kichwani kwake! Nikaanza kubembeleza mimi tena nikijitahidi kumuelewesha kua it's not the way alivyoipokea, ila mpaka kuelewa ilikuwa kazi sana.
Kinachoua ni mawazo, kinachoua ni kusemwa, kinachoumiza ni watu kuifikiria ngono zaidi ya mengine, sasa why all that? Cindy_ngonini is in SA, and kaweka wazi so long ago ana 8 years now , she is a good beautiful sister i know from huko, and many many more.

That's the reason.
 
Kwel mkuu na huyo anahitaji uangalizi wa karibu zaid na ushauri pia,muanganishe na mkuu naye ajaribu kumshauri japo inahitaji muda kuikubali hiyo hali
Binafsi! Mwanzoni ilikuwa ngumu, ila baada ya kukubali na kuitengeneza amani nayo, aiseee sioni tofauti na sijawahi kuwaza eti nitakufa kesho?!... Hahaha hapana aisee labda nipitiwe na roli, au mengine ila HIV is not a problem to me
 
TB ni moja ya magonjwa nyemelezi tanayoshambulia mwili baada ya kinga ya mwili kupungua.
Na hayo magonjwa yanatokea kwa wale wasiojijua mapema, wale wabishi kupima afya zao, afu unakuta ni +. Kinga inapungua Kiasi kwamba magonjwa yakija yanapiga tu.
 
Na hayo magonjwa yanatokea kwa wale wasiojijua mapema, wale wabishi kupima afya zao, afu unakuta ni +. Kinga inapungua Kiasi kwamba magonjwa yakija yanapiga tu.
CD4 zikishuka chini ya 500 ni hatari na hapa ndiyo zamani wengi walianza ARV kabla ya tamko la WHO 2015.
 
Afadhali wewe umeshajua status yako, kuna waathirika kibao hawajijui na wanaogopa kupimwa.
Wengine kwenda kucheki au HIV testing ni kawaida maana kila inapotokea wife mjamzito ni lazima wote wawili tuende clinic
 
Wengine kwenda kucheki au HIV testing ni kawaida maana kila inapotokea wife mjamzito ni lazima wote wawili tuende clinic
Ni kweli, ila pia kuna wanaume ni wabishi hata kupima kipindi cha mwanamke akiwa mjamzito, ivo mwanamke anajikuta katika ilo peke yake.

Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na doctor ofisini kwake, akaja nesi kama emergency kua kuna mama Ana mtoto wa miezi mitatu anamnyonyesha wamempima wamemkuta yupo positive analia wanashindwa wamsaidie vipi.. Dr akamuuliza kwani alivyoanza clinic kabla ya kujifungua hakupimwa? Akasema walimpima majibu yakawa negative, sasa pengine alikuwa kwenye window period au pengine alipata maambukizi akiwa kashaanza clinic, sasa hajajua, mtoto ananyonya, na ni sawa anaruhusiwa kumnyonyesha ila kama akimnyonyesha haruhusiwi kumpa kitu kingine chochote kwa muda wa miezi 6 hata maji, sasa yeye alikuwa anampa na tumaji sometimes...

Sikufatilia sana kwasababu nilikuwa na yangu, ikabidi nimuache Dr aendelee na yule mama, nilimuona aiseee dah! Honestly Roho iliniuma, the baby girl was so cute....
 
Huwa kuna utaratibu wa kucheck cd4 kila baada ya muda flani.... Hata mimi ndo nimetoka kupewa majibu yangu hapa.... Zinapanda tu, namshukuru Mungu kwakweli
Kuna wakati zitapanda mpaka kufikia normal count ya kila mtu. Hawatazihesabu tena watakuwa wanacheck viral load na kidney function
 
Back
Top Bottom