Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,228
- 60,546
Mashahidi wasiokuwepo......hahahaha.Mashahidi wameona kuna kila dalili ya kudhuriwa na wanachadema.Wana haki ya kulinda uhai wao
Tumerudi nyuma zama za mawe za kati
Mashahidi wasiokuwepo......hahahaha.Mashahidi wameona kuna kila dalili ya kudhuriwa na wanachadema.Wana haki ya kulinda uhai wao
Mkuu, kuna dhana hii “start with the end in mind”. End game ni hii, Lissu kushinda kesi kwa sababu ya kukosa haki ya kupata vielelezo kutoka upande wa mashtaka na kutoweza kufanya cross-examination. Kwa hiyo utetezi wake utaleta mashaka katika shauri zima kwa sababu hizo na mashaka hayo hayataweza kuondoka hivo atakuwa hana hatia - na kuachiwa huru.Usalama gani. Uhuni tu.
Mbona kesi za huko nyuma wakati wa Nyerere pamoja ya hivi karibuni ya Mbowe hawakufichwa na hakuna kilichowatokea kwao....!!?
Hii kesi ya Madini inamuhitaji Lissu by force by fireMkuu, kuna dhana hii “start with the end in mind”. End game ni hii, Lissu kushinda kesi kwa sababu ya kukosa haki ya kupata vielelezo kutoka upande wa mashtaka na kutoweza kufanya cross-examination. Kwa hiyo utetezi wake utaleta mashaka katika shauri zima kwa sababu hizo na mashaka hayo hayataweza kuondoka hivo atakuwa hana hatia - na kuachiwa huru.
Lissu hatakiwi kushiriki siasa katika uchaguzi wa 2025. Ukipita atakuwa huru. Bado miezi kama mitatu atakuwa huru.
Lissu akila kitanzi ndo watekaji wataisha?Mambo yalianza kama masihara vile, lakini kuna mtu anaenda kula kitanzi ili taifa libaki salama
Kama taifa kuna sehemu tumekosea na tunaendelea kukosea. Hata kuiga tu, tumeshindwa!!Hii kesi ya Madini inamuhitaji Lissu by force by fire
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Ni uwendawazimu ule ule wa siku zote. Kwa kweli huyu bibi na Mzoga wake, wanaivuruga nchi kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa!
Ni uharamia wa hali ya juu. Shahidi ambaye hajulikani, hahojiwi, unawezaje kuuamini ushahidi wake? Utathibitisha vipi, kama hao mashahidi siyo wa kutengenezwa na kufundishwa cha kusema?
Hii nchi tuna mashetani ambao sidhani kama ni rahisi kuwapata sehemu nyingine yoyote hapa Duniani!!
Na hii kesi, majaji, hakimu wote ni wa kutengenezwa, na wote ni wa majina ya huko huko kwake. Na hawa watu wenye vinasaba vya waarabu, kwao kuua ni maisha yao ya kawaida.
Wananchi tunatakiwa kusimama na kupinga uhuni wa huyu bibi na hawa watu wake waliotengenezwa na kutumbukizwa kwenye vyombo vya haki.
Itafaa wakijiteketeza....ccm inayopambana na CDM.....moto unaendelea kuunguza nyumba yao.....Mungu hadhihakiwi, ccm mtavuna mlichokipanda ndani ya nchi hii.
AmeenTukiendelea kumchekea mzenji atatumaliza maana ana chuki binafsi na wabara. Mwenyezi Mungu tafadhali ingilia kati kuanzia majaji, mahakimu, ofisi ya DPP na kimama ikikupendeza wafutilie mbali maana wamekuwa maadui wa haki na wakandamizaji wa Taifa
Achana na huyo shetani wa kuzimu...akili zipo chooniEndelea kuwashwawashwa
Tufanye anahenya enhe bibi yako kule namtumbo anapata matibabu safi na salama nanya uhakika , au nae anakufa kwa kukosa vifaa tiba huku mama na genge lake wakiendeleq kujinunulia v8 l300ACHA AKOME SI ANAJIFANYA ANAJUWA SANA SHERIA ATANYOOKA MWAKA HUU ATAHENYA
Tatizo ni pale wanapohairisha kila siku.. Tuendelee kuomba haki ishinde NRNEMimi ninayo imani kua lazma itumike kama inavyotakiwa.Alafu ndugu tuondoe hofu kua haki aiwezi kutendeka wakati mahakama zetu hizi hizi Lissu amekua akishinda kesi. NRNE
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Hii Ngoma mawakili wa lissu kama inawezekana wakakate rufaa, wasikubali kamwe, ushahidi wa kutengenezwa huoMahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Libaba zima kuandika upupu huoni haya?Safi sana… uchaguzi ukiisha DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi na hapo ndio Chadema inakuwa ishajifia rasmi..
Chama kilikabidhiwa kwa washamba, mwema hazina Mmachame Lema ashaingia mitini ameona tone tone haziendi
Nimesikia maneno ya hovyo tu mitaani, eti wale wanaovaa kininja si Watanganyika. Eti kuna uvumi kwamba si askari magereza. Wamevuka Bahari kwa kazi maalumu, Lissu..nadhani Lissu naye avae kininja.
BAADA YA HII TAARIFA NINEMUONA MBOWE AKIPIGA PAFU 10 ZA NGAGI KWA FURAHA ...Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Hawa CCM na uhuni wao wanakunyonga mchana kweupe. Na adhabu inatekelezwa haraka........usisahau ndo waliomlamba zaidi ya risasi 30.Niliandika hivyo, kuwa Lissu hasipoteze muda kwenda mahakama ya rufani akubali mashahidi wa Siri wakishamaliza kubwabwaja hasiwaulze chochote means no cross examination,hii itafanya kesi iende chap, na tuone hio hukumu.