Na unaweza pata magonjwa ya chumbaniView attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
Yaani nyinyi wananchi mjenge holela na kuziba mitaro, mjenge sehemu za maji kupita, mvua ije maji yashindwe kupita, muilalamikie Serikali? Seriously?
hivi maji hayaingii kwenye papuchi kweli, asije akiondoka hapo anaenda kuchutama na kujaza kindoo kidogo.View attachment 249798
lol, vyote vimeloa hapo
Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha usiku kucha nimepita baadhi ya mitaa alfajiri hii na kukuta wananchi wakikimbia nyumba zao sababu ya kujaa maji ndani. Inatia huruma kwa kweli, awa watu wanahitaji msaada wa haraka kutoka kwa jamii inayowazunguka sababu Serikali imeshashindwa kuwa msaada kwa Wananchi.
Nimepita maeneo ya Tabata, Buguruni, Vingunguti nimekuja kuiona tena hali hiyo Kigogo na sasa nipo magomeni sijajua kwa ndugu zangu pale Kinondoni kutakuwaje.
View attachment 249781
View attachment 249777View attachment 249778View attachment 249779View attachment 249780
Na pangekua na mgomo leo watu wangekufa njaa hakyanani, unless kama wanalima lami..Duh Mvua Ndo Hiyo Inasogea Sogea Maeneo Ya Manzese Na Ubungo
wa mjini tokeni mapema mtalala njiani kama mimi jana