OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Au akabidhiwe kwa Marekani kama vile waingereza juzi kati walivyompeleka yule sheikh raia wao akashtakiwe USA. Guantanamo miaka 10+ bila kesi, waterboarding nk.
Yaani hili ni wazo zuri sana kamanda! Angesafirishwa kwenda guantanamo maana ni gaidi huyu!!