md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Tatizo kujenga ovyo bila mpangilio, kujenga mabondeni na ukosefu wa miundo mbinu ya kutolea maji wakati wa mvua,,,
Laiti ungefikiria kidogo tu ungejua serikali yako inahusika vipi na mipango miji. Lazima kuwe na master plan ya mji, lazima kabla hujaamza kujenga uwe na ramani na approval ya wizara, lazima kabla ya kujenga eneo lako lipimwe na kuonekana linafaa na kukidhi ujenzi, lazima wizara ijidhihirishe kuwa drainage system pale unapokenga inakubaliana na system ya mji, lazima sewage system ya nyumba yako iendane na sewage system ya jiji.
Unaposema sisiem isilaimiwe sijui unaangalia vigezo gani.
Hiyo picha ya tatu mbona sio ya mafuriko? Hayo maji ya bahari kigamboni.
Ifike wakati watu waende nje ya mji, kwani lazima kuonekana unakaa mjini ili hali unaishi kwenye bwawa la maji ya chooni???????? nyumba nyingine ni kinyaa lakini mtu anang'ang'ania hapo hapo kisa yupo karibu na kariakoo ni ujinga huo sasa. hapo serikali ya ccm haihusiki.
Samahani dada, umemaliza darasa la ngapi? Nata nikufowardie jinsi mipango miji inavyotengenezwa na mafuriko ni ya kawaida wala yasingetokea.
By the way. Kwa kifupi ukishindwa kuelekeza maji pa kupita maji yenyewe yanakulazimisha kupita na fidia juu. Sasa dada hilo siyo jukumu la mtu mmoja mwenye kaploti ya mita 60 kwa mita 40. Kuna mamlaka husika inayoitwa mipango miji na wizara yenye waziri, naibu waziri, katibu mkuu, wakurugenzi, wataalam wa kupima na kuratibu miundo mbinu za miji na majiji....nk...nk....sasa hawa ndo tunawatupia lawama ambao ndo inaitwa "serikali"
hahaha!!!Mkuu kino ndiyo / iko wapi?
Nakumbuka kunausemi flani wa kitambo kiac "AMEVUKA MAJI YA SHINGO BILA MA****U KULOA"Amavubi ... unaposema "lol .. vyote vimeloa hapo" ... unamaanisha vitu gani? "vinini"? ... vyombo vya ndani?!
Leo asubuhi nimepita Kibasila Sec. hali ni mbaya sana na wakazi wa jirani wote hali ni mbaya, sijui itakuaje endapo mvua zitanyesha na leo. Sijui serikali tuliyonayo ipo kwaajiri ya nani?