Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Inaonekana mama yako alikuzaa kwa njia ya haja kubwa, ubongo wako ukabanwa ndo maana umekuwa mvivu wa kufikiri.

Heri yako wewe uliyezaliwa katika maadili kiasi hujui kuwastahi mama za watu. Inachekesha kweli namna yako ya ukosoaji.

Ashakum si neno chafu, kama huyo alizaliwa kwa njia ya haja kubwa nina mashaka wewe hata mimba yako ilipitia huko achilia mbali kuzaliwa. Wote twafahamu elimu hiyo ulipoipata, huko mnafundishwa adili moja tu; kutokojolea kitabu
 
Badala watu kuchangia mnaanza kutoa kauli za matusi na kejeli Tanzania tunapoeleka sio pazuri.
 
Huyu apelekwe Gereza la Guantanamo bay nchini CUBA akutane na magaidi wa kimataisha sio yeye mtoto wa mama.
 
Wakitaka kumtuliza wampe armed robbery na haina dhamana apumzike hadi baada ya uchaguzi labda itasaidia nasikia anakamata pesa za wanaomtuma kuvuruga mambo,yeye anakula kwa njia hiyo!hana kazi ingine zaidi ya kufitinisha
 
nakojolea na huyo mungu wenu wa vurugu ,uhasama na visasi hanifanyii chochote wakosa elimu nyie
وقف إهانة أخي! لماذا أنا فقط أتكلم الكلمات الطيبة
 
Huko gerezani kazi yake ya kwanza itakuwa kuwasilimisha wagalatia wote na hao Wafungwa Waislamu watafundishwa kujua haki zao!!! hiyo ndiyo kazi za Sheikh Ponda ama awe Gerezani ama uraiani!!! Mwenye enzi Mungu amlinde na mahasidi popote alipo!!!
 
Huyu aende Gerezani atakuta wanaume wanamsubiri wambikiri. Labda awe amebikiriwa tayari.

Yani mtu na akili zake anadiriki kuandika post kama hivi? Kweli humu ndani kuna wengine ni mapunguani, akili zao zina dosari aidha hazijatimia au zimetimia lakini zimekaa ndivyo sivyo, eti kumtoa bikira, unahabari kama sheikh ni kama mzazi wako wa kiume au zaidi ya mzazi wako? Mbona kijana hauna adabu! Nina shaka na uwezo wako wa kufikiri. Pia siamini kama ww ni mtoto halali.
 
Matusi ya nini wana JF, je mnajua maana ya gaidi??... Mnatakiwa mtoe arguments na sio matusi, otherwiz we will prove failure...

...ugaidi? sheikh ponda? lah!!uzushi na kumsingizia...lkn huenda tuhuma za uchochezi...(ambazo ni sawa na fitnah) zikathibitishwa na mahakama husika na yeye sheikh akapata astahili yake...lkn, tahadharini..."mahakama za watu"...ndizo zina sifa ya kutoa hukumu sawia kwa kadhia za aina hii..lkn hizi...za kina "joni kisomo"....huenda tutaishia ona ...ooh, sungura kambeba tembo...ooh leo sina nafasi...oooh nikatabawali kwanza...nk. nk...
 
Yani mtu na akili zake anadiriki kuandika post kama hivi? Kweli humu ndani kuna wengine ni mapunguani, akili zao zina dosari aidha hazijatimia au zimetimia lakini zimekaa ndivyo sivyo, eti kumtoa bikira, unahabari kama sheikh ni kama mzazi wako wa kiume au zaidi ya mzazi wako? Mbona kijana hauna adabu! Nina shaka na uwezo wako wa kufikiri. Pia siamini kama ww ni mtoto halali.
hivi anayechoma makanisa ana akili timamu na adabu?
 
Hili ni suala la kuangaliwa kwa hekima na Busara, hasa kwa viongozi wa waislamu Tanzania.
 
Hamtakuwa salama kwa kufuraia kwenu kupigwa kwa waislam.Nchi hii yetu sote.munayoyadhihirisha ni machache kuliko yaliyoko vifuani mwenu.Kitaeleweka tu!
 
Ponda bana,haki ya mtu hatafutiwi na mtu kwani ipo kwa ajiri yake na kama umuamua kumtafutia isilambe hata senti yake maana ukifanya hivyo tu basi hakika utakuwa kafili. Ni mwenyezi mungu pekee anayejua haki ya kila mja wake na wala si sisi binadamu tulioumbwa kwa udondo tukapuliziwa pumzi ya uhai.hakika kama hakuna kitu chochote nyuma yako juu ya haki ya waislamu,basi na mwenyezi mungu akuongoze ila kama kipo basi acha mara moja maigizo yako maana utafahamika na mwisho wako hautakuwa mzuri kiasi cha kushindwa kufanya japo swala moja tu kwani mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Huyu apelekwe Gereza la Guantanamo bay nchini CUBA akutane na magaidi wa kimataisha sio yeye mtoto wa mama.

Napenda sana wanjf tunavyo changia hoja ila kitu ambacho na kiona si sawa ni kuanzisha hoja nyingine ndani ya hoja kuu,hii inaonesha ni jinsi gani hatupo makini kuelewa na kutoa mawazo yetu.
 
Back
Top Bottom