Wewe ndio mwongo, unazifahamu taratibu za baraza la famasia? Pia maduka ya MSD yapo na dawa zina bei nafuu sana.Umedanganya , Sheria ilimzuia Magufuli kufunga maduka ya dawa karibu na Hospitali , akaamua kuanzisha maduka ya MSD ili kuyashinda maduka binafsi , huku akisahau kwba kila wodi ya Wagonjwa kule ndani , sewahaji , Mwaisela nk zinayo maduka humo humo vyumbani , kifupi alichemsha vibaya .
Maduka ya dawa hukaguliwa na Mamlaka ya chakula na dawa , hakuna dawabya serikali inaweza kuuzwa mle .
Mada ni kuwa inakuweje maduka nje ya hospitali yawe na dawa lakini ndani ya hospitali hakuna dawa wala gloves?Umedanganya , Sheria ilimzuia Magufuli kufunga maduka ya dawa karibu na Hospitali , akaamua kuanzisha maduka ya MSD ili kuyashinda maduka binafsi , huku akisahau kwba kila wodi ya Wagonjwa kule ndani , sewahaji , Mwaisela nk zinayo maduka humo humo vyumbani , kifupi alichemsha vibaya .
Maduka ya dawa hukaguliwa na Mamlaka ya chakula na dawa , hakuna dawabya serikali inaweza kuuzwa mle .
Hebu ileza maduka ya nje yanakuwaje chanzo cha ukozefu wa dawa hospitali. Serikalo inasema mama ni bure Lakini hivyo vitu vya bure huwa serikali yenyewe haivileti sasa kosa la nani kwa mfanoKipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Raisi Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali...
Sio wote wenye bima, na hata itoshe kusema kuwa uwe na bima au usiwe na bima changamoto ni nyingi sana ndani ya hospitali za serikali kubwa ikiwa ni ukosefu wa Dawa ndani ya hospitali.Kwani dawa zinatolewa bure! ndugu yangu kata bima ya afya ndipo kwenye unafuu
Kulipia kwa cash ni gharama haswa kama unamagonjwa endelevu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Dunia ya sasa hivi ukipenda vya bure na dezo utaishi maisha magumu mno.Mliambiwa mtamkumbuka mkashupaza shingo! Jiandaeni kupasuliwa miguu badala ya vichwa awamu ya uzembe iko on the air
Watu wanakula kwa urefu wa kamba,ni kama uhamiaji,Kuna viofisi vingi vya stationary,kila copy unaelekezwa katolee pale.Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Raisi Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali...
Acha kupotosha wewe, lini maduka binafsi yaliyoko nje ya hospital yalifungwa?Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Raisi Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali...