Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,970
- 100,122
Naamkwa vile nia tunayo lazma tutafanikisha
Naamkwa vile nia tunayo lazma tutafanikisha
hayo si ndo mambo sasaKama hivi View attachment 1107431
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natarajia kuokokawewe ukae na@The August na@Fursa Kibao
The August na@Fursa Kibao
labda huwezi jua ngoja atakuja elezea nn kimemsibu
Ndio ufanye itokeeItapendeza sana siku ikitokea [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natarajia kuokoka
We si kama mm tu sizani kama utaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natarajia kuokoka
kalost kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Alianzisha shamba la pilipili ngoja nimtafute[emoji23][emoji23]
Tusiogopane tufanikishe bana kwani nini mwenyekiti unasemaje[emoji23]kwa vile nia tunayo lazma tutafanikisha
Tusiogopane tufanikishe bana kwani nini mwenyekiti unasemaje[emoji23]
Hahahaha, kumbe nawe umeona hili eeh, ndio maana 'natamani' kukutana na wadau wa humu hasa Uzi huuNachokipendea jukwaa hili hakunaga utoto...!ujinga ujinga hakuna
Hahahaha, kumbe nawe umeona hili eeh, ndio maana 'natamani' kukutana na wadau wa humu hasa Uzi huu
Ni kweliTunajitambua sana
Tusiogopane kabisa coz miongoni mwetu hamna mwenye nia ovu na mwenzake so tuwe free kumeet kubadilishana mawazo maana pombe inakutanishaga watu na kufungua fursaTusiogopane tufanikishe bana kwani nini mwenyekiti unasemaje[emoji23]
NaamTusiogopane kabisa coz miongoni mwetu hamna mwenye nia ovu na mwenzake so tuwe free kumeet kubadilishana mawazo maana pombe inakutanishaga watu na kufungua fursa
Tusiogopane kabisa coz miongoni mwetu hamna mwenye nia ovu na mwenzake so tuwe free kumeet kubadilishana mawazo maana pombe inakutanishaga watu na kufungua fursa
pamoja sanaU said it all