Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

Heh, hongera kwa ujasiri! Aisee mimi nitapima baada ya kuona naumwa umwa sana hivi, nje ya hapo sipimi kwani siwezi kuhimili majibu hayo kwa sasa. Ninachojitahidi ni kondom kila nikichepuka, ila kuna mda zinapasuka na kutoa inakuwa ngumu kutokana na utamu kuongezeka paap!
Tupo pamoja baba sitaki kuamsha vilivyo lala
 
Mimi nalo hilo mwaka wa sita sasa nadunda kama kawa sina habari na MTU .nasomesha ,nimejenga na kazi nzuri safii nakula powa siyo kicheche na survive safiiii kitu kinaenda powaAA .
See!!.... Watu hawatakiwi kuogopa such thing, badala ya kuogopa, wanatakiwa waelewe!. THANKS FOR SHARING.
 
Ahsante kwa ujumbe and encouragement. Mimi I have my annual checkup appointment this coming Monday, so for the past 2 weeks or so, full kihoro. Duh, Mungu saidia.
 
You don't have to worry darling...... Trust me.... Ni vizuri kujua status yako kama hujafanya check up kwa muda mrefu... Huna sababu ya roho kuwa juu, HIV ain't a death sentence.
 
I like your spirit and positivity!! If you don't mind me asking, aside from Jamii have you disclosed your status to others(eg Family, past partners and etc)? What was their response?
As for me, for the past 4 years I have been doing like full blood work, including tests for all STDs but still siku ya siku ikikaribiaga nahenyaga ile mbaya 🙁
 
Dah...acheni masihara nyie...my dad passed away with HIV....six years back....ule ugonjwa ni mbaya sana.....hakuwa anaumwa mara kwa mara..he was fine kabisa..lkn kuna wakati ilikua ikiamka ni hatari hatar sana....alikua anaumia sana....Yaan ilikua inaweza ikapita hata miezi akiwa okey..but ghafla anachange mpaka hatari....last time inamchenjia..ndio iliyomuondoa....hapo nikiwa mwaka wa pili chuo.hapahapa Dar....
Tangu hapo binafsi sikujihusisha tena na mapenzi.....mpaka leo ngono naiogopa aisee....
Nikikumbuka mateso yale....hapana...
Niliachana na girl friend sababu tulikaa muda mrefu kwenye mahusiano..lkn kwenye mashine lazima nilikua navaa mpira...siku moja akakataa..na mim nikagoma...i was over....
 
In this year I made 3 med checks n I am good! Wonderful enough, wakati ninapima I was so comfortable!

Mficha magonjwa kifo kitamuumbua! Hongera kwa kujiamini na nashauri watu tukapime.

Ngoma ina njia mingi za kuingia. Ukificha ficha au ku-hesitate kupima u gonna kill even the ones u love most!!

Love knowing yo status!
 
Dah...acheni masihara nyie...my dad passed away with HIV....six years back....ule ugonjwa ni mbaya sana.....hakuwa anaumwa mara kwa mara..he was fine kabisa..lkn kuna wakati ilikua ikiamka ni hatari hatar sana....alikua anaumia sana....Yaan ilikua inaweza ikapita hata miezi akiwa okey..but ghafla anachange mpaka hatari....last time inamchenjia..ndio iliyomuondoa....hapo nikiwa mwaka wa pili chuo.hapahapa Dar....
Tangu hapo binafsi sikujihusisha tena na mapenzi.....mpaka leo ngono naiogopa aisee....
Nikikumbuka mateso yale....hapana...
Niliachana na girl friend sababu tulikaa muda mrefu kwenye mahusiano..lkn kwenye mashine lazima nilikua navaa mpira...siku moja akakataa..na mim nikagoma...i was over....
ARV's za sasa hivi ziko more advance kama unakunywa kama inavyotakiwa. Watu wana uhakika wa kuishi miaka 20 wakiwa kwenye dawa.
 
Sijui kama ni kweli au la ila kwa nilivyosikia ni kua ukiwa mwanaume na ni +, inakua ngumu sana kupata mtoto ambae ni -, kiongozi hio imekaaje hapo..
 
Pia kuhusu ARV hizi nasikia husababisha matatizo mengine mwilini side effects i.e ugonjwa wa moyo,pressure, figo kufeli etc, poa wengi hua wanafariki ghafla..ghafla..
 
Habari wana JamiiForums,

Nina muda kidogo sijaingia humu, ila leo nilipopata nafasi ya kupitia nyuzi tofauti tofauti nimejisikia kushare na nyinyi ili.

Siku kadhaa zilizopita ilikuwa ni siku ya UIMWI Duniani, kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp iliiongelea tofauti sana siku iyo kutokana na kubeba kitu UKIMWI ndani yake kulingana na fikra na imani za wengi ambazo tunaziita ni hafifu.

Kuna watu mpaka leo wanaogopa HIV/AIDS kuliko hata wanavyoogopa Cancer, Blood Pressure, Visukari Na magonjwa mengine makubwa kulingana na imani mbaya walionayo juu ya HIV.

Watanzania HIV/AIDS sio mbaya wala ya hatari kama mnavyoidhania, iwapo tu utafata masharti na maelekezo ya daktari wako, na kufanya peace nayo from the very start point.

Binafsi nakumbuka siku ya kwanza naambiwa kua Nimeathirika, Honestly nilichanganyikiwa sana, nililia sana, nilihisi pengine ndo nakufa, picha zilizokuwa zinajitengeneza kichwani kwangu juu ya HIV ni tofauti kabisa na navyoishi leo, imeshapita miaka miwili sasa na sijawahi kuumwa chochote cha kunilaza kitandani, ukisikia naumwa labda mafua mafua, au zaidi malaria kama wengine, ila yote hii ni kwa sababu nililia sana ila ikafika hatua nikasema basi, imeshatokea na hakuna nachoweza kubadilisha, nikachukulia kama malaria tu and since then am good and have never being this good in my 16 nor 18.

Watu wengi hatuna tabia ya kucheck afya zetu, sababu ya woga au mapicha picha yaliojaa vichwani mwetu lakini leo hii tukichukua watu 50, tukawapima kwa nguvu kuna 10 au zaidi kati yao wapo positive lakini hawajui, hata mimi siku niliopima sikuwa na mpango wa kupima, nilikuwa tu nimekaa mahali nikimsubiri rafiki yangu atoke ndani kwake tuondoke ndipo kuona gari limepaki pembeni wanatangaza, ndio nikasema acha nipime fasta majibu yaliyotoka, Ah ile siku sijaisahau.

Maisha yangu baada ya HIV yapo poa, sioni kilichobadilika kwangu labda tu being on ARV's mwanzoni ilikuwa ngumu ila now we good, sioni cha kunitisha, sioni ambacho kinaweza kikanifanya niamini HIV ni kitu cha kutisha kwa kiasi kinachoongelewa na watu ambao hawajapitia hili. Tusiogope kupima afya zetu kwa manufaa yetu wenyewe.

Ushauri wangu kwa ambao ndio mmeambiwa mpo positive na mnasoma hapa, take it easy, hii sio death statement, unauwezo wa kuishi hata zaidi ya alie negative, na hata kama imepangwa ufe kesho unaweza ukaondoka kwa sababu zingine ila sio HIV, inaweza ikawa ajali au mengine, ivo wewe tengeneza amani nayo, ujikubali afu usijiwekee tofauti na wengine kwamba wewe sio binadamu tena hapana, ukiwa na amani, usiwe na mawazo, kula vizuri, fata maelekezo, nenda clinic kwa wakati, basi kila kitu kitakua sawa.
[emoji117]Kama upo kwenye wakati mgumu unaoona ni mgumu sana with this, just PM Me, And we can have a very friendly talk.

Don't say that will never happen to you, life got so many ways to prove us wrong. Remember! A lot of us tested positive, and so many people out there test the same.

[emoji117][emoji117]I once tested Negative! This means wote hatuijui kesho Yetu. Never say this will never happen to me, Life and time got so many ways to prove us wrong.
And Yes I was never a Hoe! This means being Positive haimaanishi it was just through sex! Zipo njia nyingi mtu anaweza Kua affected, au lah! Mtu huyohuyo mmoja anaweza kukuchange status yako.
And Yes! I never believed that I will ever test positive...tusijiamini kupitiliza
And Yeah! Siku niliopima, sikuwa na mpango, na hata nilipojiambia acha nipime tu sikuwa na chembe ya woga! This means tusiwe na uhakika sana na afya zetu kabla ya vipimo.
And Today! I and HIV We made peace, we good, we OK, that means sijaona kitu cha kunitisha in it.
Kwa hiyo unasemaje? Tuendelee kufurahia umate mate?
 
Safi sana. Nimekukubali.

Ngoja niwachekeshe. Tarehe 25/11/2017 nilikula malafin dawa ya malaria. Kumbe maskini Nina aleji ya hiyo dawa. Mwili ukawwsha kweli na kubabuka sehemu mbali mbali ikiwemo mikono, tumbo, n.k. Nilikuwa nasimamia uchaguzi za kata tano mkoa fulani. Basi nikazidiwa usiku na nikapelekwa hospitality ya Agha khan. Kiukweli waliponiona ndugu zangu wakakata tamaa. Nikamwambia daktari anza na ukimwi kwanza na magonjwa ya zinaaa maana hii halo haijawahi kunitokea katika maisha yangu so nikawaza hii halo mpya na sharti nipime ukimwi. Basi nikachukuliwa damu nikapimwa vizuri tu. Daktari katuita kuchukua majibu ya ukimwi na full blood picture na magonjwa mengine. Nikamuita kaka yangu rafiki sana kusikiliza majibu. Daktari kaniuliza huna ukimwi wa ugonjwa wowote lakini una alaje ya dawa uliyoimeza yenye asili ya sulphur. Duh kaka yangu kasema dokta sisi tulishasema ana ngoja wuyu. Nilimchenjia aje apo. Mpaka lro anaombaga msamaha tu.

Kiukweli kila baada aya miezi mitatu lazima nipime afya yangu Mimi kabla ya kuugua vile. So I was in faith yo myself.

Kupima afya ni bora kuliko kumchapa kitu chochote.
 
Pia kuhusu ARV hizi nasikia husababisha matatizo mengine mwilini side effects i.e ugonjwa wa moyo,pressure, figo kufeli etc, poa wengi hua wanafariki ghafla..ghafla..
Ni kweli ukuzingatia unazitumia kwa muda mrefu. Ukiwa kwenye kitengo wana angalia kila kitu kuanzia mapigo ya moyo mpaka ufanyaji kazi wa figo. Kukiwa na matatizo unabadilishiwa Dawa.

Fikiria na athari zote hizo za ARV kuna wengine wanazipiga na bia au methadone.
 
Back
Top Bottom