Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Serikali inafanya wizi wa mchana kabisa, iweje sasa hivi Wanachama wa Bima ya Afya ya Taifa hawawezi kutibiwa tena hospitali binafsi maana wanakataliwa na taarifa haijatolewa bali wanatakiwa kwenda hospitali za serikali tuu na huko unakuta dawa nyingi hazipo inakubidi ukanunue nje?
Mbona hii serikali imekalia kujipa sifa tuu lakini chini ya kapeti ni AIBU YA KUSHINDWA mambo mengi hasa hii awamu ya sita?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona hii serikali imekalia kujipa sifa tuu lakini chini ya kapeti ni AIBU YA KUSHINDWA mambo mengi hasa hii awamu ya sita?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app