Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,523
33,164
Wanaukumbi.

Kwa Upendeleo: 13
Dhidi ya: 2

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo:

✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu.

✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota kwa kiasi kikubwa.

✅ Afrika Kusini iliitaka mahakama kutumia mamlaka yake na kuweka hatua za dharura kukomesha vita

✅ Mahakama inachukulia shambulio la kijeshi huko Rafah kuwa ni jambo la hatari ambalo linaongeza mateso ya watu

✅ Hatua za muda zinazochukuliwa hazishughulikii kikamilifu matokeo ya mabadiliko ya hali katika Ukanda wa Gaza

✅ Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema limeshindwa kupeleka misaada Rafah.

✅ Israel haikutoa vya kutosha kuhakikisha usalama na usalama wa waliohamishwa kutoka Rafah kwenda Al-Mawasi.

Chanzo: @Kahlisse

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1794001171486765456?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

---
THE HAGUE, May 24 (Reuters) - Judges at the top United Nations court ordered Israel on Friday to immediately halt its military assault on the southern Gaza city of Rafah, in a landmark emergency ruling in South Africa's case accusing Israel of genocide.

While the International Court of Justice, or World Court, has no means to enforce its orders, the case was a stark sign of Israel's global isolation over its campaign in Gaza, particularly since it began its offensive against Rafah this month against the pleas of its closest ally the United States.

Reading out the ruling, World Court president Nawaf Salam said the situation in the Palestinian enclave had deteriorated since the court last ordered Israel to take steps to improve it, and conditions had been met for a new emergency order.

"The state of Israel shall (....) immediately halt its military offensive, and any other action in the Rafah governorate, which may inflict on the Palestinian group in Gaza conditions of life that could bring about its physical destruction in whole or in part," he said.

Israel had not explained how it would keep the population safe during an evacuation of Rafah, or provide food, water, sanitation and medicine for the 800,000 Palestinians that had already fled the Israeli advance, he said.

The ICJ ordered Israel to open the Rafah crossing between Egypt and Gaza to let in aid. Israel, it added, must provide access for investigators and report back on its progress within one month.

The order was adopted by the panel of 15 international judges in a 13-2 vote, opposed only by judges from Uganda and Israel itself.

South Africa hailed the ruling as groundbreaking.

The internationally recognised Palestinian Authority said it represented a global consensus that the war must end, although presidential spokesman Nabil Abu Rudeineh said it did not go far enough because it did not halt fighting in other parts of Gaza.

Senior Hamas official Basem Naim told Reuters: "We call upon the U.N. Security Council to immediately implement this demand by the World Court into practical measures to compel the Zionist enemy to implement the decision."
 
Chanzo: @Kahlissee

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1794001171486765456?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hayo ni makelele tu, ni sawa kumpigia mbuzi gitaa,mtu pekee wa kumlazimisha Netanyahu/Israel asitishe Vita ni Biden/USA tu,
 
1000023214.jpg

Israel alishawambia kuwa hakuna hata Jeshi lolote linaloweza kuwazuia idf wasiwamalize Hamas yaani ni wao waamue tu... and Majaji wawili wamesimama kidete wamesema hawataki ujinga wa kusikiliza jamii wao wamesomea sheria so wanasimamia Sheria na sio ushabiki wa kipumbavu..

wamesema Hakuna Viashiria hata punje ya Genocide na Israel kama State inahaki ya kuwamaliza Magaidi wa Hamas, na Uzuri Usrael imechukua hatua zote zinazostahili kuzuia vifo vya raia..

Pia wamewashangaa South Africa kukutana na viongozi wa Hamas kabla ya tarehe ya mahakamani bila kuwashairi kuwa wawaachie Mateka na kuacha kujificha nyuma ya raia na kutumia maeneo ya kiraia kurusha rocket kuelekea Israel... hii inaonesha hiyo mahakama ni mahakama ya Kishabiki soimejaa upumbavu
 
Darfur Sudan huko waafrika weusi wanauwawa na waarabu, hawaoni ni matusi kwa waafrika wanaona Gazans tu, Israel waendelee na kazi ya kuwaangamiza waliofanya unyama wa October 7th, damu ya wapalestina itakuwa juu ya Hamas, huwezi kuua, kuchinja, kubaka wayahudi na mchagga na mmasai halafu unakimbilia kujificha kwa raia eti wasipigwe, upuuzi wa hali ya juu.
 
Umeandika kwa chuki, hukunu na amrinimetolewa na mahakama, mhalifu akitekeleza au hatekelezi sio kazi ya nleta habari.

Mimi nakushangaa wewe unaejiita Mtamzania, unaona raha watoto na wanawake qanavyouliwa kwa kudhulumiwa huko Ghaza?
Wakulaumiwa vifo vya watoto ni hao magaidi wa kipalestina, wanatumia maeneo ya raia kama "Human Shield". Israeli ni zaidi Ya Netanyahu. Ni bora Netanyahu ashtakiwe lakini Taifa la Israeli liwe salama. Israeli kama Taifa Lolote ina haki ya kujilinda 🤔
 
Mtu akuingilie nyunbani kwako, apatakenkwa nguvu, auwe wanao, wagonjwa wako, wazee wako, wanawake zako, halafu wewe unaewapigania kudhulumiwa ndio uwe gaidi?
 
Taifa la Israeli lilikuwepo maelfu ya miaka kabla ya hata Palestina kuwepo. Kama Israeli ingevamia Misri, Syria, Lebanon au Iran ungesema imevamia. Palestina iliikuta Israeli na Mji wake wa Jerusalem hapo. Israeli haijavamia eneo la mtu bali ina miliki hilo eneo🤔
 
Wanaukumbi.

Kwa Upendeleo: 13
Dhidi ya: 2

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo:

✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu.

✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota kwa kiasi kikubwa.

✅ Afrika Kusini iliitaka mahakama kutumia mamlaka yake na kuweka hatua za dharura kukomesha vita

✅ Mahakama inachukulia shambulio la kijeshi huko Rafah kuwa ni jambo la hatari ambalo linaongeza mateso ya watu

✅ Hatua za muda zinazochukuliwa hazishughulikii kikamilifu matokeo ya mabadiliko ya hali katika Ukanda wa Gaza

✅ Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema limeshindwa kupeleka misaada Rafah.

✅ Israel haikutoa vya kutosha kuhakikisha usalama na usalama wa waliohamishwa kutoka Rafah kwenda Al-Mawasi.

Chanzo: @Kahlisse

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1794001171486765456?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

---
THE HAGUE, May 24 (Reuters) - Judges at the top United Nations court ordered Israel on Friday to immediately halt its military assault on the southern Gaza city of Rafah, in a landmark emergency ruling in South Africa's case accusing Israel of genocide.

While the International Court of Justice, or World Court, has no means to enforce its orders, the case was a stark sign of Israel's global isolation over its campaign in Gaza, particularly since it began its offensive against Rafah this month against the pleas of its closest ally the United States.

Reading out the ruling, World Court president Nawaf Salam said the situation in the Palestinian enclave had deteriorated since the court last ordered Israel to take steps to improve it, and conditions had been met for a new emergency order.

"The state of Israel shall (....) immediately halt its military offensive, and any other action in the Rafah governorate, which may inflict on the Palestinian group in Gaza conditions of life that could bring about its physical destruction in whole or in part," he said.

Israel had not explained how it would keep the population safe during an evacuation of Rafah, or provide food, water, sanitation and medicine for the 800,000 Palestinians that had already fled the Israeli advance, he said.

The ICJ ordered Israel to open the Rafah crossing between Egypt and Gaza to let in aid. Israel, it added, must provide access for investigators and report back on its progress within one month.

The order was adopted by the panel of 15 international judges in a 13-2 vote, opposed only by judges from Uganda and Israel itself.

South Africa hailed the ruling as groundbreaking.

The internationally recognised Palestinian Authority said it represented a global consensus that the war must end, although presidential spokesman Nabil Abu Rudeineh said it did not go far enough because it did not halt fighting in other parts of Gaza.

Senior Hamas official Basem Naim told Reuters: "We call upon the U.N. Security Council to immediately implement this demand by the World Court into practical measures to compel the Zionist enemy to implement the decision."

Sawa tutakomeaha vita kwanza sababu kuna shortage ya mabikira peponi
 
Na hili pia wamesema
20240524_220647.jpg
 
Israel alishawambia kuwa hakuna hata Jeshi lolote linaloweza kuwazuia idf wasiwamalize Hamas yaani ni wao waamue tu... and Majaji wawili wamesimama kidete wamesema hawataki ujinga wa kusikiliza jamii wao wamesomea sheria so wanasimamia Sheria na sio ushabiki wa kipumbavu..

wamesema Hakuna Viashiria hata punje ya Genocide na Israel kama State inahaki ya kuwamaliza Magaidi wa Hamas, na Uzuri Usrael imechukua hatua zote zinazostahili kuzuia vifo vya raia..

Pia wamewashangaa South Africa kukutana na viongozi wa Hamas kabla ya tarehe ya mahakamani bila kuwashairi kuwa wawaachie Mateka na kuacha kujificha nyuma ya raia na kutumia maeneo ya kiraia kurusha rocket kuelekea Israel... hii inaonesha hiyo mahakama ni mahakama ya Kishabiki soimejaa upumbavu
Mahakamani plus hamas plus mashabiki wao wote wapumbavu. Israel ana huruma sana yeye anauwa kidogo kidogo chini ya watu hamsini kwa siku,wao hamas waliwauwa waisrael 1200+ kwa siku mnamo tarehe 7 mwezi wa 10
 
Ntwny

Hapana, kuwa mkweli, anakwenda kuhutubia mabwana zake anaoshirikiana nao kuuwa watoto na wanawake.
Nawe pia umeandika kwa chuki, Netanyahu hana mabwana, na kukutana na viongozi wengini kujadili namna bora kumaliza vita siyo tatizo. Hivi huko Gaza huwa hakuna wanaume watu wazima wanao uwawa? kila anayeongea husema Netanyahu anaua watoto na wananwake, au mabomu yametengenezwa kuua wananwake na watoto tu?
Au ndio kutafuta huruma?

October 7,2023 Allah akbar zilikuwa nyingi, HAMAS alisifiwa kuwaua waizrael bila kujali ni wananwake, wanaume wazee, au watoto.

Binafsi napenda Israel anavyofanya, dawa ya kiburi ni kiburi. HAMAS wakiachwa wataleta shida sana dunia hii, Kama Marekani alivyoangamiza Al-Qaeda, napenda kuona Israel anaaangamiza HAMAS.

HAMAS wanakosea kujitia visirani na ujuaji, wacha wapigwe tu, Madhara waliyo wasababishia wapalestina wenzao hayana kipimo, kuawaacha sasa haina maana kabisa.
 
Back
Top Bottom