Waziri: Vituo vyote vya afya vifungue maduka ya dawa ndani ya hospitali

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 2, leo Agosti 30, 2023 jijiji Dodoma.


View: https://www.youtube.com/live/sUp4MGtnWBQ?si=t8lxFPvojMDK68Gg




WAZIRI: VITUO VYOTE VYA AFYA VIFUNGUE MADUKA YA DAWA NDANI YA HOSPITALI
Maelekezo hayo yametolewa baada ya Mbunge Florent Kyombo kuhoji juu ya kufutwa kwa Fomu za 2C kwa watumiaji wa Bima ya Afya katika Vituo vya Afya akidai inakosesha mgonjwa kupata Huduma ya Dawa ikitokea zinazohitajika katika hospitali anayotibiwa.

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dkt Festo Dugange akijibu hoja hiyo Bungeni kwa niaba ya Waziri wa Afya amedai uwepo wa maduka ya dawa ndani ya Hospitali unatasaidia kutoa huduma wakati mhusika atakapokosa dawa anazohitaji kwenye dirisha la kituo husika.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom