theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,732
Aise wewe ni jasiri kwelikweli...Anyone can test Positive..... Many test positive, na unaweza kuishi na mtu ndani na usijue unless aamue kukwambia mwenyewe, idadi ni kubwa kulingana na kituo na kituo. Usiogope HIV, kama upo negative, jilinde tu