monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,633
Ndugu mbona umepanik?We f@l@ Mimi sio mwanamke
Narudia tena Mimi sio mwanamke
Mkuu Mimi ni mwanaume
mwenzako [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Utake radhi
Nadhani ushagongaa watatu mpaka sasaaAlhamisi ya wiki iliyopita nilivyoenda kupima, kabla majibu hayajatoka nilipanga wakiniambia kuwa nina umeme basi nawakatalia hapa hapa! Bahati nzuri nikawa safi... Kwa sasa sihitaji wanawake jamani ngoja tu niishe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukushawishi mmh kwakweli sidhani kama nitaweza, ila pengine tu nikwambie ukijua status yako mapema unajikinga zaidi na mengi. Kuna watu wabishi kupima, kwaiyo kinachotokea wanakua hawajui mpaka inafika wakati wanaugua sana wanapimwa wakiwa kitandani ambayo inakua ni too late tayari..... Sasa ipi ni vyema..... Kujua kuna moto unaanza kuwaka ukawahi kuupooza au kuuacha uwake ukipretend huoni mpaka pale utakapooungua kabisa ndo kuanza kuupooza?[/kweli kabisa
Hivi vipimo vinauzwa wapi aise, maana kuna wakati huwa natamani niwe navyo ili ikitokea ghafla umetingwa mpimane kwanzaHakuna kuogapa kupima, nunua kipimo jipime mwenyewe.
Ikiwa mwenzi yuko mbali basi kila mkutanapo pimeni.
Kipimo kinaonyesha aliyepata maambukizi zaidi ya miezi 3 iliyopita. Kama kapata chini ya hapo utaukwaa pamoja na kupimanaHivi vipimo vinauzwa wapi aise, maana kuna wakati huwa natamani niwe navyo ili ikitokea ghafla umetingwa mpimane kwanza
Niliwahi kupiga kavu bila kutarajia pale Mlimani City Parking, zigo limevua pichu likaja kukalia mjegejo kwa juu. Aisee nilisugua kama nimetoka Segerea bao 2
Kaka ilikua ghafla kutahamaki mdada yupo juu kakalia uboohMzee kumbe unakulaga mizoga kistaili hiyo ukiwa na ugwadu?
Usiuze mechi kiboya boya hivyo mzeebabaa