EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
na wahakikishe wanamhoji kwa muda mfupi kama miaka 3-5 ivi ? Maana bado tunamuhitaji.si waondoke nae wakamhojie Guantanamo? hivi yule mzanzibar aliekamatwa pakistan yupo wapi?
na wahakikishe wanamhoji kwa muda mfupi kama miaka 3-5 ivi ? Maana bado tunamuhitaji.si waondoke nae wakamhojie Guantanamo? hivi yule mzanzibar aliekamatwa pakistan yupo wapi?
Hapo umenikumbusha Confidence ya KOVA siku anamtangaza mtekaji wa Dr. UlimbokaLazima atakuwa alipata mafunzo tuu huwezi ukawa na confidence kiasi kile
Au akabidhiwe kwa Marekani kama vile waingereza juzi kati walivyompeleka yule sheikh raia wao akashtakiwe USA. Guantanamo miaka 10+ bila kesi, waterboarding nk.
Propaganda zenu ndizo zitazidi kutuponza.. haya nasikia makanisa yanaendelea kuchomwa nchini halafu bado mnaendelea kueneza UONGO kama huu hivi mnafikiri mnapata nini hasa...Ikumbukwe kwamba huyu anayejiita sheikh ponda,si mtu mgeni katika tasnia ya fujo za kidini hapa nchini.Baadhi ya matukio aliyowahi kufanya hapo awali ni kama lile la msikiti wa mwembe chai,ambalo waislamu wengi walikufa,lakini Ponda na waasisi wenzake wa fujo hizo wengi wao wapo hai mpaka leo.Pia matukio ya utekwaji na mapinduzi ya uongozi katika misikiti mingi hasa hapa Dsm,iliasisiwa na yeye pamoja wenzake wanaomuunga mkono.Ponda issa Ponda ni gaidi aliyepata mafunzo ya ugaidi, kati ya mwaka 1993-1996 huko pashawaar(pakistan) ushaidi upo hasa wa picha za bwana Ponda akiwa mafunzoni,pia imebainika kuwa ponda aliwasaidia baadhi ya magaidi waliolipua ubalozi wa marekani(Tanzania)mwaka 1999,kwa kuwahifadhi misikitini,hivyo basi serikali ya marekani ipo katika hatua za mwisho za kiuchunguzi.Timu ya wataalamu wa kijeshi ipo karibuni kuja ili kuweza kumuhoji vizuri ndugu ponda,moja ya sababu za ponda kupewa kesi ngumu,ili akose dhamana Source:Chanzo cha ndani jeshi la polisi
usiwe kama Pinda eti mafisadi wakikamatwa nchi itatikisika!Waje kwangu ndio watajua maslahi yangu hayahusiani na ujahidina wake!ni upofu kuamini kuwa mutakuwa salama baada ya kukamatwa na kupigwa kwa waislamu!
Ikumbukwe kwamba huyu anayejiita sheikh ponda,si mtu mgeni katika tasnia ya fujo za kidini hapa nchini.Baadhi ya matukio aliyowahi kufanya hapo awali ni kama lile la msikiti wa mwembe chai,ambalo waislamu wengi walikufa,lakini Ponda na waasisi wenzake wa fujo hizo wengi wao wapo hai mpaka leo.Pia matukio ya utekwaji na mapinduzi ya uongozi katika misikiti mingi hasa hapa Dsm,iliasisiwa na yeye pamoja wenzake wanaomuunga mkono.
Ponda issa Ponda ni gaidi aliyepata mafunzo ya ugaidi, kati ya mwaka 1993-1996 huko pashawaar(pakistan) ushaidi upo hasa wa picha za bwana Ponda akiwa mafunzoni,pia imebainika kuwa ponda aliwasaidia baadhi ya magaidi waliolipua ubalozi wa marekani(Tanzania)mwaka 1998,kwa kuwahifadhi misikitini,hivyo basi serikali ya marekani ipo katika hatua za mwisho za kiuchunguzi.Timu ya wataalamu wa kijeshi ipo karibuni kuja ili kuweza kumuhoji vizuri ndugu ponda,moja ya sababu za ponda kupewa kesi ngumu,ili akose dhamana
Source:Chanzo cha ndani jeshi la polisi
Tafadhali Mkuu
Qura'an ni kitabu kitakatifu sana na chenye mafundisho muhimu yenye maadili ya hali ya juu sana, kati ya mambo makubwa ambayo Mungu amekataza ktk hiki kitabu NI JAZBA Quran inafundisha amani upendo utii uvumilivu subra heshima na upole, Quran haifundishi vurugu wala kugombana na watu wenye itikadi tofauti naomba uelewe hilo naomba km unaweza tafuta kitabu cha Qura'n cha tafsiri eidha ya kiswahili au km unajua Lugha ya Kiingereza tafuta usoma sehemu zifuatazo ningeziandika hapa lakin ninatumia simu nikipata mda nitaziandika, kasome Qura'n 3:146, na 3:133-134 na ukasome tena 2:177 ndio utajua kua Muislamu wa ukweli anatakiwa aweje, mm nashangaa hivi vitabu viko kila kona ya Dunia lakini watu mnatukana waislam bila kujua na kufikiria kua hao wanaoleta Vurugu ni vikundi vya watu wachache wenye uelewa mdogo wa Mafundisho ya Mungu ktk Quran, na ukae ukijua kwamba karibu waislam wote hawafurahishwi na vitendo vinavyofanywa na hawa wanaojiita waislam, HIVI WW UNAEIDHARAU QURANI UNAJUA KWAMBA YESU UNAEMUABUDU AMEANDIKWA KARIBU MARA 26 KTK QURAN KULIKO HATA MTUME MUHAMMAD ALIYEANDIKWA KM MA 7 TU HIVI? Hebu isome hio Qurani vizuri tu utaielawa kwani Mitume woote wa Mwenyezi Mungu waliotumwa na Mwenyezi Mungu huku Duniani kueneza neno lake pamoja na utukufu wao na Malaika woote Wameandikwa ktk Qurani? unajua kwamba hao manabii woote walioandikwa kwenye Bibilia hata ktk Quran wameandikwa tena kwa uwazi na ufasaha kabisa, sasa ukiona Mtu anakojolea Quran au Bibilia ujue AMELAANIWA HAPA DUNIANI MPAKA MBINGUNI. Huwezi kuchezezea vitabu vitakatifu kama hivi alafu Mungu akuache hivi hivi, hata hao waliotaka kumuadhibu aliokojolea Quran hawakutakiwa wafanye hivyo kwani hii ni kazi ya Mungu mwenyewe na ndio mwenye Vitabu vyake kwahio atawahukumu mwenyewe,
Huyo Marehemu Mwamedi ametumwa na kina nani?
Kweli bwana huyu ni mshamba kama dr. sl-aa kuwaandamisha watu kila mara na kusababisha wenzake wajinga kuuwawa nyololo na MoroMnampandisha chati bure tu! Huyu ni mshamba flan tu anayetumia wanzie kufanya fujo. Hakuna cha gaidi wala nini!
Ponda amefikishwa Mahakamani leo na bado hajapandishwa kizimbani ila cha kufurahisha huyu leo lazima alale Segerea au keko, hili nimethibitishiwa na PP wa pale Mahakamani, hakuna dhamana kwa watu kama hawa.
Source: mimi mwenyewe
- Wamesomewa mashtaka matano na wote 50 wamerudishwa rumande baada ya kukataliwa dhamana
Mimi naona apelekwe Nyololo
Wamarekani hawachelewi kumchoma sindano za cancer
Waumini wa subuana kesho watachezea marungu..kama nawaona vile ..hii nchi bana