CCM wanafanya usaliti uonekane ni kitu cha kawaida sana. Mtu akishauri tofauti na walichotegemea basi wao ni msaliti. Nikisema simpendi JPM basi nageuka kuwa msaliti. Sijui wale wenye nia ya kupindua serikali au kumng'oa mwenyekiti wao watawapa jina ghani.Amen, blessed for this strong message
Wasaliti wa Nchi wamebaki kama vichaa hawajui washike lipi
Ukiwa ndani ya game ndio utajua ukiwa nje mtu unakuta anapiga filimbi hatariSiasa mchezo mchafu kweli kweli usione nyani mzee kakwepa mishale mingi
Ndio ujue kiongozi anatengenezwa na Mungu kupitia watu wanaomzunguka bila yeye hata bila kutambuaHapa ndo huwa tunasema when GOD chose you nothing bad will hapen to you
Wewe ni mchaguliwa
am proud of you Sir
Naipongeza Serikali ya awamu ya tano kukuwezesha kuipongeza kwa utendaji wake usiomithilika.Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuwezesha rais Magufuli kuzindua kitabu cha Rais Mstaafu Mkapa.
Happy birthday Ben.
Lissu alishindwa kukwepa risasi zilimpata na akatoka hai.Siasa mchezo mchafu kweli kweli usione nyani mzee kakwepa mishale mingi
Inategemea Mungu gani usimbishie sana hata Hittler nae alikuwa mtumishi wa Mungu na hata Idi Amini nae nasikia alianza kuhamasisha maendeleo kwa kununua ndegeHauko sawa kichwani, Magufuli anayeamuru mauaji ya wapinzani wake ni mtumishi wa Mungu?
HakikaSiasa mchezo mchafu kweli kweli usione nyani mzee kakwepa mishale mingi
Kama TUNDU LISSUYe,Mungu alimlinda mja wake,Kwasababu alikuwa na maono juu yake
Mungu anamaajabu sana we unaamini Lissu angechomoka kwa zile risasi zoteJamaa anapenda kutafuta huruma sana hivi anaijua sumu kweli,? tusichoshane
Wewe ni nani hadi atafute huruma kutoka kwako?Jamaa anapenda kutafuta huruma sana hivi anaijua sumu kweli,? tusichoshane
Sio hao huyo na anadunda tuuHao waliompatia sumu kweli mpaka leo wangali hai & huru uraiani