Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

salaam wakuu
Mimi binafsi napenda sana pombe Kali sababu zina faida nyingi mno kwenye mwili wa binadamu
najua pia kuna wengi wanapenda pombe Kali humu
karibu
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!

Hii ndio mada asili iliyochakachuliwa na kuwekwa kama reply.... Maudhui haya yanaendana kabisa na kichwa cha habari lakini from no where ikabadilishwa na watoa maamuzi
 
.
1558541299900.jpeg
 
Bora umeliongelea ww hv alitoa ile thread yako ni nan jaman...!uliiandika vzr mnooo..motto wetu ulikua KULIPA KODI..kupitia vinywaji vya alcohol..Jamani..Turudishiane uzi wetu...msitukere jaman..!Kangomba wakubwa nyie
Wamefanya hujuma ya wazi na wala hawajali miito yetu
 
Bora umeliongelea ww hv alitoa ile thread yako ni nan jaman...!uliiandika vzr mnooo..motto wetu ulikua KULIPA KODI..kupitia vinywaji vya alcohol..Jamani..Turudishiane uzi wetu...msitukere jaman..!Kangomba wakubwa nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom