Nasubiria kitimoto,
Natafuta usingizi jamaniView attachment 1131935
Aysee imezunguka sana WhatsApp hii picha! Kumbe cameraman wewe?[emoji23][emoji23]Nimeipiga mwenyewe... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ukiiona mahali jua yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1126744
huo mkono balaa kwakweli
NdioUpo single
Shigha lwitho
Nipo Tabora mjiniLocation tafadhali
aiseeeWeekend ya leo staki ngumu kumeza acha nijipe hasara..na tena msinipangie glass ya kunywea wala kipimo maana shazoea kunywa bia na nyagi najua kipimo ni kujaza mpaka juu na glass iwe pana[emoji41][emoji41]View attachment 1129027
Nasikia mmeandamana kwanini mwaka huu kodi ya pombe haijaongezeka! Eti mmechukia mchango wenu kwa uchumi mwaka huu umepuuzwa!