Pole sana hilo ni tatizo la wengi linaitwa kichaa cha pesa... Yani kabla hujaikamata unakuwa na Mipango mingi nizuri lakini ukishaitia tu mkononi... Uharibifu huanzia hapoMkuu hii hali hunitokea mara kwa mara,napanga budget kabisa ila nikilewa budget ninaivuruga.Na ninao wanunulia ni watu nisiowajua na kama ni "KE" bas sio kwamba nawahitaj kimapenz NO!!
Niliambiwa niende na pesa niliyoipangia budget tu but infact mim siwez kwenda kulewa na pesa ndogo huwa naona si_enjoy kabisa.
Kwa heshima yako mkuu na kwa kuzingatia kuwa umekuwa mtu muhimu kwenye upande mwingine wa imani ndugu Mwenyekiti,naomba unishauri nifanye nin kuepuka hili!
Kuna mahali macho yalitangulia kupaona[emoji39][emoji23] but why?
😂😂😂Nimekunywa K_VANT ili nibane matumizi- najikuta namnunulia waiter Serengeti light za 15 na wala hata simuhitaj.Dah! pombe aiseee!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekunywa K_VANT ili nibane matumizi- najikuta namnunulia waiter Serengeti light za 15 na wala hata simuhitaj.Dah! pombe aiseee!
MamboHelooozzz
Mweka hazina anawasalimu[emoji109][emoji113]
Mambo
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123]Sikuwa hewani kwa takribani wiki mbili
Nipende Kuchukua Fursa kuipongeza serikali yetu ya CCM chini Ya Mh.JPM kwa kutokuongeza kodi katika swala zima la Vyomboo
Ni jambo linaloonyesha kuwa Nchi yetu uchumi umekuwa kiasi kwamba hakuna haja ya kutubana sisi walevi/wanywaji tena ili kuboresha pato la nchi
Rai Yangu Ni Mamlaka zinahusika na kukusanya pato la nchi waongeze jitihada kuwabana Mabebari na Matajiri wakubwa walipe kodi stahiki ili ikiwezekana Mwaka ujao wa fedha tuondolewe kodi kabisaa hata bia moja iuzwe mia tano
Nawasalimu Sanaa Wana Jukwaa Wotee[emoji16][emoji16][emoji16]
Mzima kabisa RafikiPoa rafiki mzima weye
By SOBER DER BOYSikuwa hewani kwa takribani wiki mbili