Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahhahaa manake na mm hapa nimecheka..haha alafu anaonekana tu chapombe..picha tu hahahaa au alipiga masanga makali sana hahhaa mtakuja kufa..hahhaa taratibu mzee baba
juzi alikesha mi nilimkimbia. kule tulipokuwa ni chimbo moja ukiwa ndani huwezi kujua nini kinaendelea walijikuta wakitoka saa moja asubuhi.akalala kidogo jana tukaunga cocktail ya whisky na bia sio mchezo. nakumbuka alivyokuwa analiaa, nikasema kumbe ugali mtamu hahah
 
😂😂😂😂kuna moments jaman ni ngumu kisahau maishan hahaha
 
Yani huu uzi, kila nikiuangalia namtafuta muhudumu

Najitahidi nipite kimya kimya, kadiri idafi ya fundo zinavyoongezeka ndio kaeaida ya walevi inaongezeka

Alietuletea wanaeake kwenye hii kada Mungu anamuona
 
jana kuna chimbo nilienda lakini nilijikuta naagiza alafu nikashidwa kuinywa nikanyanyuka kimya kimya nikasepa.
Kuna matukio nikiyakumbuka najicheka mwenyewe. alietengeneza hii kitu hii

Ww hangover zako huwa unanichekesha sana..hahhaa unapitiliza had gauge inaanza kurudi..lol!mie niliwah lewa hvyo mara 1..zaman chuoni..mpk leo nikikumbuka huwa nacheka mnoo..hahhaa!
 
IMG_0007.JPG

Mdogo mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom