Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Toka wiki ianze sijagonga eti. Hapo mpaka Sunday. Sunday yenyewe nilitaka nipige deshi lakini kuna BBQ nimeaalikwa sehemu hiyo siku[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha.....mie mazingira ya kunywa kwa nafasi nzuri hayapo..arghh