Sijawahi Kuwa kwenye mahusiano

Sijawahi Kuwa kwenye mahusiano

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,012
Reaction score
27,169
Tukiachana na drama ambazo huwa napenda kuzifanya humu leo nataka niweke ego pembeni tena.

Mimi sijawahi kuwa na mahusiano!, Sio kwamba ninashida, Hapana.

Ninajifahamu vizuri na mtu hawezi kuniambia vinginevyo. Sihitaji kuprove hilo maana ni kama kuleta insecurity na kudhihirisha wanayosema watu wasionijua.

I believe hii ilikuwa kama God's protection maana kwa hulka nilizo nazo na kutamani wanawake huenda ningelikuwa na ngoma kabisa... Kwa addiction niliyo nayo kwenye porno. Najua ningelijiingiza katika ngono ningepotea kabisa.

So ninamshukuru Mungu kwa hili, kuniepusha na kunitolea scenario za kujiingiza katika ngono mpaka leo.

Ni hivi, nilikuwa exposed na ngono nikiwa bado mdogo sana(I don't consider that as real sex) , home kulikuwa na Wafanyakazi wa kike, Nakumbuka niko sijui darasa la 1 au 2, ndo nalikuwa nawakula hawa wadada, ikawa mchezo wa kila siku.

Na kipindi hiko bado sijatahiriwa. Ilikuwa wazazi waki ondoka wananipeleka chumbani nawachomekea kimtalimbo changu, as far as I can remember it wasn't any good nilifurahi tu ila zilifika time wao wakiwa aroused mm nakuwa kama nimeshachoka... Sasa sijui nini likitokea hata sikumbuki baada ya kuingia balehe we never had Wafanyakazi tena, na ni Nakumbuka wazazi waliniasa sana Kuhusiana na ukimwi.

Nilikuwa chonjo sana, also kingine sijui hata nn kilitokea growing up nilikuja nikajikuta nakuwa so shy kwa mademu. I was So freaking awkward na hata siku weza ku trace chanzo ni nini. Nimekuwa hivyo for almost 15 yrs.

Sasa, kuna kitu kingine ambacho pia kilichangia haya yote.. Mimi ni self critical na overthinker labda pia kikichangia mimi kuwa hivi. Sasa baada ya kuingia advance ndipo nilianza kuona hii sio kawaida, kuna mahali labda nakosea.

Ila niligundua shida sio mimi, shida ni kama kuna kitu kilicho nje ya uwezo wangu, na nilikuwa natongoza wanawake kama njegele ila tu najikuta tu chemistry imekata. Ilikuwa either mtu anikimbie au mimi nione hatuendani then nikache.

Kweli bwana Mungu ni wa ajabu sana, baada ya miaka kwenda ninazidi kuoa how hii kitu inafaida sana..

Japo kuna watu wajinga ambao kazi yao ni kutaka kuku degrade na kukuzushia ujinga kuwa unashida, au haujakamilika au umerogwa na uchafu wa kila aina, I don't give a shit. Sitaki mtu aniamini au asiamini.

Ninacho amini ni kuwa Mungu kanisaidia sana, kwa kuweka vizingiti ndani na nje yangu maana ningekuwa mraibu wa ngono na ningelikuwa nimesha pata magonjwa na kufa kabisa. Najijua vyema. Sasa nimeacha kutaka compulsion ya kufanya ngono uraibu wa pornography nao ni kama umefifia kwa miaka ya hivi karibuni.

Hata kuandika haya sioni case kabisa. Nataka tu watu wajue kuwa ukiwa shamed kuwa tofauti na ukakubali wewe ndiye mwenye shida, ila kama unajifahamu vyema hakuna outside noise itakuumiza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom