GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo Mawakili wa Lisu wanalazimisha vitu ambavyo havipo.
Yaani wanafanya mambo nje ya taaluma zao.
Wanaleta siasa kwenye sheria.
 
Uzuri wa Sheria ni msumeno kesho gwaride likigeuka kanuni na Sheria hizi hizi zitatumika dhidi yao.
 
Nimesikia maneno ya hovyo tu mitaani, eti wale wanaovaa kininja si Watanganyika. Eti kuna uvumi kwamba si askari magereza. Wamevuka Bahari kwa kazi maalumu, Lissu

Askari aliyepo kisheria ana sababu gani za kuficha sura? ndio maana watu tunaamini maneno ya mitaani

Kuhusu Mahakama.
Watanzania wana vichwa vya samaki au Panzi. Hivi Jaji Ibrahim Juma alipotamka kwamba Mahakama lazima itoe hukumu kwa kuangalia mihimili mingine inasemaje, mlidhani ana maanisha nini!

Mtu aliyetukosea sana Watanzania ni Jaji Ibrahim Juma. Jaji Juma aliifanya mahakama ''tawi la Chama na serikali'' haya yanayoendelea ni matokeo ya kazi ya kuidhalilisha mahakama. Anakula pensheni , who cares

Katika Majaji wakuu wote tangu nchi ijitawale, Jaji Ibrahim Juma ndiye aliyemaliza heshima ya mahakama.
Anakula pensheni kwa raha akishuhudia uharibifu alioutengeneza! Laana ya Mwenyezi iwe juu yake popopte alipo
Mtasaga meno machadema, mnataka kuvuruga nchi mkiwa mnaangaliwa tu?? Yeye si alisema yupo tayari kuitwa muhaini kwa maneno yake mwenyewe? Sasa mnalia lia nini
 
Mtasaga meno machadema, mnataka kuvuruga nchi mkiwa mnaangaliwa tu?? Yeye si alisema yupo tayari kuitwa muhaini kwa maneno yake mwenyewe? Sasa mnalia lia nini
Kama ni mhaini si anyongwe tu,suala liishe.Maana jamii inajua nini anachopigania ambapo akinyongwa kwasababu ya hayo anayppigania,hatatokea mtu mwingine wa kutaka yafanyike,mfano wakili mkuu wa serikali,ni zao la mwenyekiti wa CCM,mkurugenzi wa tume inayoitwa HURU ni mteuliwa wa mwenyekiti wa CCM,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ni wateules wa mwenyekiti wa CCM.Hayo mambo siunaona yako sawa,halafu Lissu eti hayataki na yuko tayari kuitwa mhaini,huoni inabidi anyongwe haraka?
We una akili sana.
 
Kama ni mhaini si anyongwe tu,suala liishe.Maana jamii inajua nini anachopigania ambapo akinyongwa kwasababu ya hayo anayppigania,hatatokea mtu mwingine wa kutaka yafanyike,mfano wakili mkuu wa serikali,ni zao la mwenyekiti wa CCM,mkurugenzi wa tume inayoitwa HURU ni mteuliwa wa mwenyekiti wa CCM,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ni wateules wa mwenyekiti wa CCM.Hayo mambo siunaona yako sawa,halafu Lissu eti hayataki na yuko tayari kuitwa mhaini,huoni inabidi anyongwe haraka?
We una akili sana.
Mlipewa chance ya kuyarekebisha hayo yote, nyie mkasusia Bunge la Katiba la 2014 kwa kigezo cha serikali 3.. Hiyo chance hamtakaa muipate tena haswa kwa hii njia mnayotumia eti ya kutunishiana misuli na serikali na mnajua fika Watanzania ni manyumbu.

Kenya Gen Z wanakiwasha live live bila porojo, Mitanzania mapambano yako kwenye keyboard huko mmejificha kwa shemeji zenu na Nairobi kwa Maria Sarungi
 
Abraham ‘Kid Twist’ Reles aliuawa akiwa analindwa na polisi sita.

Hata hivyo huyu alikuwa shahidi kwenye kesi dhidi ya wazoefu wa uhalifu wa kikatili(Mafia wa New York)

Hawa Chadema na Lisu wameshawahi kumdhuru nani kwa ukatili?

Serikali na mahakama za bongo acheni drama!
 
..Jaji ameamua mashahidi ambao ni RAIA watalindwa / watafichwa.

..Mashahidi kutoka VYOMBO VYA DOLA hawatalindwa / hawatafichwa.

..Inaelekea DPP alitaka afiche mashahidi wote.

..Na kwa tuhuma alizonazo Tundu Lissu nitashangaa kama kuna mashahidi ambao ni raia.

..Nina wasiwasi DPP anaweza asiridhike na hukumu akaamua kwenda Mahakama ya Rufani ili kuendelea kupoteza muda.
Mwakitalu?. ...anaonekana ktk jamii kama mcha Mungu, mtumwa ibada. .................Huyu Mungu nadhani binafsi nahitaji nimjuwe kwa undani zaidi.
 

View: https://youtu.be/56XqzmlvhgQ?si=585Ih_Q5_OuCV7uk

Mahakama kuu chini ya Jaji Hussein Mtumbwe imekubali ombi la DPP kuwa mashahidi watakaotoa ushahidi dhidi ya kesi ya uhaini wa Tundu Lissu watoe ushahidi wakiwa:

1. Wamefichwa sura zao zao...

2. Wasijulikane utambulisho wao..

3. Wasijulikane wanatoka wapi, umri wao, wanapoishi nk

4. Chombo chochote cha habari kisichapishe habari zao isipokuwa kwa ruhusa ya mahakama🤔

#Hawa jamaa wanatumia kila aina ya legal manipulation ili kumwaga damu ya huyu mwamba kwa kumnyonga hadi afe...

#Je, Mungu Jehovah ataruhusu hili litokee...?

#Inajulikana kuwa Tundu Lissu hawezi kukubaliana na hili na kwa hiyo atakata rufaa. Watesi wake nao wanajua hili. Na bila shaka ndiyo furaha yao kwani lengo la kumweka gerezani kwa muda mrefu linatimia...

#Kwani haina shaka kuwa, mtindo wa kupiga kalenda kesi utaendelea mpaka muda wanaoutaka wao...

LAAKINI UKWELI BADO UMESIMAMA PALEPALE KUWA: Hakuna kesi ya uhaini hapo. Ni hila na uongo tu ulioingizwa mahakamani na kuchezea judiciary system yetu..!

Hata wakitaka mashahidi wasitoe kabisa huo ushahidi kwa hili wamemkosa tayari, muda utaongea
 
..miaka ya 80 wakati wa kesi ya uhaini wakurugenzi wa idara ya usalama wa taifa walikuwa wanafichwa utambulisho wao.

..Mazingira hayo ndio yaliyopelekea wasitoe ushahidi katika mahakama ya wazi na kwenye vyombo vya habari walitambulishwa kama shahidi X, na shahidi Y.

..kwasababu mazingira ya nchi yetu yamebadilika, sitegemei kama wakuu wa vyombo, ikiwa watalazimika kwenda kutoa ushahidi dhidi ya Tundu Lissu, mahakama itaficha utambulisho, na ushahidi wao.
Mkuu unaongea nje ya sheria hapa,sheria imeweka hiyo room sasa wewe hapo unaongelea utashi wa mtu hivyo ni vitu viwili tofauti kumbuka.
 
Si tunamtaka mkeo awe shahidi au kama huna wewe tukufanye mke utoe ushahidi na ukimaliza ni magetoni kupigwa bomba au unasemaje?
Kauli kama hizi zinaendelea kutuvua nguo makamanda...sijui kama kweli tunafanya hivyo maksudi au mnatumwa kukijengea chama dhana mbaya mbele ya umma.
 
28 Julai 2025

COMRADE PINDA AIWAKILISHA CCM KTK KONGAMANO LA VYAMA KONGWE VYA UKOMBOZI
MADA : KULINDALI MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI

African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi 28 Julai 2025 chini ya mada: "Kulinda Mafanikio ya Ukombozi, Kuendeleza Maendeleo Jumuishi ya Kijamii na Kiuchumi, Kuimarisha Mshikamano wa Afrika."

Mkutano huu muhimu unathibitisha misingi ya kiitikadi ya vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika - ANC, MPLA, SWAPO, FRELIMO, ZANU-PF na CCM - na jukumu lao la kihistoria katika kupata uhuru, utu na maendeleo katika eneo lote la Kusini mwa Afrika.

Pia Kongamano linalenga kusisitiza umuhimu wa harakati hizi kuwa katika mpangilio unaotambua mabadiliko ya mazingira ya kisiasa na kimataifa yanayobadilika haraka.

Vyama vya ukombozi vya Kusini mwa Afrika vilibadilisha hali ya kisiasa ya eneo hilo, kupinga utawala wa kikoloni na ubaguzi wa rangi, na kukaribisha utawala unaozingatia watu.

Tangu uhuru, vuguvugu hizi zimetekeleza sera muhimu kuhusu mageuzi ya ardhi, elimu, makazi, miundombinu na ulinzi wa kijamii.

Hata hivyo, mafanikio haya sasa yanakabiliwa kumegeka kutokana shinikizo jipya la mataifa ya kibeberu, migogoro ya kiuchumi, na majaribio ya kuingiliwa na ukoloni mamboleo.

Mkutano huu unatoa jukwaa moja la kukabiliana na matishio haya na kujumuisha majibu ya kimaendeleo ya kikanda yanayokitwa katika Pan-Africanism (Umajimuhi wa Kiafrika), internationalism na multilateralism.

Mkutano huo ni uingiliaji wa kimkakati katika uanzishaji upya wa mpango kazi (framework), kuimarisha mshikamano wa ndani ya chama, na kurekebisha harakati za ukombozi na matarajio ya kijamii na kiuchumi ya kizazi kipya......

SOMA ZAIDI :

Wala hakuna chochote wana nunua muda tu
Jaji Mkuu Mâsaju alisema yeye ni MSABATO na na kwamba atatenda haki :Mbona hatuoni haki ititendeka?
 
Hivi lissu wakimfikisha mahakama na akaamua kukaa kimya tu mwanzo mwisho nini kitatokea!?
Hiyo pia ni kete sahihi ya kusukuma ili kesi iende mbio aache kesi isikilizwe upande mmoja. Hao mashahidi wa siri watajulikana tu hata wajifiche vioi huo ndiyo ukweli....
 
Kauli kama hizi zinaendelea kutuvua nguo makamanda...sijui kama kweli tunafanya hivyo maksudi au mnatumwa kukijengea chama dhana mbaya mbele ya umma.
Kivipi kwa mfano? Watu wapuuzi kama huyu na wenzake wanaofanana wanastahili kujibiwa tena zaidi ya hivyo
 
sasa mawalili wa serikali watawaongozaje watu wasio onekana wakati wa kutoa ushahidi , means watatoa ushahidi gizani?

Na Je wakili wa utetezi au mtuhumiwa atawahoji vip hao watu, vile sifikiri usahidi wao ndo utakuwa mwisho na hawatahojiwa?
Serikali wameshaamua tangu mwanzo kwamba Lusu ni Muhaini.

Haya mengine ni formalities tu.
 
Mkuu unaongea nje ya sheria hapa,sheria imeweka hiyo room sasa wewe hapo unaongelea utashi wa mtu hivyo ni vitu viwili tofauti kumbuka.

..Jaji ameamua mashahidi ambao ni raia ndio watafichwa.

..mashahidi toka vyombo vya dola hao hawatafichwa.

..sheria imetoa nafasi kwa mashahidi kufichwa lakini kuna mstari mwembamba sana kati ya kuficha mashahidi na kutokumtendea haki mtuhumiwa.
 
Jaji Mkuu Mâsaju alisema yeye ni MSABATO na na kwamba atatenda haki :Mbona hatuoni haki ititendeka?
Kuna kitu naenda kuhitimisha kuhusu dini na tabia zetu. Mwakitalu na Masaju ni wa kristo hai kati vipimo vya jamii.
 
Back
Top Bottom