Hizi zote ni hisia zako mkuu,mahaka ni sehemu ya haki kama kamanda wetu Lissu akufanya jinai atakua tu huru..Jaji ameamua mashahidi ambao ni raia ndio watafichwa.
..mashahidi toka vyombo vya dola hao hawatafichwa.
..sheria imetoa nafasi kwa mashahidi kufichwa lakini kuna mstari mwembamba sana kati ya kuficha mashahidi na kutokumtendea haki mtuhumiwa.
Ndiyo maana nimesema kuna watu mmetumwa kuichafua CAHADEMA kwa kutamka matusi ili tuonekane sisi hatuna maanaKivipi kwa mfano? Watu wapuuzi kama huyu na wenzake wanaofanana wanastahili kujibiwa tena zaidi ya hivyo
Kama ni kuku au mbuzi, nakuunga mkono kwani baada ya kumnyonga tunakula nyama!MTANYOOKA TU WAHUNI NYIE MANATAKA KUHARIBU TAIFA MUANGALIWE TU MTU ANAHAMASISHA UASI AANGALIWE TU? LISSU NI MUHAINI ANYONGWEEE
Na nini kinatokea kama kesi ikisikilizwa upande mmoja, athari na faida zake zipojeHiyo pia ni kete sahihi ya kusukuma ili kesi iende mbio aache kesi isikilizwe upande mmoja. Hao mashahidi wa siri watajulikana tu hata wajifiche vioi huo ndiyo ukweli....
Hizi zote ni hisia zako mkuu,mahaka ni sehemu ya haki kama kamanda wetu Lissu akufanya jinai atakua tu huru
Kama ww na huyo bweha chiembe lenu moja basi mjitafakari snNdiyo maana nimesema kuna watu mmetumwa kuichafua CAHADEMA kwa kutamka matusi ili tuonekane sisi hatuna maana
Kesi itaondolewa kwenye hiyo mahakama kwa haraka au kufutwa au kuamishiwa kwenye mahakama yenye mamlaka kamili ya kusikiliza kesi za uhaini ..maana akutakuw na marumbano ya hoja na kupoteza mudaNa nini kinatokea kama kesi ikisikilizwa upande mmoja, athari na faida zake zipoje
Mbona kuna kesi nyingi tumeshinda kamanda.Cha muhimu ndugu zangu ni kutii na kuheshimu sheria zetu ,ndiyo maana ata nasisi tuliwafukuza hakina Mdee na Catherine Ruge kwakua walienda kinyume na itikadi na utaratibu wetu...mahakama zetu sio mahali pa haki kwa wapinzani.
..mahakama ingekuwa mahala pa haki kwa wapinzani serikali ya ccm isingekuwa inawashtaki wapinzani huko.
Usifananishe zama za giza zile, mbona sasa hivi hupigi kura ya yai na kuku, au ndiyo na hapanaRejea kesi ya uhaini ya akina maganga, hans pope{rip}, utaratibu huo ulitumika
We unadhani hao watu wanadini.Mimi sina hofu hata kidogo na hizi kesi zsa Lisu. Kwani najua ni vitu vya kupikwa wakitaka watamfunga wasipotaka watamuacha ila wajaribu kumnyong'onyeza ili kama ikiwezejkana hata wakimwachia akimbie nchi kama ulimboka.Jaji Mkuu Mâsaju alisema yeye ni MSABATO na na kwamba atatenda haki :Mbona hatuoni haki ititendeka?