The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
Mane pande zipi hizi mbona kunavutia sana
Sogesa sogesa mdau wengine tuko mbali mbali uku ukuNaomba isipangwe kuanzia tarehe 11 hadi 20 July
Mane pande zipi hizi mbona kunavutia sana
Umewaza km mm..14th nna harusi ya kaka...!au tumit juneNaomba isipangwe kuanzia tarehe 11 hadi 20 July
Mweka hazina nikija Ukanda huo nitakutafuta bata zako si mchezo [emoji1634][emoji91]
Sogeza kipindi kipi semaSogesa sogesa mdau wengine tuko mbali mbali uku uku
[emoji28][emoji28][emoji28]..Huku hata km uko na mwanamke mgumu kias gan analainika...hahaha.mto mawe
June ipo poa sijui wengineUmewaza km mm..14th nna harusi ya kaka...!au tumit june
Mby Pazur [emoji23]View attachment 1107468
Lakini aina noma fanyeni next time tutakuepo uko mimi ataniwakilisha manengeloSogeza kipindi kipi sema
Mimi kweli najua pombe ina madhara ila pia ina faida,mfano mm kuna jamaa nlikua nakutanaga nae bar hiyo hiyo ambayo napenda kunywa siku ya siku tukaja kua close fiends mpaka sasa tunashirikiana kwenye kilimo na madili mengine
[emoji28][emoji28][emoji28]..Huku hata km uko na mwanamke mgumu kias gan analainika...hahaha.mto mawe
Pombe inafaida aisee iyo siku nimegonga gari ya mnywaji mwenzangu kwa nyuma, tukabadilishana contacts kwa ajili ya kumtengenezea gari yake akiniamini kabisa nitampigia na kutengeneza hivyo hakutaka nimuachie chochote kulinda uaminifua, kesho yake asubuhi nikampigia na kufuata gari yake kwa matengenezo, tukajikuta tunafanya jambo moja la kibiashara kuanzia hapo ni michongo tuu, nina uhakika tusingefika hapa tulipo leo kama business partners
Duuuh[emoji28][emoji28][emoji28]..Huku hata km uko na mwanamke mgumu kias gan analainika...hahaha.mto mawe
June,july it's okUmewaza km mm..14th nna harusi ya kaka...!au tumit june
Ndo hivyo umenikumbusha na mm kuna siku niko bwax nikawa narudi nyuma na gari mara nikagonga gari ya maza mmoja asee aliwaka nikatoka nikataka kumzabua kuna jamaa mmoja akaja akanitonya ni mke wa soja mmoja afu mzito mzito ikabidi tukaelewana ikanitoka elfu 70 chap na tukaja kua marafiki na yule maza mpaka na leo.Pombe inafaida aisee iyo siku nimegonga gari ya mnywaji mwenzangu kwa nyuma, tukabadilishana contacts kwa ajili ya kumtengenezea gari yake akiniamini kabisa nitampigia na kutengeneza hivyo hakutaka nimuachie chochote kulinda uaminifua, kesho yake asubuhi nikampigia na kufuata gari yake kwa matengenezo, tukajikuta tunafanya jambo moja la kibiashara kuanzia hapo ni michongo tuu, nina uhakika tusingefika hapa tulipo leo kama business partners kama asingekuwa mnywaji/mlevi mwenzangu
Bongo full bataz basi tu.Bongo bahati nzuriView attachment 1107407
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba unipe logistic za kufika huko hivi karibuni, napanda mabasi ya wapi?na kushukia wapi?
Pombe inafaida aisee iyo siku nimegonga gari ya mnywaji mwenzangu kwa nyuma, tukabadilishana contacts kwa ajili ya kumtengenezea gari yake akiniamini kabisa nitampigia na kutengeneza hivyo hakutaka nimuachie chochote kulinda uaminifua, kesho yake asubuhi nikampigia na kufuata gari yake kwa matengenezo, tukajikuta tunafanya jambo moja la kibiashara kuanzia hapo ni michongo tuu, nina uhakika tusingefika hapa tulipo leo kama business partners kama asingekuwa mnywaji/mlevi mwenzangu