unachemsha viazi pamoja na steki ambazo hutolewa wakati nyama inagawanyishwa then dam itakua iko pembeni ambayo ishachujwa na kutiwa chumvi kidogo,baadae ile nyama utaanza kuzikaanga na mafuta ya ng'ombe,mbuzi inategemea na mnyama aliyechinjwa,ukishakaanga ndo unamimina viazi hivyo ambavyo vimerojeka pamoja na damu kuchanganya na ile nyama iliyorostiwa yani inatoka kitu moja tam sana unaweza maliza jagi uspokua makini[emoji23][emoji23]ila sasa kisusio inakuaga na nguvu mno so kula/kunywa wastan tu.