ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,371
- 41,190
- Thread starter
-
- #81
π π πKuitika kwake ni kesho asubuhi
Aaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)Una no yangu kwani we mwana Manchester π π
Nipigiee
Mimi pia Man UAaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)
Wewe timu gn huko majuu?
Karibu chama limefufuka mkuu,wafanye usajili sasa ili tuwe hatari ulayaMimi pia Man U
Hisia tu zimekutosha kua mie rafiki mwema π€π€ una hisia kaliiiπAaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)
Wewe timu gn huko majuu?
Kwani sio uzi wa sports ππMbona huu uzi upo kwenye jukwaa la sports badala ya MMU sijuiπ€£π€£
Haya sawa.Hisia tu zimekutosha kua mie rafiki mwema π€π€ una hisia kaliiiπ
Majuu ni Liverpool π₯°
Tutanyanyuka tena πͺHaya sawa.
Mmmh majogoo wanaanguka,hata wachezaji wanakimbia timu
Pesa makaratasiiPoleee π’π’ nipe wallet yako nikutunzieπ€ͺ
Lete hayo makaratasi usije kuyamwagia pombe ewe mwana jangwani ulieshindwa kutupia goliPesa makaratasii
ππ
Sasa unataka game simple, magoli rahisi?Walau hilo linalopatikana kwa mbinde watasema game ilikua tafuuuuu sanaπββοΈπββοΈ
Bhna mi nataka game iliyosheheni ubunifu π₯π₯π₯Sasa unataka game simple, magoli rahisi?
Muwe mnatoa location mkiwa mnaliwa tuje tule Chabo.Na bila mashabiki team inakosa vibe
Weka humu πMuwe mnatoa location mkiwa mnaliwa tuje tule Chabo.
Ishi humoβ°οΈWeka humu π
JESUS unazeeka vibaya haya rudi kuleeLengo ni comment huu uzi nifungwe siwezi sitauingia mtego huu kamwe