Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Ngongo nimekugongea LIKE moyoni mwangu maana hicho kitufe cha Like sikioni.
Thanks for useful post.
 
Last edited by a moderator:
safi sana hili kubwa jinga limepelekwa segerea tulikuwa hatulali kwa amani tz kisa huyu jinga
 
Unashangaa!! leo nakuja na thread kali jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni, usicheze mbali.

Hahahaha Matola bana kumbe uko deep kwenye hiyo sekta eenh!?

Ngoja na mimi nije huko jukwaa la ''Stress Free'' hapa pamewaka moto, sekunde yeyote mtu unaunguzwa vibaya hapa.
 
Last edited by a moderator:
matayo 24:9
''wakati huo watawasaliti nyinyi,mpate dhiki ,nao watawauwa;nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu .ndipo wengi watakapo jikwaa''

marko 13:9
''nanyi jihadharini nafsi zenu;maana watawapeleka nyinyi mabarazani; na ktk masinagogi(misikiti) mtapigwa;nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu ,kuwa ushuhuda kwao.''

qur an
''hakika tumekutuma wewe (muhammad) uwe shahidi kwao na wao (waislamu )wawe mashahidi kwa watu wote''

'... tumekutuma ..', inaonesha kuwa Allah hayuko peke yake, hao wengine ni akina nani?
 
Hahahaha Matola bana kumbe uko deep kwenye hiyo sekta eenh!?

Ngoja na mimi nije huko jukwaa la ''Stress Free'' hapa pamewaka moto, sekunde yeyote mtu unaunguzwa vibaya hapa.

sasa mkikimbia wote atabaki nani hapa kukemea uovu wa kina ponda?
 
Imeeandikwa MJIBU MPUMBAVU KULINGANGANA NA UPUMBAVU WAKE. Siku nyingi shekh Ponda Issa Ponda ameachwa akiwatukana wakristo mbele ya vyombo vya dola leo hii anakamatwa eti kwa sababu amemtishia Mh Rais. Nani muhimu Mungu au Rais. Bila shaka jibu liko wazi, kutamba kote kwa hawa waislam ni kwasababu ya udhaifu wa mkuu wetu. Ponda ilikuwa atiwe kizuizini siku nyingi hakungekuwa na haya tunayoyaona sasa. TUMSIFU YESU KRISTO (BWANA ASIFIWE)
 
Utulivu na amani tuliyonayo Tanzania haikudondoka kama maana bali ilitengenezewa msingi imara ya kuilinda na kuhakikisha hakuna wa kuichezea kupitia siasa uchwara tumekuwa tukiona haya kukemea matendo yote yanayohatarisha amani yetu.

Makanisa yamekuwa yakichomwa Zanzibar sikusikia wabeba dhamana wa usalama wakikemea na kuandaa mikakati ya kukomesha madhara yasitokee tena.RPC Mwanza kauwawa IGP anatuma kikosi cha upelelezi na kutuhakikishia waTanzania wahusika wote watakabiliwa vilivyo na kufikishwa mbele ya sheria.Jiulize ni makanisa mangapi yamechomwa,ni wahalifu wangapi wamekamatwa ?.Juhudi gani zimechukuliwa kuhakikisha madhara hayatokei tena ?.
 
Hahahaha Matola bana kumbe uko deep kwenye hiyo sekta eenh!?

Ngoja na mimi nije huko jukwaa la ''Stress Free'' hapa pamewaka moto, sekunde yeyote mtu unaunguzwa vibaya hapa.
Hapa usichezee station kabisa, mimi leo wamenikosa hapa nitabaki kuwa msomaji tu.
 
Hatutaki mambo kama haya tz wana jf, tuyapinge aman ye2 inathaman kubwa sna
 
Katika ujio huu wa maaskofu hapa Mbagala, hatukuja hapa kufanya haya yafuatayo:

  1. Hatukuja kuwahukumu hata kama hatukubaliani na wanaokashifu dini za wenzao, wawe na ruhusa kutoka mamlaka zilizo juu au kama wanajituma wenyewe.
  2. Hatukuja kuwahukumu hata kama hatukubaliani na wanaodhalilisha misahafu ya dini; wawe wametumwa, kutegeshewa na mamlaka zozote au kwa misukumo ya utashi wao binafsi ili kupata kisingizo cha kugombanisha madhehebu ya din
  3. Hatukuja kuwahukumu hata kama hatukubaliani na wanaochoma makanisa na kuiba mali za makanisa kwa kisingizio cha kumtetea Mungu. Kisasi cha dhambi hiyo tunamwachia Mungu mwenyewe aliyedhihakiwa na walionajisi madhabahu yake.
Wapendwa wana KKKT na watukuka sana, wana na mabinti wa Tanzania ya Julius Kambarage Nyerere; kilichotokea Mbagala katika wiki ya kuadhimisha siku ya Baba wa Taifa, ni kebehi si kwa Baba wa Taifa bali ni kebehi kwetu sisi wenyewe tunaokalia kiti alichokalia Baba wa Taifa. Yeye amelala baada ya kazi njema. Apumzike kwa amani na tunu zake zifufuke katika majivu haya yaliyotokana na kuchomwa kwa amani na mshikamano wa Tanzania aliyoijenga.
Dalili za mateso ya kimbari kama ilivyo kwa mateso ya kanisa; zilianza kitambo na hazikushughulikiwa na waliomrithi Baba wa Taifa. Dalili hizo ni kama hizi zifuatazo:
  • Uchochezi wa wazi kuwa taifa hili linaendeshwa na unaoitwa "mfumo Kristo", na kuwa Baba wa Taifa alaaniwe kwa yote aliyolitendea taifa hili.

  • Ubishi usio na tija juu ya idadi ya waumini wa dini mbalimbali hapa nchini na hata kudiriki kushawishi na kugomea zoezi la sensa ya watanzania.
Malasusa na Kundi lake na Maaskofu wa KKKT kulikuwa hakuna haja ya kutaja mambo ya Baba wa Taifa au mabinti wa Nyerere kwani Nchi hii imeshapitia maRais wa3 zaidi na mambo km haya yametokea tukianzia na purukushani za KKKT meru zilizomalizwa na Augustino L. Mrema au ile ya KKKT Same na Mwanga ya Cleopa Msuya hawakumtaja Baba wa Taifa.
Mbona Kilaini alikuwa akibadilika kutokana na hali ya hewa na utawala.
Bado naamini hamjatuliza hizo vuguvugu za Mbagala hasa huyo kijana wa Anglican na vurugu za waislam sanasana mtachochea wakati hapohapo Temeke vurugu za Askofu Mwangwamba tulizisikia
Hivyo kulikuwa hakuna haja ya kutoa tamko lenu tofauti na lile la Askofu wa Anglican kuomba msamaha juu ya kadhia yote ktk Al Jazeera kwani kipengele km hichi Daima tukumbuke kuwa, "KUSHINDANA KWETU SISI SI JUU YA DAMU NA NYAMA BALI NI JUU YA FALME NA MAMLAKA, JUU YA WAKUU WA GIZA HILI, JUU YA MAJESHI YA PEPO WABAYA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO" (Waefeso 6: 12).

Mm ni Mtanzania kipindi km hiki muwe na msemaji mmoja la sivyo Maaskofu ni wengi *nimemuona Askofu Shao wa dayosisi ya KKKT Kskz naye katoa yake ktk EATV 5 bado wengi watatoa na yao km wale Viongozi wa Dini waliouunga mkono mgomo wa MaDr na baadaye kuukana Namaanisha kesho sala ya Ijumaa wataingia mitaani sioni umuhimu wa kila mtu kutoa hotuba yake
 
tusubirini maana naona ni kesi isiyokuwa na dhamana hawa jamaa watanyea ndoo mpaka wapate adabu
 
Muslims are not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt or Libya
or Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq or Yemen
or Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
And they’re not happy in Syria or
Lebanon.
So, where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in Canada.
They’re happy in England, France
and Italy.
They’re happy in Germany. They’re
happy in Sweden, the USA and
Norway.
They’re happy in Holland and
Denmark.
Basically, they’re happy in every
country that is not Muslim and
unhappy in every country that is.
And who do they blame?
Not Islam. Not their leadership. Not
themselves.
They blame the countries they are
happy in.
And then they want to change those
countries to be like the country they
came from where they were
unhappy.

aisee, you real made my day kwa kweli umeongea kweli tupu, chukua tano.
 

- Wamesomewa mashtaka matano na wote 50 wamerudishwa rumande baada ya kukataliwa dhamana
​

Nilitaka kushangaa wanatoaje mdhamana kwa watu wa aina hii??? Wanaichafua tu 'DINI YA ALAATAALA'
 
Back
Top Bottom