moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,026
Hahaa ,ni kweli mkuu,I'm just a passengerHauna demu hapo
Hahaa ,ni kweli mkuu,I'm just a passengerHauna demu hapo
Kwani hii ni mada ya tomato mkuu?Ayo makopo ya tomato au?
Imebidi nimkumbuke marehemu Ngweah na wimbo wake mitungi, misosi, mikasiii hususan pale anapoimba
....midudu ya kupiga mikasi...
Ee bhana eeee! Mkuu light zimeanza kushuka kusini?
Haka kapombe katamu haka... Sijui kalitengenezwa wuchi? [emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha kijiwe kingineView attachment 1127499
Ee bhana eeee! Mkuu light zimeanza kushuka kusini?
Sogea Pande za Bob Marley cofee shop straight ntakutambua uzuri unatumia picha yako oriji karibu Sir Mshana Jr.Sijapenda kabisa ulichofanya [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hivi vitu hivi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]huwa tunapeana location
Una mechi?weekend nyingine tena tuko na afya tele tumshukuru Mungu na tule vyombo.View attachment 1128245
Naona vitu adimu unaviweka hadharani mkuuuuuu!!!![emoji28] kwanini?
Let me declare the interest! Mm ni mzinzi, nikiona mambo haya mwili unaota vipele vya baridiiì!!! Hatarrr sana.