Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tiptop moja iyo... Blue Monday
1560760856716.jpeg
 
Nyie walevi bado mpo??

Nilisema nitafuata nyendo zenu lakn nimegundua maneno hayajengi.
 
Dah... Salute kubwa... Mpaka shengena unapajua? Nipo special diet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unajua Mabibo, luhanga manzese Zipo Karibu karibu, so ni kawaida kujaribu kulipa kodi kwingine na kubadilisha mazingira, Hapo Special Diet nimeshakaa km mara 3 hapo,
 
Mkuu hii hali hunitokea mara kwa mara,napanga budget kabisa ila nikilewa budget ninaivuruga.Na ninao wanunulia ni watu nisiowajua na kama ni "KE" bas sio kwamba nawahitaj kimapenz NO!!
Niliambiwa niende na pesa niliyoipangia budget tu but infact mim siwez kwenda kulewa na pesa ndogo huwa naona si_enjoy kabisa.


Kwa heshima yako mkuu na kwa kuzingatia kuwa umekuwa mtu muhimu kwenye upande mwingine wa imani ndugu Mwenyekiti,naomba unishauri nifanye nin kuepuka hili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom