kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nchimbi hajapatikana? Maaskofu kwa nini mnanyamaza? waseme kwenye makanisa yao

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, akiwa Kizimbani baada ya kuahirishwa kwa Kesi yake amehoji alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku akiwataka viongozi wa dini kutonyamazia suala hilo. "Nchimbi hajapatikana? Waulizeni Maaskofu waseme...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu leo, Alhamisi Septemba 24.2026 anaendelea kuwasilisha 'Final Submission' zake Mahakamani katika kesi ya uhaini inayomkabili, zoezi aliloanza nalo hapo jana LISSU ambaye anajitetetea mwenyewe kwenye kesi hiyo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatano, Septemba 23, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mahakama kinatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Jeshi la Polisi hawatoitikia wito wa mahakama kesi ya Uhaini ya Lissu?

    Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani. 1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko. 2- Adhabu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea huku John Heche akitarajiwa kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026 ambapo jana Septemba 10 Mahakama Kuu ilikataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao hauna umuhimu kwani wajibu wa kuthibitisha kosa ni wa Jamhuri. Hata hivyo, Jaji Ndunguru ameagiza...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

    Baada ya jana Septemba 9, 2026 Makamu Mwenyeekiti wa CHADEMA Bara, Joun Heche kupanda Kizimbani na kuanza kutoa ushahidi wake katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyeekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na leo tena anaendelea. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Septemba...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: John Heche ameanza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Shahidi wa nne ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, Septemba 9, 2026 amekamilisha sehemu zote za utetezi wake. Mapema leo baada kesi kuanza mawakili wa Serikali waliendelea na maswali...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, alisema hotuba ya Lissu ya Aprili 3, 2025 ilihusu mageuzi ya mfumo wa Uchaguzi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

    Shahidi wa nne katika kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia, leo Septemba 8, 2026 ataendelea kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Tundu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Brenda Rupia ndani ya Mahakamani kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Muktasari: Shahidi wa tatu wa utetezi, Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Baada ya maswali ya dodoso kutoka upande wa mashtaka na maswali ya ufafanuzi kutoka upande wa utetezi kukamilika, kesi imeahirishwa kwa saa moja na nusu. Inatarajiwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea leo Septemba 7, 2026 katika hatua ya maswali ya dodoso kwa shahidi wa tatu ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Amani Golugwa. Maswali hayo ya dodoso...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

    Zoezi la maswali ya dodoso kutoka kwa Jamhuri kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea asubuhi hii Agosti 28, 2026 huku likitarajiwa kukamilika ili kutoa nafasi kwa shahidi mwingine kutoa utetezi wake. Kutokana na muda wa shughuli za...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

    Hatua ya maswali ya dodoso (Cross Examination) kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanatarajiwa kutamatishwa leo Agosti 27, 2026 na kufungua mlango kwa shahidi mwingine wa Lissu kupanda kizimbani kwaajili ya kutoa utetezi wake. Jana Agosti 26, 2026, Tundu Lissu alihitimisha kutoa ushahidi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, anatarajiwa kuhitimisha sehemu ya kwanza ya ushahidi wa utetezi wake, yaani ushahidi mkuu, ikiwa ni siku ya tatu katika mfululizo wa utetezi wake. Leo Jumatano, Agosti 26, 2026, Lissu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea. Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

    Tundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kuendelea leo Agosti 24, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, ikiwa katika hatua ya uwasilishaji wa ushahidi wa mshtakiwa mbele ya jopo la Majaji...
Back
Top Bottom