Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Pamoja mkuuNaam
Pamoja mkuuNaam
Muhimu uzima ,hii party kikao cha kimya kimyaPamoja mkuu
kabisa tumuombe Mungu tu ifike tukiwa wazima na afya tele.Muhimu uzima ,hii party kikao cha kimya kimya
Mie nipo tayari siku nyingi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natarajia kuokoka
Ewaaa,swadakta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natarajia kuokoka
Shindwa..... Au okoka lakini usiache kuunga juhudi za kulipa kodi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante, nishakaribiaKaribu
Hakuna kitu hapo[emoji23][emoji23]Nitakufuata hahaha
Anataka kuwashwa. [emoji41][emoji41][emoji41]kalost kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]Nachokipendea jukwaa hili hakunaga utoto...!ujinga ujinga hakuna
Hahahaha, kumbe nawe umeona hili eeh, ndio maana 'natamani' kukutana na wadau wa humu hasa Uzi huu
Tunajitambua sana
Kabisa mkuu wanywaji tunapendana na kujaliana sanaTusiogopane kabisa coz miongoni mwetu hamna mwenye nia ovu na mwenzake so tuwe free kumeet kubadilishana mawazo maana pombe inakutanishaga watu na kufungua fursa
SafiMimi kweli najua pombe ina madhara ila pia ina faida,mfano mm kuna jamaa nlikua nakutanaga nae bar hiyo hiyo ambayo napenda kunywa siku ya siku tukaja kua close fiends mpaka sasa tunashirikiana kwenye kilimo na madili mengine
SawaMuhimu uzima ,hii party kikao cha kimya kimya
Kabisa mkuu wanywaji tunapendana na kujaliana sana
Kama hivi View attachment 1107431