Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

hahaha, yaani hapa najisikia kufakufa.
jana ilikuwa balaaa, sasa yule jamaa ilifika wakati akarudisha chenji, kuangalia kuna damu. acha alie machozi akidhani anavuta. nimecheka sana alafu nikamuonea huruma.



Hahahhahaa manake na mm hapa nimecheka..haha alafu anaonekana tu chapombe..picha tu hahahaa au alipiga masanga makali sana hahhaa mtakuja kufa..hahhaa taratibu mzee baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom