Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,140
- 55,131
Nyama kwa nyama kitu raw.Mzigo gani tena? πΉ
Em waungwana tuwe tunaelekezana isije kuwa huu mzigo wa vijora unaliwa afu mi sijui..!! πΉπΉπΉ
Ndo kusema hujui jamani. π€£π€£Kwanini sasa π
π€£π€£ ndo kusema unanijulia ivo?Kuitika kwake ni kesho asubuhi
Hapana ila ni nadra kuonekanaπ€£π€£ ndo kusema unanijulia ivo?
HapanaMtani umeanza?
Kuna nini kwani???
Mechi zenye magoli mengi ndiyo nzuri...Kuna nini kwani???
π€£π€£Kama mpaka unatumia neno Ufanisi basi wewe utakuwa TAMISEMI wazee wa madokezo
Hivi unajua leo ndio naona quote yako hongera kwa ubingwa mtaniiππNipo Mdogo wangu hali ilikuwa tete bana jana. Lol.
Nilinenepa ila hapa najiona kabisa sina muda nitaanza kuchonga. π
Lol. Usijali Mtani.Hivi unajua leo ndio naona quote yako hongera kwa ubingwa mtaniiππ
Ila ubingwa wenu ulipooza mnooπ€£Lol. Usijali Mtani.
Yaani ubingwa tunao na tunatamba nao. π π