Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Mkuu Mkandara, nafikiri ama ni wewe huna taarifa sahihi au mimi ndio sina taarifa sahihi...ubishi wa watoto naambiwa ulitokea Jumatano, Makanisa yalivamiwa Ijumaa! Uvamizi wa Makanisa ulipangwa na kuna tetesi Makanisa yaliendelea kuchomwa sehemu mbali mbali nchini!
Huna taarifa kamili maana Prosecutor akisha wakilisha mashtaka yake na makosa yakatajwa mahakamani imetoka. Hapa ni fedha ya Manji inafanya kazi, halafu nakuhakikishia swala la Mbagala halimuhusu Sheikh Ponda, isipokuwa alikuwa anatafutwa sana kwa kupambana na Bakwata na ndio maana hata la sensa halikutajwa kama lilivyo isipokuwa ataipata kama waliomtangulia kina Ulimboka. Lakini huu sio mwisho wa mapambano ni jukumu la serikali kuyatazama madai yake na kuyafanyia kazi.. period..
 
mkuu hilo ni tatizo letu waswahili, hatupendi kusoma na kuelewa. Mtu hajasoma mpaka mwisho wa habari, ana comment! Someni wakuu, someni!

tatizo mtu anasoma huku tayari amejiwekea msimamo fulani, hivyo haipi uhuru akili yake kuchambua habari na kuukubali ukweli!
 
Asalaam Alaykum! Saa 4 asubuhi nilifika Central Police kusimamia mahojiano yake na Polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa ZCO baada ya utambulisho na kumfahamisha haki zake wakati wa mahojiano alihojiwa. Ukiacha namna alivyokamatwa mpaka naondoka polisi saa 10 kasoro alikuwa ktk hali nzuri na polisi akiwa kituoni hawakumfanyia lolote lililokinyume na haki za mtu aliyechini ya ulinzi.
Sheikh anatuhumiwa na mambo yafuatayo:-
1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-
i. kwanini waliandamana ii. nani aliandaa mabango
iii. kwanini walisema kuwa baada ya maandamano yale wataenda kumng'oa Mufti na Ndalichako
iv. nani aliandaa maandamano
Sheikh alikiri kuhamasisha maandamano na pia alikubali ujumbe uliuokuwa katika mabango ulikuwa umebeba hisia za waislamu. Isipokuwa yeye hajui nani aliyaandika hayo mabango. Kuhusu Mufti na Ndalichako alisema wanastahili kuondolewa kwasababu ya kuongoza kwa dhulma dhidi ya waislamu. Pia alisema maandamano yaliandaliwa na Taasisi na Jumuiya za Kiislamu na yeye ni katibu wake.
2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe
Hapa alijibu kuwa huo ni mgogoro wa ardhi na waislamu wapo pale kwasababu ni kiwanja cha waislamu. Na kama kuna mtu anadai amevamiwa eneo lake huo ni mgogoro wa ardhi aende kushitaki mahakama ya ardhi na waislamu wapo tayari kufika mahakamani kujibu. Pia alikiri kuwa amehusika ktk ujenzi wa msikiti unaojengwa ktk eneo hilo.
3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu
4. Vurugu mbagala.
Haya mawili ya mwisho hakuhojiwa kwasababu mafaili yanayohusu malalamiko hayo yalikuwa hayajafika central lakini vilevile muda ulikuwa umeenda sana. Kwani mpaka tunamaliza mahojiano ilikuwa ni saa kumi kasoro hivi toka saa nne asubuhi.
DHAMANA.
Baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone ZCO Bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone Kamanda Kova. Nilienda kuonana na Kamanda Kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya DPP. Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo. NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA

​

hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....
 
Huna taarifa kamili maana Prosecutor akisha wakilisha mashtaka yake na makosa yakatajwa mahakamani imetoka. Hapa ni fedha ya Manji inafanya kazi, halafu nakuhakikishia swala la Mbagala halimuhusu Sheikh Ponda, isipokuwa alikuwa anatafutwa sana kwa kupambana na Bakwata na ndio maana hata la sensa halikutajwa kama lilivyo isipokuwa ataipata kama waliomtangulia kina Ulimboka. Lakini huu sio mwisho wa mapambano ni jukumu la serikali kuyatazama madai yake na kuyafanyia kazi.. period..

Mkuu Mkandara naona unataarifa nyingi hata ambazo wengi hatujui.
  • Hapa ni fedha ya Manji inafanya kazi- kumsaidia nani? Ponda au?
  • halafu nakuhakikishia swala la Mbagala halimuhusu Sheikh Ponda - tunaomba kuwafahamu wahusika maana una uhakika
  • isipokuwa ataipata kama waliomtangulia kina Ulimboka - ufafanuzi tafadhali, funguka mkuu
  • Lakini huu sio mwisho wa mapambano - sasa inabidi kujiandaa, vurugu zaidi kuendelea. So far mapambano nimeona kuchoma makanisa, wizi na uharibifu wa miundo mbinu.


 
Kesi ya kijinga kama ile ya Prof Mahalu au Yona na Mramba ambazo JK anawakomoa bila kujali pesa za walipa kodi. Wanashindwa nini kumkamata aliyemteka Dr. Ulimboka ambaye anajulikana na ni miongoni mwao?
 
kweli mkuu kuna msomi wa kiingereza alisema"if you want to keep something sectrete to africans write it a book"
kweli hawasomagi vitabu.!
 
Mi siku zote huwa nasema waislam wako so cheap, kumbuka wakati wa mgomo wa madaktari waliandamana na kutoa matamko na kesi walifungua kama sikosei kuwashtaki madaktari, huku wakisema serikali inahujumiwa, leo wanalaani serikali inatumiwa na viongozi wa bakwata, hivi hiki kizazi nani kakilaani? mara viongozi wote wa bakwata ni ccm, Zanzibar wanachoma maskani za ccm yaani its like wamechanganyikiwa, Wakristi tuzidi kuomba saa imewadia watashuka barabarani na makopo kama vichaa tuishi kwa amani.
 
Wakimpa armed robbery itakuwa ni kesi mbaya sana maana akipatikana na hatia hukumu yake si chini ya miaka 30n jela!!!!

Okay ana weza kuwa makosa kwenye mtililiko wa mashtaka yaliyo wasilishwa mahakamani, lakini hili la "armed robbery" nadhani tumekwenda mbali zaidi - tusianze mambo ya kumbambikia KESI.
 
Suluhisho la amani nchi hii ni chadema kuinga madarakani ili sera ya majibo iwebimplemented ili kila kanda iwe na mamlaka kamiili ya kujiamulia mambo yake yenyewe. Makao makuu ya nchi dodoma na ukada wa pwani wataachiwa waswahili tutangaze sharia ifanye kazi. Wasitaka warudi kwao bara. Mbeya. Rukwa na arusha. N.k nchi itakuwa na amanu kabisa. Else tujiandae kwa vita
 
zomba hebu tuwe realistic kidogo, hivi hata kama ni wewe leo hii utakubali uongozwe na mtu ambaye hajakanyaga darasa na hata karama za uongozi hana? mimi sijui mambo ya TANU lakini kama kulikuwa na waliopinga hilo walikuwa sahihi kabisa, kwani hata sasa tunayaona madhara ya kumkabidhi Mswahili Ikulu.

Kwanza hujui maaan ya karama, karama ni neno la kiarabu na hapo ulipoliweka halina maana yoyote. Kwa kukupa darsa tu, "karama" lina uhusiano na "karamu". sasa wewe tueleze "karama" ya uongozi ni nini?
 
Huu ndiyo ukawa mwanzo wa kampeni za kufuta historia ya Uislam katika TANU na mwisho wa Waislam kuwa na sauti katika siasa baada ya uhuru kupatikana. Baada ya kupatikana kwa uhuru, ile nguvu ya Waislam iliyotumika kupambana na Waingereza kuleta uhuru, ikaonekana haina maana yoyote na haifai kitu tena. Kuvunjwa kwa Baraza la Wazee ndiyo ilikuwa kishiko cha mwisho cha Waislam katika TANU. Baada ya hapo Kanisa lililokuwa pembeni wakati wa kudai uhuru sasa likajitokeza waziwazi kuwapiga vita Waislam katika TANU. Katika kitendo ambacho kanisa halikupata kufanya, Kanisa Katoliki Bukoba liliteua wagombea wake wenyewe wapambane wa wagombea Waislam walioteuliwa na TANU kugombea nafasi katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kanisa lilisema limeweka wagombea wake binafsi kwa kuwa wana elimu kupita wagombea wa TANU Waislam. Kampeni kama hii ilifanyika vilevile Kigoma. Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Nyerere, serikali au TANU yenyewe ilichukua hatua zozote dhidi ya Kanisa kwa kuchanganya ‘dini na siasa’.

Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/340537-bw-mohammed-said-yuko-wapi.html

Mkuu Zomba, kuna baadhi ya vipengele ninavyo hafikiana na Mohammed Said e.g ujasiri wa waislam kupambana wa Waingereza kuleta uhuru, vile vile ni kweli makanisa yalikua yamekaa mbali kidogo katika harakati hizo labda hii ilitokana na Mapadri na Maaskofu wengi wao kuwa Wazungu wakati huo; lakini mbona kuna wauumini wa kikristo walio kuwa wanashiriki katika harakati hizo, actually kwa wale walio kuwa wame ajiliwa na Serikali ya Kikoloni/Kingereza walikuwa wanachukua-risk kubwa ya kuji-involve na mambo ya siasa, mzee wangu alikuwa ni mmoja wa wajiliwa wa Serikali ya kikoloni na alikua mkristo, lakini akuogopa kushirika katika mambo ya SIASA; kwa hiyo si kweli kusema wakristo wote walikuwa WOGA wa kupambana na udhalimu wa kikoloni.

Bwana Moh ni mwandishi mahili lakini wakati mwingine - anaingiza vitu vingine ambavyo vinamuacha msomaji anabaki na more questions than answers! Chukulia mfano wa kusema kwamba: Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mjini BUKOBA Kanisa la Katoliki lilihusika moja kwa moja kuwateuwa wagombea wake wenyewe ili wapambane na wagombea wa TANU Waislam! hapa anataka kuonyesha nini hasa au tuseme ku-instigate kitu gani?

Mbona wakati huo Bukoba kulikuwepo madhehebu ya Kikristo zaidi ya moja - why pick on Catholic sect?? Mimi ni Mlutheri lakini katika masimulizi mengi ya Ndugu Moh utakuta anawasema sana WAKATOLIKI na Vatican; kuna paragraph ambayo iliniacha nimepigwa na mshangao mkubwa! Alikuwa analalamikia uwepo wa shule nyingi za Kikatoliki na Mahospitali, si hilo tu hata misaada ya kutoka nje ya kusaidia maendeleo ya Waroma nayo inaona ni KERO - hapo Bwana Said ndio unatuacha umetuchanganya akili tunashindwa kuelewa waislaam malalamiko yao yanatokana na sababu gani za msingi kati ya hizi tajwa hapa chini : Kanisa la kikatoliki? Maaskofu? au Serikali/Chama Tawala?
 
Mkuu Zomba, kuna baadhi ya vipengele ninavyo hafikiana na Mohammed Said e.g ujasiri wa waislam kupambana wa Waingereza kuleta uhuru, vile vile ni kweli makanisa yalikua yamekaa mbali kidogo katika harakati hizo labda hii ilitokana na Mapadri na Maaskofu wengi wao kuwa Wazungu wakati huo; lakini mbona kuna wauumini wa kikristo walio kuwa wanashiriki katika harakati hizo, actually kwa wale walio kuwa wame ajiliwa na Serikali ya Kikoloni/Kingereza walikuwa wanachukua-risk kubwa ya kuji-involve na mambo ya siasa, mzee wangu alikuwa ni mmoja wa wajiliwa wa Serikali ya kikoloni na alikua mkristo, lakini akuogopa kushirika katika mambo ya SIASA; kwa hiyo si kweli kusema wakristo wote walikuwa WOGA wa kupambana na udhalimu wa kikoloni.

Bwana Moh ni mwandishi mahili lakini wakati mwingine - anaingiza vitu vingine ambavyo vinamuacha msomaji anabaki na more questions than answers! Chukulia mfano wa kusema kwamba: Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mjini BUKOBA Kanisa la Katoliki lilihusika moja kwa moja kuwateuwa wagombea wake wenyewe ili wapambane na wagombea wa TANU Waislam! hapa anataka kuonyesha nini hasa au tuseme ku-instigate kitu gani?

Mbona wakati huo Bukoba kulikuwepo madhehebu ya Kikristo zaidi ya moja - why pick on Catholic sect?? Mimi ni Mlutheri lakini katika masimulizi mengi ya Ndugu Moh utakuta anawasema sana WAKATOLIKI na Vatican; kuna paragraph ambayo iliniacha nimepigwa na mshangao mkubwa! Alikuwa analalamikia uwepo wa shule nyingi za Kikatoliki na Mahospitali, si hilo tu hata misaada ya kutoka nje ya kusaidia maendeleo ya Waroma nayo inaona ni KERO - hapo Bwana Said ndio unatuacha umetuchanganya akili tunashindwa kuelewa waislaam malalamiko yao yanatokana na sababu gani za msingi kati ya hizi tajwa hapa chini : Kanisa la kikatoliki? Maaskofu? au Serikali Tawala?

Una uhakika upi kuwa hao "Wakristo" hawakuwa Waislaam waliolazimishwa kubadilishwa majina na "mapdri" wa "kizungu"?

Unajuwa kuwa neno "Mzungu" kibantu lina maanisha "Mungu" au "aliyetoka kwa Mungu"?
 
Tupo kwenye sarakasi kweli! Yote hayo ni mazao bwana dhaifu alikuwa anajaribu kupandikiza udini kwenye kampeni ili aone kinatokea nn. Sasa anachekacheka tu wakati maji yameshazaidi unga. Ponda hashikiki, Farid ndio kabisa kwani yupo kwenye mchezo 'hide and seek' polisi wanatakiwa waseme kajificha wapi.
 
akina Ponda wako milioni ...maridhiano, haki sawa kwa wote pasipo na dhuluma ktk elimu, madaraka, upendeleo ktk ajira ndiyo suluhu ya kudumu kwa amani ya Tanzania...
 
Kesho si Ijumaa........!!
swala ifanyike pale Central police.....!!
kwa watakao andamana kesho, ikitokea polisi wakatumia risasi za moto mimi nitakuwa upande wa polisi JAPO KWA SIKU 1.
 
Asalaam Alaykum! Saa 4 asubuhi nilifika Central Police kusimamia mahojiano yake na Polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa ZCO baada ya utambulisho na kumfahamisha haki zake wakati wa mahojiano alihojiwa. Ukiacha namna alivyokamatwa mpaka naondoka polisi saa 10 kasoro alikuwa ktk hali nzuri na polisi akiwa kituoni hawakumfanyia lolote lililokinyume na haki za mtu aliyechini ya ulinzi.
Sheikh anatuhumiwa na mambo yafuatayo:-
1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-
i. kwanini waliandamana ii. nani aliandaa mabango
iii. kwanini walisema kuwa baada ya maandamano yale wataenda kumng'oa Mufti na Ndalichako
iv. nani aliandaa maandamano
Sheikh alikiri kuhamasisha maandamano na pia alikubali ujumbe uliuokuwa katika mabango ulikuwa umebeba hisia za waislamu. Isipokuwa yeye hajui nani aliyaandika hayo mabango. Kuhusu Mufti na Ndalichako alisema wanastahili kuondolewa kwasababu ya kuongoza kwa dhulma dhidi ya waislamu. Pia alisema maandamano yaliandaliwa na Taasisi na Jumuiya za Kiislamu na yeye ni katibu wake.
2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe
Hapa alijibu kuwa huo ni mgogoro wa ardhi na waislamu wapo pale kwasababu ni kiwanja cha waislamu. Na kama kuna mtu anadai amevamiwa eneo lake huo ni mgogoro wa ardhi aende kushitaki mahakama ya ardhi na waislamu wapo tayari kufika mahakamani kujibu. Pia alikiri kuwa amehusika ktk ujenzi wa msikiti unaojengwa ktk eneo hilo.
3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu
4. Vurugu mbagala.
Haya mawili ya mwisho hakuhojiwa kwasababu mafaili yanayohusu malalamiko hayo yalikuwa hayajafika central lakini vilevile muda ulikuwa umeenda sana. Kwani mpaka tunamaliza mahojiano ilikuwa ni saa kumi kasoro hivi toka saa nne asubuhi.
DHAMANA.
Baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone ZCO Bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone Kamanda Kova. Nilienda kuonana na Kamanda Kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya DPP. Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo. NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA

​
nilipoona huu uzi mi nikajua mahojiano !!!!!
 
Back
Top Bottom