Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Gaidi? Usimpe umaarufu asiostahili. Tusiwavike watu vilemba vya ukoka wakajiona na wao wapo.

it is the matter of putting one bullet on his head and finish him up, bastard!
 
Bams umeongea busara sana na nimekusoma, lakini uvumilivu una kikomo, tatizo siyo Uislamu bali kuna watu wako nyuma ya haya mambo, tumeishi kwa pamoja muda mrefu na kuheshimiana na kuoleana lakini kuna watu wanadhani ustaarabu ni ujinga.

Hebu pata picha haya makelele tunayopigiwa na maimamu kuanzia saa 9 usiku wakati ibada ni saa 11 alfajili unataka kuniambia Waislamu hawajui muda wa kuswali? je ingekuwa ndio wakristo wanapiga makelele haya ingekuwaje?

Leo mnapiga kelele kwamba kuna chuki za kidini zinaota mizizi lakini mmesahau kwamba kuna tabaka linalobaguliwa ndani ya nchi hii na kama wewe uko hapa JF hakuna siku itapita bila kusikia hawa ni watu wa kaskazini, Rais JK aliwasikia vijana wake wa pwani wa UVCCM wakiwabaguwa watu wa kaskazini na yeye kama Rais na bado amekaa kimya!!

Simply i decide to be radical too. Fire to fire no time for baby kiss.
eeeeeeeeeeehhhh!!!!!!!! ww vipi mbona maneno makali sana, heeee!!!
punguza ukali wa maneno, punguza hasira
 
CIA sio wajinga, hawafanyi kazi kisiasa kama TISS. Hawasubiri kuambiwa na CCM au Policcm, they always take charge
 
Kweli bwana huyu ni mshamba kama dr. sl-aa kuwaandamisha watu kila mara na kusababisha wenzake wajinga kuuwawa nyololo na Moro

kwahiyo unataka kusemaje sasa! Kwamba Ponda ni gaidi! Acha ujinga wewe! Magaidi unawajua au unawasikia?
 
Shheikh Ponda hata kama wakikupa robbery, utakaa miaka 30,omba ufie jela maana itakuwani jihad ili peponi ukutane na Sheikh Osama na walee bikra zenu 70,mlioandaliwa.
 
si waondoke nae wakamhojie Guantanamo? hivi yule mzanzibar aliekamatwa pakistan yupo wapi?
Baba naniliiu alikuwa anampigania aachiwe huru.....sasa sijui walimuomba awape nini ndiyo akasitisha ghafla harakati zake za kumpigania yule mzenji.
 
Unajua kitu inaitwa water logging? Unawekwa upside down then unaputwa usoni na tambala lenye maji ili yaingie kupitia puani hadi kunako ubonga, utataja yote, chezea cia uone
 
matayo 24:9
''wakati huo watawasaliti nyinyi,mpate dhiki ,nao watawauwa;nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu .ndipo wengi watakapo jikwaa''

marko 13:9
''nanyi jihadharini nafsi zenu;maana watawapeleka nyinyi mabarazani; na ktk masinagogi(misikiti) mtapigwa;nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu ,kuwa ushuhuda kwao.''

qur an
''hakika tumekutuma wewe (muhammad) uwe shahidi kwao na wao (waislamu )wawe mashahidi kwa watu wote''

Mkuu upo makini na kidata zaidi.
 
Kumbe mrudi. ndiyo maana vurugu na kuhamasisha uvunjifu wa amani. si wamrudishe kwao
 
Huyu ni terrorist,Marekani wanatakiwa kumhoji na kumpeleka kujibu mashtaka hayo.
 
Kama nitakuwa nimekosea mnisamehe. Naanza kupata wasiwasi huenda hali hii ya vurugu za kidini inaachwa iendelee ili mafisadi waweze kuwa huru (safe heaven) endapo utawala huu utamaliza kipindi chake kikatiba. Yaani nchi iingie kwenye machafuko ya kidini badala ya kuwashuhulikia mafisadi wote wa naotuhumiwa wakati utawala mwingine utakapoingia ikulu. Wanataka kutumia mfumo wa ukimwaga ugali namwaga mboga.
 
Huu ndiyo ukawa mwanzo wa kampeni za kufuta historia ya Uislam katika TANU na mwisho wa Waislam kuwa na sauti katika siasa baada ya uhuru kupatikana. Baada ya kupatikana kwa uhuru, ile nguvu ya Waislam iliyotumika kupambana na Waingereza kuleta uhuru, ikaonekana haina maana yoyote na haifai kitu tena. Kuvunjwa kwa Baraza la Wazee ndiyo ilikuwa kishiko cha mwisho cha Waislam katika TANU. Baada ya hapo Kanisa lililokuwa pembeni wakati wa kudai uhuru sasa likajitokeza waziwazi kuwapiga vita Waislam katika TANU. Katika kitendo ambacho kanisa halikupata kufanya, Kanisa Katoliki Bukoba liliteua wagombea wake wenyewe wapambane wa wagombea Waislam walioteuliwa na TANU kugombea nafasi katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kanisa lilisema limeweka wagombea wake binafsi kwa kuwa wana elimu kupita wagombea wa TANU Waislam. Kampeni kama hii ilifanyika vilevile Kigoma. Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Nyerere, serikali au TANU yenyewe ilichukua hatua zozote dhidi ya Kanisa kwa kuchanganya ‘dini na siasa'.

Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/340537-bw-mohammed-said-yuko-wapi.html
zomba hebu tuwe realistic kidogo, hivi hata kama ni wewe leo hii utakubali uongozwe na mtu ambaye hajakanyaga darasa na hata karama za uongozi hana? mimi sijui mambo ya TANU lakini kama kulikuwa na waliopinga hilo walikuwa sahihi kabisa, kwani hata sasa tunayaona madhara ya kumkabidhi Mswahili Ikulu.
 
Last edited by a moderator:
DHAMANA.
Baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone ZCO Bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone Kamanda Kova. Nilienda kuonana na Kamanda Kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya DPP. Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo. NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA[/FONT][/COLOR]
Hapo kwenye red saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaffffffffffffffffffiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu wangu acha kamba zako kutafuta kuwajaza watu ujinga hapa. Sheikh Ponda hahusiki kabisa na maswala ya Mbagala na nakuhakikishia hilo kwa sababu naijua vita yake ni CCM na Bakwata ktk utawala uliolenga kuwakandamiza waislaam na hoja yake kubwa ambayo pekee inawahusu wakristu ni mfumo wa Afya na Elimu nchini. Unaweza kumchambua kwa hilo lakini sio Ugaidi huu. Maswala ya Mbagala ni maswala ya wajinga fulani walokutana ktk ujinga wao na wakafanya maamuzi palepale. Kati ya muda wa yule kijana alokojolea msahafu na uchomaji makanisa ni vitu vilitokea papo kwa papo pasipo kupitia washauri wa misitki wala makanisa. Ni watu waliokuwa wakisubir shari tu litokee na waridhishe nafsi zao. hawa tuwasake na kuwakamata na wafikishwe mbele ya sheria.

Hivyo wale tu waliohusika na kitendo kile ndio watakao tafutwa na kukamatwa maana siku hizi Tanzania hata ukipata ajali watu huja kukuibia wewe badala ya kukusaidia. Ni Kizazi tulichokitengeneza sisi wenyewe sio Sheikh Ponda.
 
waarabu waliompa hela alete vurugu tz wamekuwa impatient so ndo maana anahangaika damu imwagike faster
 
Punguza jazba mkuu! Aliyeandika hii makala ni huyo hapo jina lake kaliweka chini ya maelezo yake!Mimi nimecopy tu na kuiwakilisha jamvini!

hakuna upuuzi kama kuchangia post kabla ya kusoma mada yote, usingemjibu!
 
انتقلوا الشيخ سحق طلب! كل شخص يحق لإنقاذ لأنها ليست جريمة
Ukikojolea hiyo patachimbika zaidi ya mbagala
 
Mkuu wangu acha kamba zako kutafuta kuwajaza watu ujinga hapa. Sheikh Ponda hahusiki kabisa na maswala ya Mbagala na nakuhakikishia hilo kwa sababu naijua vita yake ni CCM na Bakwata ktk utawala uliolenga kuwakandamiza waislaam na hoja yake kubwa ambayo pekee inawahusu wakristu ni mfumo wa Afya na Elimu nchini. Unaweza kumchambua kwa hilo lakini sio Ugaidi huu. Maswala ya Mbagala ni maswala ya wajinga fulani walokutana ktk ujinga wao na wakafanya maamuzi palepale. Kati ya muda wa yule kijana alokojolea msahafu na uchomaji makanisa ni vitu vilitokea papo kwa papo pasipo kupitia washauri wa misitki wala makanisa. Ni watu waliokuwa wakisubir shari tu litokee na waridhishe nafsi zao. hawa tuwasake na kuwakamata na wafikishwe mbele ya sheria.

Hivyo wale tu waliohusika na kitendo kile ndio watakao tafutwa na kukamatwa maana siku hizi Tanzania hata ukipata ajali watu huja kukuibia wewe badala ya kukusaidia. Ni Kizazi tulichokitengeneza sisi wenyewe sio Sheikh Ponda.

Mkuu Mkandara, nafikiri ama ni wewe huna taarifa sahihi au mimi ndio sina taarifa sahihi...ubishi wa watoto naambiwa ulitokea Jumatano, Makanisa yalivamiwa Ijumaa! Uvamizi wa Makanisa ulipangwa na kuna tetesi Makanisa yaliendelea kuchomwa sehemu mbali mbali nchini!
 
Last edited by a moderator:
Ponda ni tatizo katika nchi hii. Anapaswa kupondwa kichwa au kunyongwa hadi kunanii.!
 
Back
Top Bottom