luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Kuna MTU aliniuliza swali nilishindwa kumjibu maana sikuwa na uhakika,Afadhali wewe umeshajua status yako, kuna waathirika kibao hawajijui na wanaogopa kupimwa.
Aliuliza hivi, " hivi kama mbu akumung%ata MTU kwenye HIV na akaning'ata mm ambae sina HIV je anaweza kuniambukiza?
Nilimjibu hapana ila sina uakika, kama kuna kwenye jibu naomba